wafanyakazi wa deiliniuzi na habarileo wote walikuwepo harusini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Asee mmependeza sana kwa kweli ila bwana Issa wa Michuzi mi nakuomba kitu kimoja tu,, Nisaidie kumuhimiza huyo jamaa hapo kulia kabisa aliyevaa suti nyeusi,, aoe maana umri unayoyoma na hata hana mpango wa kuvuta jiko, muhimize bwana mwambie aiogope kuingia kwenye game,,,,,,,, Keep it up mzee

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 02, 2007

    huyo dada mwenye pink tuwasiliane natafuta jiko...michuzi changamka utapata kifuta jasho cha dola

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...