mdau wa watani watani zetu wa jadi akikatisha mitaa ya kinondoni muslim. jana ilikuwa chupuchupu na milan. sijui huko athens itakuwaje. hongereni lakini kwa huto tubao 3-2 twa kubabia. halafu mmebebwa sana jana nyie. subirini muone tunavyomliza morinyo leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. michuzi kimyaaaaaaaa, vipi boli limeisha mbona hakuna breaking news, huwezi kutoka stamford bridge mzima okay mazee chelsea 1 bwawa la maini 0

    ReplyDelete
  2. VIPI MHESHIMIWA MICHUZI, SIJAONA PICHA ZA CHELSEA aka THE BLUES NA LIVERPOOL aka THE RED, MWAKA HUU MMEKWISHA, FINAL MAN UNITED NA CHELSEA, PUNGUZA KUCHONGA MR. MICHUZI. CHEKI WANAUME WA SHOKA MAN UNITED.

    ReplyDelete
  3. HAYA MICHUZI TUMEWAONA LIVERPOOL MSIOBEBWA LEO MLICHOKIFANYA.MIMI NADHANI MUNGU UWA ANASIKILIZA KASHFA ZAKO.JANA MAN WALIBEBA KITU GANI PALE??

    ReplyDelete
  4. sasa mbona mourinho hatukumsikia kulia?, tumemsikia benitezi akiangua kilio akidai eti washangiliaji wa liva jumanne ijayo ndio watashambulia, kaona wachezaji wake hawawezi shuguli.

    ReplyDelete
  5. MISOUP NAFIKIRI USIKU ULIOPITA ULIMUOTA JOE COLE NA UTAENDELEA KUMUOTA. MASIKINI LIVERPOOL NDIO TARATIIIIBU WANAIAGA UEFA CL. SUBIRINI TU MWAKA UJAO WASHIKAJI! TEH TEH TEH TEH. BLUES 1 - L'POLL 0

    ReplyDelete
  6. I am a malawiana and i follow ur michuzi thing and i have just heard thau u r a big funn of lIVERFOOL. how do u feel aboutthe results of yestardays game. i am big time funn for MANU.

    ReplyDelete
  7. Poleni Michuzi na Benitez wenu mbaguzi (weusi wote bench !)
    Mmeshatoka nyie !

    ReplyDelete
  8. Haya tupe matokeo; mmemliza Morinyo ngapi jana?
    Usitukane wakunga ...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...