
habari toka japan ambazo zimetinga hapa punde tu ni kwamba ile safari ya lady jd huko japan imekamilika kwa ushirikiano wa easy finance bank, travel agent ya sedec za dar na wilna international ya tokyo. bibie huyu anatia timu tokyo haneda international airport tarehe 2 ya mwezi ujao. wadau wa kanagawa wanaambiwa kwamba kampuni ya wilna imekodi basi la abiria 30 kwenda na kurudi kwa $6 tu kwa hiyo wadau wanatakiwa kuwahi saa kumi na moja na nusu pale sankus opp zama post office.


ASHAKHUM SI MATUSI!!
ReplyDeleteJIDE KUMBE AMEKOMAA IVI!! IVI AMESHAPATA MTOTO AU BADO ANAKULA HANE MUNI?? MICHU NIAMBIE TAFWAZALI
EASY FINANCE LIMITED, NI ASASI YA WAZALENDO INAYOJISHUGHULISHA NA UTOAJI MIKOPO KWA WATU WOTE,NDANI YA MASAA MATATU TOKA MUOMBAJI ALIPOJAZA FORM ZA MAOMBI YA MKOPO. TUNA MWAGA MAPESA TU !! LAKINI PIA TUNAWAJIBIKA KWA JAMII INAYOTUZUNGUKA KUWAWEZESHA WATANZANIA WENZETU KWA KUTOA UDHAMINI NA MISAADA MBALIMBALI (social corporate responsibilities)
ReplyDeleteBora huyu binti aje JP aonyeshwe jinsi ya kuonyesha upaja na totoz za kijap.
ReplyDeletebinti mavazi hayo jamani. tena hilo linaafadhali maana huwa unavaaga uchi kabisa. kiasi kwamba hata wazazi wenye heshima zao hawapendi kukuona na mavazi yako. kuimba unaimba ila jirekebishe.
ReplyDeleteWachezaji wachekelea kuondoka kocha
ReplyDelete2007-04-25 17:29:08
By Jacqueline Massano,Morogoro
Baadhi ya wachezaji wa klabu ya Simba ya Jijini, wamefurahia kuondoka kwa kocha wao mkuu, Neilsen Elias na kudai kuwa hakuna kitakachoharibika kwani aliwakuta wakifanya vizuri na wataendelea kufanya hivyo.
Kauli hiyo ya wachezaji, imekuja siku mbili baada ya kocha Elias kubwaga manyanga ya kuinoa timu ya Simba na kuamua kurejeaBrazil.
Akizungumza na Alasiri mjini hapa, kiungo wa timu hiyo, Mohammed Banka amesema kocha huyo aliwaweka baadhi ya wachezaji wenzao katika wakati mgumu kwa sababu alikuwa hawapangi kwenye kikosi chake.
``Mimi naona afadhali ameondoka kwa sababu alikuwa mkali pia alibagua baadhi ya wenzetu kwani hakuwapanga kabisa kwenye mechi,`` alisema kiungo huyo ambaye awali aliwahi kuichezea Yanga.
Banka amesema kwa upande mwingine kocha huyo hakupenda kuona mchezaji yeyote anaenda kinyume na maagizo yake, jambo lililowafanya wachezaji kumuogopa.
Mchezaji huyo amesema kuondoka kwa kocha huyo hakujawaathiri wachezaji, na kwamba wana imani ya kufanya vizuri kwenye mechi zijazo chini ya kocha wao msadizi Madaraka Bendera ambaye amewezesha kuifunga Prisons kwa mabao 3-0.
``Kuondoka kwa Elias siyo tatizo kwa sababu alitukuta tukiwa tunafanya vizuri, hivyo wanachama na mashabiki wa Simba wasiwe na wasiwasi kwani tutajituma na kufanya vizuri katika mashindano yote,`` alisema.
Akizungumzia kuhusu kuondoka kwa kocha huyo, Said Sued amesema haoni sababu ya kuendelea kumng�ang�ania kocha huyo kwa sababu hakuwahi kumpanga kwenye mechi hata moja.
Sued amesema hakujua kitu ambacho kilisababisha kocha huyo kumchukia kiasi kile.
``Mimi hajawahi kunipanga kwenye mechi, hivyo sioni sababu hata ya yeye kuwepo, mbona juzi nimecheza lakini angekuwepo yeye nisingecheza, kwani hata Nurdin Bakari hajawahi kupangwa.``
Alikuwa akitubagua, mimi sikuona kama ni jambo nzuri kwani lilikuwa likileta chuki miongoni mwetu,`` alisema zaidi.
SOURCE: Alasiri
Tukiwa bado tuko katika mjadala mzito wa nidhamu ndani ya wachezaji wetu wa kitanzania, leo nimekutana na habari hii katika mtandao wa IPP nikaona ni bora tuuweke humu hili tuujadili. Nina imani kubwa kuwa majadiliano haya yatawafikia walengwa ambao ni wachezaji. NIDHAMU!! Swala la nidhamu ni pana sana. Katika habari hii nimeona jamabo ambalo nina imani kuwa kila mdau ataliona. Jambo hilo ni la wachezaji wetu kuzoea kubebwa, pili kupendelea kutake mambo peresonal, tatu na la mwisho kutojua cha kuongea na waaandishi wa habari.
Nikijadili la kwanza, katika habari mchezaji analalamika kuwa kocha alikuwa hampangi. Ikumbukwe mchezaji huyohuyo amekuwa akichaguliwa lakini amekuwa hapangwi katika Taifa Stars. Hapa inaonekana kuwa sikwamba kocha hakupendi ila kuna vituvidogo ambavyo labda vinakufanya ukae benchi na mwenzio apangwe. Swala ni kujitahidi na kutafuta hilo tatizo na kujirekebisha na sio kuanza kuropoka kwenye vyombo vya habari.
La pili ambalo ni wachezaji wetu kutake mambo personal nimelionana limekuwa linanikera sana. Ni haibu mchezaji kutamka kuwa kocha hakupendi. Ni mchezaji wa pili au tatu kutamka neno hilo katika chombo cha habari ndani ya wiki moja. Mchezaji lazima ujifunze chakuongea na waandishi wa habari na usiwe limbukeni, kumbuka waandishi watakuuliza kila kitu na sio lazima hujibu kila kitu. Hakuna kitu kinachoitwa kocha hakupendi katika medanihii ya soka, ikumbukwe kocha yuko kazini na kula yake inategemea wachezaji kama nyie. Kama akifungwa hovyo kibarua chake kitaota majani kwa hiyo hawezi kukuweka bench mchezaji mzuri na kuacha timu ifungwe kisa kuna mchezaji hampendi. Hilo hakuna!! Chukulieni mifano ya David Beckham na Robinho nakocha wao Capello! Inaonekana wazi kuwa Cappello ana walakini na wachezaji hao lakini je mmeshasikia hata siku moja wanasemakocha hawapendi???
La mwisho ni hilo la kuwa mambumbu! How? Wachezaji wetu wanapenda kuongea ovyo! Nisawa hatujafikia level ya ya proffesional soccer lakini lazima tujue kuna vitu machezaji kama mchezaji haruhusiwi kuongea kwani anakuwa anavuka mipaka kama mchezaji katika organisation. Ikumbukwe team ni organisation ambayo nadhani inapaswa kuwa na msemaji mkuu. Najua hilo ni adimu katika vilabu vyetu nandio maana waandishi wamekuwa wakiwarushia maswali wachezaji ambao nao hawajui majukumu yao na kujibu! Swala la kocha nadhani bado likomezani iweje leo mchezaji atamke maneno kama yale? Je Uongozi ukikaa kitakona kocha na kumrudisha huoni kuwa utakuwa umeatarisha amani katiyakona kocha?? Labda hukokuongea hovyo ndiokunakosababisha makocha kutowapanga! Wadau wengine naomba tuchangie hili na wachezaji wayasome haya! Ahsanteni!
I really like ur style and I like the way u wear ur make up is so simple almost natural
ReplyDeletemuch luv
Misupu pole kwa mchuzi wa maini(Sorry Bwawa la Maini) kukaushwa na wachezaji fake kama wale wa Chelsea! Michuzi usiizime hii IBANDIKE hapo!!
ReplyDeleteBaadhi tu ya yaliyomo katika report.
ReplyDeleteUbalozi wetu London, according to the Report:
Imprests amounting to
Shs.17,131,240 were not
liquidated.
• The mission engaged a
contractor for
Shs.128,512,000 without
following proper procurement
procedures.
• Advances of Shs.41,273,450
were issued by the Mission for
purposes not appropriated
under the sub-vote.
• Proceeds of sale of emergency
travel documents worth
Shs.11,995,88 were not
audited.
- Ubalozi wetu Lusaka
• Repairs and security services
worth Shs.56,681,914.40 were
rendered without contracts. (How is this possible? M.M)
- Ubalozi wetu Pretoria
• There was irregular payments
of Shs.20,572,143.70 (to who, and why? M.M)
• Questionable procurement of
a house amounting to Shs.312,260,173. (a possible Mahalu-like incident??? M.M)
• Cash losses amounting to
Shs.14,793,740 had no formal
loss report and were wrongly
written off in the books of account without following
losses finalization procedures. (How can one write off that amount of money without following procedure and still keep his job? M.M.)
Ofisi ya Waziri Mkuu
• Expenditure for the National
Relief Fund Account amounting to Shs.3,475,170,200 were not
supported by relevant documents. (mnakumbuka michango ya njaa, where is the money? this should be the scandal of the year! M.M)
• Expenditure amounting to
Shs.10,379,530,912 was made
direct to project (D-fund) and
no supporting documents in
respect of accountability of
funds were produced. (any pattern in this office? M.M)
Wizara ya Ulinzi na JKT
• A loan to Msasani Beach Club (of)
Shs.80,000,000 was not been
recovered. (really? let me guess somebody think he/she shouldn't pay the loan! M.M.)
• Two (2) fast moving patrol
vessels costing USD 1,984,000
(Sh.2,559,360,000) ordered
and paid for but not delivered
to date. (did we buy a boat, what boat? M.M)
Wizara ya ardhi, nyumba na makazi
• Land rent amounting to
Shs.96,727,866 was not
accounted for. (say what? I didn't pay rent? where did my money go? M.M.)
• Procurement of Goods and
Services worth Shs.253,323,394 not complied
with the law. (did somebody bent/broke the law?? I hope not. M.M.)
Wizara ya Nishati na Madini
• Diamonds productions of
473,051.09 Carats worth
Shs.71,343,795,390 was not verified against quantities
exported. (diamonds, diamonds, diamonds! what diamonds? M.M.)
Ofisi ya Mtukufu mwenye Enzi Spika
• A total amount of
Shs.255,019,501.23 was paid
to contractors in excess of the
original agreed amount of
Shs.926,844,721.70.
mdada hapo umetoka kama uko mamtoni nilidhania ni ashanti kumbe ni mdada wa bongo kaazi kweli kweli
ReplyDeleteKaka Michu, sijampata sawasawa Anonymous wa Tarehe Thursday, April 26, 2007 8:19:00 AM, Mtoa Maoni:
ReplyDeleteNahisi hii ni punje ndani ya Rport nyeti!!! sasa kwa nini ikae kwa Jeede? nafikiri hii ni topic inayojitegemea inayohitaji mchanganuo wa mawazo tok kwa wadau!!! Naomba kuwakilisha
Wabillah Tawfiq
Hivi jamani, kama Jay Dee amezaa au la inawahusu nini? Kwanini wabongo kila siku tunashindwa ku-discuss mada na tunauliza maswali so irrelevant?
ReplyDeletePope hapo juu uko sahihi. Hiyo ni "extract" ya ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali kuhusu matumizi mabaya ya pesa za serikali ya Tanzania kwa mwaka 2006/2007. Virushwa vidogo vidogo (vidagaa) ndivyo vinahangaikiwa lakini haya madude makubwa ("papa") hayaguswi. Michuzi tafadhali iweke kama separate topic wadau tuijadili. Nawakilisha!!
ReplyDeleteIssa michuzi hi blogu yako yako inauuaaaa!! kip it up...napenda kumjibu mtoa maoni flani hapo chini aliuliza kama jide anamtoto kwasbabu kakomaa komaa flani Jibu ni kwamba huyu dada sio mtu wa mazoezi yeye miguu juu kwenye sofa ndo mana pia make up yake inakuwaga so heavy ili kuficha ficha chunusi sa ndo mana anaonekana kakomaaa lkn walaa mbona bado anadai!
ReplyDelete---RatataT!---
GOOD LOOKING GIRL.
ReplyDelete