mrembo wetu flaviana matata anafanya balaa huko Mexico kweny miss universe! amekuwa mshindi wa 5 ktk Miss Universe-Photogenic ambayo ni hatua nzuri sana! Wadau Votes ziendelee..Twaweza pata Miss Universe Jamani! bofya hapo chini kwa zaidi....

http://www.globalbeauties.com/universe/2007/images/gallery/YMI/YMI.htm

http://www.globalbeauties.com/universe/2007/u07_photogenic.htm

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2007

    Sasa Michuzi lugha zenu za vijana sisi wazee zatushinda tena. Maana ulivyosema Flaviana anafanya balaa huko mimi Mexico moja kwa moja wazo likanijia kuwa ana boronga kumbe the opposite is true. Sawa bwana mambo ya vijana hayo tuwaachie wenyewe!

    ReplyDelete
  2. Michuzi nimejaribu kufuata maelekezo ili nimpigie kura F.Matata nimeshindwa toa maelezo mazuri zaidi,ila nimefika na kuona vitu vyake kuwa no 5,ila basi tu hamna aliyemzidi katika wale no 1-4 , labda kama ni vigezo vyao.
    SHE IS DOING VERY FINE.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2007

    Sijaona sehemu ya ku-vote for the second round, au bado? au haina voting?
    Anayejua naomba kuelimishwa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2007

    Totoz atachukua tuzo angalau moja hapo na akishindwa lazima modelling agency za kimataifa zimchukue. There is something about Flaviana, she reminds me of Oluchi of Nigeria who is doing it BIG in the US!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2007

    FM ni kichwa cha nguvu, bado mdogo kiumri na mtu aliyemwambia anyoe kipara basi aliona uzuri wake.

    In whateva you do, respect yourself, your body and be focused on your modelling. If there is something you dont like , dont do it and dont let anybody force you. Coz you know what, you will always be BOLD AND BEAUTIFUL anywhere in the world!

    FM is representin' Tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaa to the fullest and I wish you luck baby gal!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2007

    Huyu mdada baada ya kumwangalia kwenye picha za miss Universe ndio nimeamini ni mzuri sana. labda picture quality zetu bongo wasiwasi.

    Inaelekea kuna wazuri wengi sana tu ila mpaka waje wavumbuliwe na kamera zetu mbona itachukua miaka.

    Jamani ni mzuri na talent yake ni nini? kwasababu kwenye Miss Universe sio kuuza uzuri tu akili na talent huwa zinacount. naamini anaakili lakini talent yake ni nini.

    Wangemfundisha kitu chochote bongo hata piano tu akeenda mbali. Au awachezee ngoma za asili.

    na nimesoma interview yake si kuwa so impress sana. Alivyoulizwa unataka Miss Universe waelewe nini kuhusu yeye jibu lake I wish wangemcoach. Hawa wote wanakua coached na nchi zao.

    Michuzi hana contact tukawasiliana naye tumpe moyo na ideas.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2007

    Michuzi you are wrong.
    Hayo sio matokeo ya miss universe. Hayo ni matokeo ya hilo gazeti la globalbeauties.com
    Ziko sie kibao wanachukua picha wana compare na kila sites ina mtu wake. Ila site zote so far wanamuona miss Greece ndio anayechukua picha vizuri so far. matokeo ya izo category yote yanakua announced kwenye siku ya mashindano tu.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2007

    Naaam FM ni kichwa cha nguvu! Kama ulivyosema hapo juu ktk interview alichemsha kidogo. You know ENGLISH IS NOT REACHABLE inabidi muda mwingine uchomeke tuu mbele ya camera, bora angepiga ki-Swahili tuu tena. It would have made her more unique. Lakini yuko fiti umbo, sura na fani ya u-modelling anaweza.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 12, 2007

    Anayefikiria kiingereza ni wale ambao bado wanafikiria ukoloni vichwani mwao. Nafikiri hao ndio wanaajiri watu bongo katika nafasi za utaalamu kwa sababu ya kujua kiingereza. Watu wengi wanajua kiingereza cha Mswidi ni tofauti na mwingereza na mmarekani hivyo hivyo kwetu waswahili. Kinachoangaliwa hapa ni point siyo jinsi maneno yanavyotamkwa.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 12, 2007

    Wewe annoy 8:20AM Nani kasema juu ya accent? Wewe umeona amejibu nini kwenye interview kwanza au unajisemea tu huku. Hata mimi nimesoma jibu la interview yake kama unaangaliaga haya maonyesho kila mara utaona majibu yao ni yakufundishwa. Na jibu lake kwa bongo ni safi lakini kwa watu hawa hawana shida ya hayo. Wanataka kujua moyo wako ukoje..unajali watoto au unajali maskini au any bid deal issue inayoendelea ulimwenguni

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2007

    FM [FULL MZURI] amepanda mpaka mtu wa nne katika polls. Si mchezo FM anawachengua hukoooooo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...