kufuatia maombi ya wengi ya kutaka kujua juu ya miss tz wa kwanza theresa shayo (pichani) blogu yenu hii ilimtuma mdau aboubakar liongo wa idhaa ya kiswahili ya redio ya ujerumani kufanya upaparazi na kuibua ukweli wa mambo. hii hapa ndo taarifa yake...
Na Aboubakry Liongo, Augsburg
Mshindi wa kwanza kabisa wa shindano la urembo la miss Tanzania Theresa Shayo leo ametimizamiezi minne toka alipofariki dunia huko Augburg Munich Ujerumani na kuzikwa huko uko alikokuwa akiishi miaka yote hii.
Hayati Theresa, ambaye alitwaa taji hilo mwaka 1967 kwenye shindano lilofanyika hoteli ya Kilimanjaro, alifariki dunia january 26 mwaka huu na maradhi ya kansa ya tumbo. Alikuwa na umri wa miaka 61.Mama huyo hakuwahi kupata mtoto na alikuwa akiishi mjini Augsburg ambako alliolewa na mjerumani aitwaye Chrstian Rieger ambaye waliachana. Hadi anakufa alikuwa akiishi na boy friend aitwaye Tonny.
Kabla ya hapo Theresa alikuwa akiishi peke yake mtaa wa Schmiedberg namba 9 katikati ya mji wa Augsburg na alimwachia nyumba hiyo mtanzania aitwaye Othman Lukindo.´´kwa kweli mama theresa likuwa na huruma sana pamoja na kwambaalijiegemeza zaidi kwa ndugu zetu wa kenya alikuwa alikuwa na upendo nakila mmoja hapa augsburg alimpenda mimi aliniachia nyumba hii´´ anasema Lukindo.
Naye mama Shamsa Malumbo ambaye alikuwa kakribu sana na marehemu alisema kuwa mama huyo alijua fika kuwa hatapona na anakumbuka siku ya mwisho alipokwenda hospitali alimwambia kuwa anamuonea huruma sana mume wake.
Kabla ya hapo Theresa alikuwa akiishi peke yake mtaa wa Schmiedberg namba 9 katikati ya mji wa Augsburg na alimwachia nyumba hiyo mtanzania aitwaye Othman Lukindo.´´kwa kweli mama theresa likuwa na huruma sana pamoja na kwambaalijiegemeza zaidi kwa ndugu zetu wa kenya alikuwa alikuwa na upendo nakila mmoja hapa augsburg alimpenda mimi aliniachia nyumba hii´´ anasema Lukindo.
Naye mama Shamsa Malumbo ambaye alikuwa kakribu sana na marehemu alisema kuwa mama huyo alijua fika kuwa hatapona na anakumbuka siku ya mwisho alipokwenda hospitali alimwambia kuwa anamuonea huruma sana mume wake.
´´aliniambia kuwa huyu mume wangu atapata shida sana maana anapenda sana mtumsafi na nilimdekeza na mimi siponi´´ anakumbuka mama Malumbo.Malumbo Salum Malumbo, ambaye ni mganga msaidizi katika hospitali hapo mjini Augsburg, anasema kuwa mama theresa kama lilivyokuwa jina lake alikuwa na mapenzimakubwa sana na watoto pamoja na kwamba yeye hakujaaliwa kuzaa.
Mama Theresa Shayo au Theresa Rieger mwili wake ulichomwa moto (kwa matakwa yake mwenyewe marehemu) baada ya misa katika kanisa la westfreittof na majivu yake kuzikwa katika makaburi ya hapo hapo Westfrettorf mjini Augsburg uliyoko jirani na jiji la Munich.
Mama Theresa Shayo au Theresa Rieger mwili wake ulichomwa moto (kwa matakwa yake mwenyewe marehemu) baada ya misa katika kanisa la westfreittof na majivu yake kuzikwa katika makaburi ya hapo hapo Westfrettorf mjini Augsburg uliyoko jirani na jiji la Munich.
Sad eeh?? Bwana ametoa Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe. Asante kwa taarifa. Augsburg ni karibu kabisa na nilipo ningejua mapema ningefika kuwafariji wafiwa. Kazi nzuri ya Blog. Keep it up
ReplyDeletemungu amlaze mahali pema peponi, ingawa hatukuwa naye kwa hiyo miezi mitatu lakini tulikuwa naye kifikra kwa kupitia blog hii
ReplyDeletemichuzi kwa kweli kazi unayotufanyia mpaka najisikia nikulipe lakini uwezo sina,kwa kweli wewe blog hukulazimishwa unaonekana na wala hubabaishi ni kama umezaliwa nalo kwa jinsi unavyoliendesha maana ni kutujaza information unlimited na mapicha mpaka sina la kusema..keep up the good job brother,bila kusahau mungu amweke mahala peme peponi mama mama shayo.
ReplyDeletekhaaaaaa!!!!
ReplyDeletendo shida ya kujichanganya na mataifa mengine bila kujali watz wenzako, aliona wakenya watu sana. any way ulale salama dada.
Well done Mr. Michuzi. Good job!.
ReplyDeleteMungu amrehemu huyu mama!!na amfutie madhambi yote amina..
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteAsante sana kwa taarifa kuhusu Dada Theresa Shayo. Mungu amlaze mahali pema mbinguni. AMEN.
Na ingekuwa vizuri next Miss Tanzania pageant wafanye 'Tribute' kwake.
Michuzi tunashukuru sana kwa habari ndefu na ya huzuni sana sana sana nimesikia uchungu mkubwa lakini ndio hivyo njia ni moja wote tutapita ni kwamba tu nani anatangulia ndio swali kwetu wote na hakuna aliye na jibu EE MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI...swali langu michuzi hiyo picha ni ya mwaka gani kama una jibu nitafurahi kama huna inatosha umetupa habari katika ufafanuzi mkubwa sana GO MICHUZI!!! we love you
ReplyDeleteAugsburg iko Bavaria lakini haiko Munich.
ReplyDeleteRIP
ReplyDeleteHata kama aliegemea kwa wakenya ni poa tu, kwani watanzania walio nje ni waswahili kuliko wanavyokuwa wakiwa Tanzania. Wamekalia majungu, na umbea. Kazi kuchunguzana maisha, na kuoneana wivu wa kipumbavu. Bila shaka marehemu aliliona hilo akaona bora awe karibu na wakenya kuliko watu wa kwao, waliojaa umbea na majungu.
ReplyDeleteRIP Tanzanian rose
ReplyDeletehttp://www.pageantopolis.com/international/world_1967.htm
RIP MAMA THERESA
ReplyDeleteMay god rest her soul in eternal peace.......................Ameen
ReplyDeleteDuh! kwa mujibu wa maelezo ina maana huyu mama hana ndugu kabisaa!!!! inasikitisha kauchoma moto mwili wake lakini yote maisha hatujui makusudio yake mungu amuokoe na kila kitu
ReplyDeleteWadau nauliza kwa nini wanawake warembo sana huishia kuolewa na wanaume wabaya sana ambao huwaacha baadaye au kuwavuruga sana?
ReplyDeleteYamenikuta ndio maana nauliza maana naona na huyu alikuwa star akaolewa akaachwa na mimi nilikuwa star nimeachwa inaniuma.Halafu jitu lenyewe limeniacha likaenda kuoa janamke ambalo halijui hata kupaka Lipstick.
Pongezi kwa Misupu!! Binafsi sijapenda aina ya maisha aliyoishi huyu mama. Siamini kuwa hakuawa na ndugu hadi afe mpweke hivyo. nadhani kuna jambo, labda alwaasi ndugu zake baada ya kujiona ni wa matawi ya juu. Ni kawaida kwa Wabongo wakipata hadhi fulani tofautiya kwao kusahau ndugu. haipendezi. Labda Misupu fanya jambo ututafutie historia yake, angalau tuijue na ikiwezekana tujifunze kwa haya yaliyomtokea dada yetu. Binafsi nahisi nahuzunikia zaidi aina ya maisha aliyoishi na kufia kuliko kifo chenyewe!!!!
ReplyDeleteHuyo Anon wa hapo juu anaelalama kuwa Watanzania walioko majuu wambeya sana, anaficha nini? Au ndo miongoni mwa wauza unga hivyo hataki wenzake wamjue wasije wakamlipua? Manake sielewi mtu safi unaogopaje kushirikiana na wenzako hadi uishi kama popo au bundi? Jisafishe uishi kwa amani.
ReplyDeleteUshauri wa bure kwa huyo aliyeuliza kisa cha warembo kuolewa na wanaume, kisha kuachwa!!!
ReplyDeletewarembo huwa wanachagua kiupofu ni aina gani ya mume amuoea na wanaweka kigezo cha pesa/utajiri kuwa ndio bora kwao; na wanaishia kuolewa na matajiri au watu maarufu, ktk mazingira ya aina hiyo hakuna unganisho la 'upendo' bali 'pesa' na matokeo yake ni hayo tunayoyaona au kusikia!
Kuna msemo mmoja - 'love with the first sight ends with the first slight'
it depends sista, u complicated too much...may be ndo maana jamaa amekuacha..nakuhakikishia kuwa kuna wanawake warembo bila hata lipstick tena wapo mikoani, so lipstick si ishu tena balaa lake wakija tu huko dar na mkiwafunza wanakuwa macho juu..so LESSON HERE IS THAT DONT COMPLICATE, U R THE STAR in UR HEART ALONE. LEAVE SIMPLE, TAKE & GOOD CARE OF URSELF!! LIFE GOES ON.....
ReplyDeletedada anony wa 11:49:00 am kwa kweli pole sana. umenigusa sana maana umeongea kitu ambacho huwa kina ni puzzle sana na mimi sio mtoto mdogo (nakaribia 50). ukweli ni kwamba you are not alone, wanawake wengi tena wengi sana ambao ni wazuri aidha huwa hawaolewi na wakiolewa kama ulivyosema ni tabu tu. actually ndoa nyingi zenye furaha utakuta ni za wanawake plain (and for that matter na za wanaume plain). labda bwana michuzi atufungulie mjadala huu tubadilishane mawazo.
ReplyDeletehttp://www.pageantopolis.com/international/world_1967.htm (tunashukuru kwa link bwana nimekubali)
ReplyDeleteAnony wa Saturday, April 28,2007, 11:49:00AM pesa ndo Engineer wa vyote.
Mungu amulaze maala pema peponi Amina
SIJUI KUPAKA LIPSTICK LAKINI KICHWANI MAZIMA, NANI ATAKULA NA KUSTAREHE NA LIPSTICK YAKO AKISHAINGALIA MARA MBILI AMECHOKA ANATAKA UPEO SASA NA HICHO NDICHO ALICHOKUACHIA NA KUNIFATA MIMI SABABU UPEO MKUBWA NA UWEZO WA KUFIKIRI JINSI YA KUFANYA MAISHA YAWE BORA NDIO UTATUSAIDIA MPAKA TUTAKAPOKUWA VIKONGWE.....SORRY DEAR THAT'S LIFE FANYA UREMBO LAKINI TENGENEZA BRAIN PIA.
ReplyDeleteRIP MAMA TERESA
ReplyDeleteNa unayeuliza kwanini warembo na mastar wanaolewa na watu wabaya. Sielewi unasema alikua star au wewe ni star ukiwa na maana gani? Una maana ya mtu kuwa kwenye spot light?
Kama unakua kwenye spot light it means unakua na opportunity ya kufuatwa na wanaume wengi na hapo wanamke wengi wanakua wanamkubali mwanaume mwenye hela tu bila kujali tabia yake.
Na kama ni mwanamke mrembo kwanza ujue pia kuwa uzuri uko ndani ya mtu na sio nje. Kama all you have to offer in a relationship is your looks only nothing will last. Wanaume tunapenda kudate wanawake wazuri lakini tunapenda kuoa wanawake wenye anayevutia, ana akili atakaye ku challenges kimaisha na pia wenye tabia nzuri.
Mwanamme anayeoa tu kwa uzuri bila kujali tabia na akili yako hakupendi, Na uzuri hau last forever. Na pia siku hizi hamna mwanamke mbaye ni mbaya dunia hii. Hela kidogo inamfanya mwanamke wako ankua mzuri tu anafanna na wanawake kama wengine tu wazuri huko njiani. Kwa hiyo cha muhimu kabla hujatafuta mume mwingine try to first to find your identity. Usikubali wanaume waku lable tu kwa uzuri wako bali kwa what else you can offer. Kupaka lipstick usiku inatoka hiyo.
Hamna kitu romantic katika kila relashionship au ndoa kama mwanamke anayevutia na akaengezea na akili kichwani.
wewe mshikaji wa juu hapo 6:45pm you are on point. thats how the love relationship has to be, or should be like, if someone is cute like an angel that does not real matter but the question is, is she smart enough to understand what life is all about?
ReplyDeleteMichuzi, tunashukuru kwa taarifa hii.
ReplyDeleteMimi mdau naomba address ya redio anayotangaza Abubakari liongo huko Augsburg, naishi sweden.
wadau,
ReplyDeleteMnamjua MISS TANGANYIKA wa mwaka 1960???...
Nadhani hakukuwa na mwingine,
TANGANYIKA
1960 - Carmen Lesley Woodcock
nenda
http://www.pageantopolis.com/international/world_lists_s.htm
halafu ucheck sehemu ya Tanzania (row ya kati kwa chini hivi)
tatizo wanawake wengi wanadanganywa na kioo. Wakijiangalia kwenye kioo wanajiona wao ni wazuri, sasa sijui uzuri upi? The beauty is within not without. Kwanza sayansi ya kioo inaonesha oposite and not real. kushoto kuwa kulia.
ReplyDeletePili wanawake wanaojiona wao wazuri huwa na kiburi sana, tena wanaringa sana kwa kudhani they are everything, halafu mbaya wanadanganyika na wanaume wanaowanunua kwa mtazamo wao (their looks). kingine kibaya zaidi dada zetu wanadhani kuolewa na mzungu ndo utafanikiwa maishani, au hao wenzetu ndo wanajua mapenzi ya kweli. wanadanganyika na sinema. Poleni akina dada.
Tatizo pia si kwa wanawake wanaojiona wazuri, au wale walio maarufu, tatizo liko pia kwa wale waliofanikiwa kipesa. hao nao wana matatizo mengi sana kwenye maisha ya mahusiano.
Mbaya zaidi nawaonea huruma akina dada zetu wa sasa kwani wana mifano mibaya mno. Hawana good role models wa mwanamke wa kitanzania aliyefanikiwa kifedha na mwenye maisha mazuri ya ndoa. Wengi wa akina mama walio na fedha hawana ndoa yenye furaha, au wameharibu ndoa zao. sasa dada zetu ndo wanaowaona hao, sasa wanadhani ni maisha ya kufanikiwa ndivyo yalivyo.
kuna kitu kinaitwa IN-DEPENDENT WOMEN. hawa wanawadaanganya sana dada zetu siku hizi kwa kuwaambia eti someni, fanyeni biashara, sijui blah blah. mwisho wanamalizia usimtegemee mwanaume, ukiwa na chako mwanaume hakuelezi kitu. Hao watu kwenye Organizations zao, na kujidai wao ni feminists, wanawaharibu sana akina dada zetu, na kuharibu sana ndoa changa na mahusiano ya vijana siku hizi.
KAMA KWELI WANATETEA HAKI ZA MWANAMKE, KWANINI WASITETEE HAKI YA MWANAMKE KUISHI KATIKA GOOD RELATIONSHIP?
Hawawezi kwakuwa wao wenyewe hawako katika good relationship na wameshindwa kuzitetea hizo relationships zao. wengi wao ni malaya wa kununua wanaume kwa sababu ya pesa zao.
Wanapata misaada, toka organizations za nje ya nchi na kuleta visingizio kwamba wanawake wananyanyaswa etc, lakini badala ya kutafuta ufumbuzi wa kweli, wao kutokana na matatizo yao vichwani wanasingizia wanaume ndo chanzo, na solution ni kumdharau mwanaume ndani ya relationship. wanaharibu dada zetu hao.
samahani naomba mjadala zaidi tuelimishane kuhusu hili, labda mimi naona tofauti au nakosea, naomba ushauri zaidi.
RIP MAMA THERESA
ReplyDeleteMichuzi mtafute miss Tanganyika 1960 Carmen Lesley Woodcock. Labda atakuwa bado hai na vile mzungu.......
ReplyDeleteMama Thereza pole sana kwa maisha ya upweke mkubwa uliyoishi. Kama anon mmoja alivyosema kwamba wa TZ nje ya nchi ni wambea kuliko wa TZ ndani ya nchi hiyo ni kweli kabisa. Pili kuhusiaana na swala la ndoa, hususani mwanamke kutaka kuwa independent ni kweli kumechangia kuvurugika kwa ndoa nyingi sana changa na kongwe. The main reason is wanaume siku za nyuma walikuwa kama ni wa FALME na walipenda sana kudekezwa that way.nakumbuka baba yangu alikuwa akichukua kikombe anataka ajiwekee chai mama anaanza kutukana watoto, na kutuambia hatuna adabu kwa nini mnamuachia baba anachukua kikombe cha chai mwenyewe. Wanaume walikuwa hawafanyi kazi za nyumbani hata kidogo everything ni wanawake which was okay but right now life changes, women goes to work the same way as men do.So they real has to compromise and put everything together kuweza kuestablish mausiano mazuri. Kwa sababu wanawake hawakupata nafasi sana kwenye taifa ikiwepo kusoma, kuwa na kazi na pia kuweza kujiendeleza kwa maendeleo mbalimbali. na kinyume chake kukaa nyumbani tu kazi kubwa kuzaa watoto. Ilifika wakati baki in 60s mwanamke alikuwa hawazi kutoa hoja yoyote kwenye taifa au familia inaonekana ni ya kipumbavu. Na wanaume walitumia sana hiyo weapon kuwanyanyasa wanawake, kuwapiga kama ngoma and yet huyo mwanamke hana pa kwenda kwa sababu hana mbele wala nyuma hata anyanyaswe namna gani atang'ang'ania hapo hapo. Hata mwanaume aowe wanawake 70 wote watarundikana hapo kama manguruwe. cause they didn't have any oppotunities. But right now everything is defferently. No one can take those bu......t.
ReplyDelete