jana bwawa la maini tumefungwa kwa bahati mbaya 1-0 kagoli ka kuvizia na chalsii - haya wadau wa jadi mmeridhika???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Kaka Misupu Kweli Uzalendo Umekupitiliza!! Mkifungwa Nyie Ni Kwa Kuvizia Sio ?? Hahahah Na Bado Utakua Hutembei Na Ile Jersey Yako Ovyo Tena Hata Hakuna Match Unatinga Tu Man Unt Ni Mwaka Wetu Kaka Kubali Yaishe

    ReplyDelete
  2. Michuzi,

    I totally disagree with your assessment, that was a classic goal. Drogba percolate so fast and majestically turned around to find Joe cole and the rest is history.

    Michuzi stop being a solely looser, Liverpool's yesterday performance was below par considering that UEFA is the only cup they have a shot momentarily . Despite fatigue Chelsea shows why they are the best team in Europe ....For your infomartion Essien will play on Tuesday , so expect a different Chelsea team .

    ReplyDelete
  3. Mi huwa nakereka sana kuona wabongo wanavyoshobokea timu za mmtoni utasikia aah mi sifuatiliimechi za simba na yanga njaa tuu. Jamani huo mi naona ni utumwa wa akili, shabikieni timu za nyumbani si kushabikia timu ambazo hazijali hata mkiwashangilia au msiwashangilie maana hamuwasaidii chochote

    ReplyDelete
  4. Pole michu kale kagoli sio kakuvizia kamepatika kwa kujituma siuliona drogba alivyokimbia na kumgeuza beki gwagwandu sasa subili kipigo nyumbani kwako.

    ReplyDelete
  5. Hello michu please uwe unatuweke na matokeo ya mechi za Pan African kwani magazeti ya bongo yanazibania kila siku wanatuwekea habari simba na yanga tu,

    ReplyDelete
  6. we upenzi wako ni mbaya sana na ni wakizamani kwani hutaki kukubali matokeo mbona wenzie ASERNAL tunabanjuliwa lakini tunakubali matokeo? soka ndo ilivyo sio kila siku ni sikuu ya magoli kwenu

    ReplyDelete
  7. hahahaha michuzi so liverpool ndio bwawa la maini NIMECHEKA SANAAA!!

    ReplyDelete
  8. HIYO NDIO IMETOKA HIYO, KWA MAANA MECHI IJAYO NI BILA BILA.

    ReplyDelete
  9. ukipigwa bao unachagua maoni lakini ukishinda ndo baasi tena kila kitu juu ya liver unaandika acha hizo chama lako bovu tu

    ReplyDelete
  10. Mimi ni mshabiki wa liverpool, ukweli ni kwamba hatujacheza vizuri kama nilivyotarajia, na lile goli, kwa beki mzuri asingeruhusu Drogba amgeuze namna ile, angeshalala na tackle first place, au mara baada tu ya drogba ku cut inside. Agger is absoultely amazing, ila bado kijana mdogo, bado ana muda wa kutosha ku improve game yake. Kama LFC hawataweka gia kubwa kwenye return game, wanaondoka kwa kweli, maana sidhani Chelsea watatuachia kirahisi.

    ReplyDelete
  11. michuzi nyie mlie tu, mlifikiria mnacheza na psv kila siku.

    ReplyDelete
  12. kaka wale wetu tu hawana lolote,below our normal standard wamebahatisha kamoja,kwetu tunawaweka usiwe nawasi we will never walk alone bwana.

    ReplyDelete
  13. Ningependa sana katika hii fainali sisi (Man Utd)tukutane nanyi (Liverpool)akina Michuzi, lakini naona matumaini yenu kuing'oa Chelsea ni madogo sana. Lakini Michuzi naomba uwe na ushabiki wa halali, sio kuwapaka Chelsea kuwa wamewaotea wakati walicheza kwa kiwango kizuri.

    ReplyDelete
  14. Wewe anony @ 5.57 pm April 26. 07 nani anataka kushabikia mpira wa bongo ambao umejaa mauzauza kila kukicha. Angalia Simba na Yanga ambavyo ndivyo vilabu vikubwa vya Bongo kila kukicha ni migogoro tu isiyokwisha, Simba makocha wawili wa kimataifa wameshaondoka kwa sababu ya migogoro ambayo inadidimiza mpira wa Bongo.

    Sasa kama watu wanapenda vilabu vya nje kuna matatizo gani? wewe upenzi wao unakukosesha nini? Wewe baki kushabikia mpira wa Bongo na wengine waachie washabikie Timu wanazozipenda nje ya nchi. Kome la dunia pia tunakuwa tunashangilia nchi mbali mbali wengi wetu Brazil, je sisi ni Wabrazil!?

    Acha hizo za fikra za mwaka 47 tafuta vitu vya maana vya kukosoa sio upenzi wa timu za nje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...