jana tumemzika baba yetu mpendwa mzee mwingira, ambaye ni mzazi wa mdau wa kapitoletaz richard mwingira a.k.a la tinga a.ka. abdul msomali. Mungu ailaze pema peponi roho ya baba yetu - amen

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Eewe Mungu baba umlaze baba yetu mahala pema. Amina

    ReplyDelete
  2. Mungu amuweke pema peponi tutazikumbuka busara zake.

    ReplyDelete
  3. pole kaka R.Tulie kwa imani.Bwana ametwaa.

    mungu ailaze roho yake pema peponi.

    ReplyDelete
  4. ...ni huzuni kubwa kwa familia ya Mwingira kwa kuondokewa na baba yao mpendwa!natoa pole kwa Mama Mwingira, Richard,Mundie,Friday na ndugu wote kwa ujumla.RAHA YA MILELE AMUANGAZIE NA APUMZIKE KWA AMANI: AMEN

    ReplyDelete
  5. Huyu Mwingira ni yule , Mzee Mwingira aliyekuwa anakaa, karibu na shule ya mapambano nyumbani kwake kulikuwa na mwembe mkubwa?, Mungu aipe nguvu familia ya marehemu.

    ReplyDelete
  6. REST IN PEACE!

    Pole kwa familia; mama mwingira, bebii, ndoti, friday, totoo and mundii.Poleni Homies

    ReplyDelete
  7. REST IN PEACE!
    pole kwa familia
    mama mwingira, bebii, friday, ndoti,totoo, & mundii
    Poleni Homies

    ReplyDelete
  8. Poleni wafiwa. Mungu amlaze marehemu mahali pema mbinguni. AMEN.

    ReplyDelete
  9. Poleni sana familia ya Mwingira, mama Mwingira, Magge, na wadogo zake. Tulikuwa majirani Oysterbay na tulikuwa tukisali pamoja kila jumapili jioni. Poleni sana, Mungu ailaze roho ya baba mpendwa mahala pema peponi. Amen.

    ReplyDelete
  10. poleni sana familia ya marehemu Bw P.Mwingira....
    ndotti,friday,Mundie,Richard

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...