
marais wastaafu wa afrika katika picha ya pamoja na ujumbe wa udsm wakati wa mjadala wa kubadilishana mawazo kati ya marais wastaafu wa barani Afrika na wahadhiri na wanafunzi wa vyuo vikuu vya bongo, ghana na sauzi katika hoteli ya hilton sandton, johannesburg. wa kwanza kulia walosimama ni pascal mayala alieleta picha hii


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...