adau, nimeletewa hili dili ambalo naona si baya mtu ukijaribu bahati yako...
Bwana Michuzi,
Nakuomba uweke hii Investment kwa Wanablog wote ili waweze kufaidika. Hapa chini panaNew search Engine'AGLOCO' ambayo bado inahitaji kuwana wanachama wapatao 50,000,000 worldwide.
Lengo lao ni kuwa wapinzani wakubwa wa Google Search Engine.wanahitaji watu ili kampuni kubwa kubwa ziwezekuvutiwa kutangaza katika search engine yao. Hapa jambo zuri ni kwamba wewe utakae jiandisha leo utakuwaumekuwa investor na kila tangazo utakalo tumiwa katikahome brower yako na uka-'click' utakuwa unalipwa kwakulisoma hilo tanzago hii ni Mpya kabisa, hivyo wewekazi yako ni ku-click tu matangazo yatakayo tumwakatika computer yako.
wao watakumia maelekezo yote naaccount yako itakavyo fanyakazi na jinsi utakavyolipwa, Hii ni kwa wana blog wote walioko Tanzania naDuniani kote..Wahini Wana-blog sababu hawa wanatakaku-teka soko la Wachina na kama unavyojua tena wachinawako zaidi ya billion Moja. Someni maelezo hapo chinina waambieni marafiki wajiandishe.
KAMA UNAPENDA HII INVESTMENT GONGA HAPA NAUJIANDIKISHE HARAKA NI BURE KABISA...http://www.agloco.com/r/BBDY1555

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 22, 2007

    kama jina linvyoonesha hiyo ni club ya kigoloko. hakuna pesa za bure dunia hii bwana unless it's peanuts

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2007

    mchanga wa macho huo,biashara zingine kuwaokota nani jamani,haya wacha tujiandikishe kama tutapata hizo hela

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    wewe vipi Google inavyonipa materials za kupigia skuli yangu halafu mnazungumzia mambo gani hapa, kwanza nani akupe hela zake hivihivi eti uklik tu pesa sijui akauti ulimwengu huuu duh! mambo ya bure hayapandi juu ya kichwa changu!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    No free lunch in this world. Hizo ni email za utani tu, hata wakati fulani walisambaza email kuwa yahoo itakulipa kama ukituma email hiyo kwa watu 100.
    Anyway ngoja tujaribu tuone

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    NOTE: The AGLOCO Viewbar™ is currently in limited beta testing and is not yet available for download. We expect that it will start to be available to download in several weeks. It will be released to Members in the order in which Members signed up. No testers are receiving any earnings while using the Viewbar™ in this testing phase. For now, we ask you to build the community, because both you and AGLOCO make more if you grow the community.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 22, 2007

    Mi niko Nangurukuru(Lindi)sina bank account hayo malipo yatanifikiaje?Acheni usanii jamani.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    Jamani, msiwe watu wa kudanganya na kudanganywa. Nakuomba kaka Michuzi, sababu tun akuheshimu na blog yako si ya kitapeli, usikubali kupost matangazo ya kitapeli kama haya. Kama walivosema waliopita, hamna cha bure hapa. Kwa tulio nje, baadhi tumeshuhudia watu wakiibiwa hela sababu ya ulimbukeni na tamaa za kujiingiza katika link kama hizi.

    Hatari nyingine ni kupandikiza virusi katika kompyuta yako, kama utakuwa limbukeni wa kujiunga na kila 'business'.

    Wewe uliyempa hii link bwana Mihuzi, huwatakii mema Watanzania.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    kwani leo ni fools day? matapeli hao. ukiwapa tu ac no yako macho yatakutoka.NOPE

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    hakuna lolote hapo,umejishtukia tu na mambo yako ya UDINI.Hao jamaa wanataka kuiba personal details za watu.wanablog kuweni macho na wizi wa identities.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2007

    Thats against business law jamani wabongo kanyageni umande hata kidogo,this is a world of free market where demand and supply determine the market forces only govt can regulate otherwise wabongo mbona tunaangushana jamani? michuzi sio makosa yako we elimu yako ni ya bongo mitaala yenu ni ya mwaka 47 ni makosa ya alekutumia hii meseji mwambie apunguze box akanyage umande kidogo

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2007

    We jiandikishe tu hakuna shaka kwani michuzi ameshatuewekea insurance pindi computer zetu ziki clash kwa virus. Hahahahah, kazi kwenu no free lunch no free ride you have to pay for this whether direct or indirect. na huo mgao wa DIVIDEND watakutumia kwenye computer yako ukitoka hakuna au wape CREDIT CARD namber na PW Ndio watakuwekea vizuri kwenye account yako.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2007

    Watanzania kwa kupenda vya buree. Mmeshapigwa bao la kisigino, mchanga wa macho huoo. Hivi hamjapata hii email? Nitakuja ibandika, huyu jamaa ametafri kiswahili tu. UTAPELI MTUPU!!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 22, 2007

    jamani njooni na plan B,kwa hili mmekwama wazee!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2007

    Mbona wabongo mtamaneno sana yeye Michu ndio katoa maoni yake na kama wewe unataka pesa ya buree jaribu kama ndio unajua kila kitu wacha wajinga wafanya ila hii ndio marketing , wanataka watu waiingia kwenye website yao ili waweze kugenerated more money ila kuna kitu kama viruses na detail ndio hapo baya ila kwa wazo langu wacha tubaki kwenye google na michu blog..hihihihihihihi

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 23, 2007

    Simple rule to apply...if it's too good to be true...then it's too good to be true!!

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2007

    mi naona hii ni sawa na kile hapa bongo kinachoitwa upatu,utapeli mtupu!

    ReplyDelete
  17. Eheee kila siku watu wakiamka wanabuni mbinu mpya za utapeli hii ni longolongo ya hali juu jamani hela haiji kiihivyo kabisa not so easy

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 23, 2007

    uzuri wa wabongo huwa wanaponda sana hadharani lakini wakienda chemba wanafanya kile kile wanachoponda.

    wewe uliyeleta hii habari ya AGLOCO bila shaka una referral link na umeshuhudia ni registrations ngapi zimeingia toka upost. Si ajabu nyingi zinatoka Bongo kwa hawa hawa wanaoponda.

    Waoga wakubwa Bongo. Wagumu sana kusema ukweli

    ReplyDelete
  19. Sivizuri kujumlisha tu eti, hiyo deal ni mchanga wa macho. muhimu nikwamba; upembuzi yakinifu (Feasibility study)ufanyike na hapa muhimu pia, upembuzi wnyewe ufanywe na wataakamu wa tadhinia za ICT, IS (Information system. Otherwise, kama nimeelewa vibaya nahivyo basi ikapelekea nimechangia maoni mabaya, tafadhali wadau, MNISAMEHE SANA, LENGOMLETU NI KUJENGA, SI KUBOMOA. TUFIKE MAHALI, TUWE NA UWEZO WA KUPEMBUA MAMBO KATIKA UHALISIA NA UHAKIKA. TANZANIA YETU, INATUTEGEMEA SANA KWA MAENDELEO YAKE. MIMI MKINGA, OSWIN MWANAFUNZI-UDOM (BA INTERNATIONAL RELATIONS, 2ND YEARY)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...