rais amani karume wa zanzibar akitembelea sehemu za kihistoria za kijerumani jijini berlin katika ziara yake nchini humo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2007

    ziara bado inaendelea? Ataenda wapi tena zaidi ya Berlin?

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2007

    kumbe michuzi ulikuwa berlin? mbona husemi?umeona jiji letu lilivyo poa!karibu tena.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2007

    Anon hapo juu nakubaliana na wewe. Siju Michu ana tunyanyapaa sisi wa Deutschland??? Kila siku wadau wa UK wadau wa US etc. Tumia google map uone wadau wa Ujerumani tunavyo MWAGIKA kwa wingi humu kijijini....
    TUNAOMBA zawadi ya picha ya Mlima wowote nchini isipokuwa Kilimanjaro...hahahhaaa
    Kazi njema kaka mkubwa...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...