prodyuza wa simu ya kifo dorothy kipeja akiperuzi kitabu alichotengenezea filamu yake ambayo imezinduliwa jana na kutia fora sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2007

    I was one of the invitee wa simu ya kifo, what i can say is, the production of this movie and the launching was a total success, well done Dorothy, i tell u, u are good in what u doing and you have a bright future coz i can see where u are heading, god bless u.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Huyu msichana kwa kweli ni mzuri. Realy Black Beauty. Misupu hebu nipatie basi contacts zake au tayari wapo walioniwahi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Msione vinaelea vimeundwa na kama vimeundwa vina wenyewe. Kila siku mkiona binti mzuri Michuzi tupatie contact zake. Mnatufanya siye huku bongo kama vipofu vile au hatustahili vizuri. Huko mliko hamna wanawake?

    Kwanza mnasubiri tumpendezeshe mtu halafu nyie tu kila siku tupe contact zake. Huko hamna wanawake wazuri au ni ubahili wenu wakutowapendezesa wasichana wenu?

    Nasikia hata mkienda kwenye date binti shurti ajilipie. Nini maana ya kuwa mwanaume? Ni hamna hela au mmekua wabahili sana? Mnataka vya dezo tukisha msoap soap binti mara nipe contact zake.
    Hamna cha bure ndugu yangu na kila kitu kizuri kimegharamikiwa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    Very very beutiful lady!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 08, 2007

    Sir Issa...hongera saana kwa UTARATIBU HUU ULIOKUWA NAO. MAPRODYUZA WAKINA DADA .."..KAMA HUYU.."..NADRA SAANA.."HUYU UZOEFU WA NYUMBANI ANAO TAYARI ANATAKIWA "..INTANESHNO EXPOSHA.." NINAUHAKIKA AKIKARIBISHWA NA .ORG ATAKUJA KUTANGAZA FILAMU "..ILI IPATE UMAARUFU MKUBWA ZAIDI.."..ANGALIA MIKONO (VIDOLE) VYAKE VIMESHILIA KITABU KWA UANGALIFU MKUBWA.." KWA PICHA HII TU SHE IS PROFESHENO....SHUKRANI...

    ReplyDelete
  6. Msigombane. Kweli ka binti kazuri lkn too late mwenyewe yupo.

    Men wakitanzania waroho sana, utakuta hao wanaomba contacts wanao tayari lakini basi tu, uzuri ni kwamba Issa huwa hatoagi contacts la sivyo tusingekuwa nae hapa mmeelewa? (Yaani Issa wangesha mtaka shingo zamaniiiiii)

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2007

    Dah, Huyu ni Shemeji yangu wa Dhati kwa hiyo naomba mumwie radhi... Mwacheni afanye mambo na tuendelee kumsupport, tusichanganyane... Deo!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2007

    Dah, Huyu ni Shemeji yangu wa Dhati kwa hiyo naomba mumwie radhi... Mwacheni afanye mambo na tuendelee kumsupport, tusichanganyane... Deo!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 09, 2007

    Go Doro...We're Proud Of You Dear!!!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2007

    Yeebo , wajameni hako kademu kanaonekana sukari! ila tukape support kamefanya mambo !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...