wadau huu ujumbe umeingia sasa hivi toka mexico pamoja na hii picha ya binti yetu flaviana matata akishindana katika vazi la kitamaduni...

Hi Michuzi!

Thanks for your support! Flavia is doing great tuendelee kumwombea. Kesho ndiyo preliminaries yaani ni show ambapo watachuja 15 bora, I hope she makes it kwani anazidi kukaribia crown! Dalili ni nzuri lakini tumwachie Mungu. Nakutumia picha za Flavia za National costume na activities zingine ili uweze ku-share na watanzania wengine wengi wanaomtakia kheri.

PLEASE! PLEASE! Mpigieni kura ya MIss Photogenic at
www.missuniverse.com click on Vote for Miss Photogenic' inabidi uchague warembo watatu. msiwapigie Venezuela, South Africa na wengine ambao wako juu kwenye gri ya Global Beauties! Wapigie wale ambao hawana chance! Anyway, wanachoangalia ni email lakini inabidi kujaza fomu. Kwa hiyo kama mtu ana email 5 azitumie zote! Asanteni

Thanks again Michuzi!

It's Maria Sarungi-Tsehai

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2007

    I came accross this article in one of Tz'z daily......

    Right in the midst of a heated national debate on NBC privatization process
    CRDB Bank also chipped in with 250m/-
    Legal company documents describe State House couple as ’entrepreneurs’

    THISDAY REPORTERS
    Dar es Salaam

    JUST three years after starting their own private company ANBEM Limited while still at State House, former president Benjamin Mkapa and first lady Anna Mkapa applied for and received a loan of $500,000 (approx. 630m/-) from the National Bank of Commerce (NBC) Limited in the name of this company, it has been learnt.

    According to our latest findings, the huge credit from the country’s oldest and most well-established bank was granted in July 2002 to ANBEM Ltd, a company that was officially registered in 1999 with Mr and Mrs Mkapa named as sole directors.

    The loan came on the heels of a heated national debate over the April 2000 privatization of the previously state-owned bank, which was fiercely opposed, amongst others, by the Father of the Nation, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, until his death in 1999.

    A good number of members of parliament from both sides of the political divide ? ruling and opposition parties - were also strongly against the bank’s privatization, arguing that the once-giant national institution was being sold off far too cheaply.

    But as eventually transpired, the privatization of the then NBC (1997) Ltd still went ahead as scheduled with the formation of NBC Ltd in April 2000 and acquisition by South Africa’s ABSA Group of 70 per cent of the bank’s shares - for a reported total price of just 15bn/-.

    Records also show that Mr Mkapa, as sitting president, was always a vocal supporter of the privatization process which resulted in the bank being taken over by ABSA Group, whose direct association with NBC actually began in August 1999 when the South African firm effectively started managing the bank at the request of the government of the day.

    Further investigations by THISDAY have now revealed that in December 2002 - five months after securing the NBC Ltd loan ? ANBEM Ltd landed another big credit-line in the form of a 250m/- loan granted by CRDB Bank Limited.

    And it has been confirmed that by the time Mr and Mrs Mkapa were departing State House at the end of his second and final term as president in December 2005, ANBEM Ltd had total registered debts amounting to 750m/-.

    The couple started the company in their own names while still at Ikulu, registering themselves as directors with a listed share capital of 500m/-.

    It has also been verified that in the legal documents for setting up the company prepared by Dar es Salaam-based lawyers Kapinga & Company, Mr and Mrs Mkapa described themselves as ’’entrepreneurs.’’

    The company was awarded certificate of incorporation number 36547, with Mr and Mrs Mkapa being allotted one nominal share each and listed as directors.

    Among other things, the stated objectives of ANBEM Ltd include: ’’To carry on business and to act as merchants, general traders, warehouse, stockists, shopkeepers and operators of supermarkets, commission agents and carriers.’’

    The revelations about the former president and first lady registering their own company and starting to do business while at Ikulu followed reports by THISDAY that the Mkapa family owns an office building in Dar es Salaam where a new bank with some big-name local businessmen as shareholders is to be located.

    Records show that ANBEM Ltd bought the building, registered under certificate of title number 6809 at Number 8 Ocean Road in the city’s upmarket Sea View area, from a company called Tanzania Building Works in 2002.

    Situated right next to Mr and Mrs Mkapa?s official residence after retirement, it is understood that the two-storey building will be the official headquarters of the upcoming Bank M (Tanzania) Limited, now in the final stages of being launched after a fast-track registration process that started only in February this year.

    THISDAY has sent written questions to Mr Mkapa’s office in Dar es Salaam regarding the nature of the business transactions conducted by himself and Mrs Mkapa while at Ikulu. No response has been forthcoming so far.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2007

    nakutakia kila la kheri mamaaaaaaaaa sima.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2007

    uncle lundenga natumai nawe ni mdau wa blog hii. unaona mambo hayo ya Flaviana? nanyi miss tz mjifunze kuwa fair katika kuchagua miss TZ ili awe anafika mbali miss world. tabia ya kutoa maksi za chupi muiache.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2007

    Maweave na straight hair kaeni kando kidogo! Siyo kwamba sipendi, lakini ukiwa na sura nzuri halafu uwe natural kichwani, unapendeza sana na una-project uafrika na uhalisi wako! You go girl!!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2007

    Nimejaribu kufanya hivyo, lakini nimeona kuwa ni wanaoishi US ndio wanaoweza kupiga kura!

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2007

    yeahhhhh na kitimtimu(champion league) kinaanza leo hapa Athina(Athens) wale wadau wa huku tupo maaaacho.Bro.Michu upo?
    Mdau,Athina.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2007

    wawww u a so pretty

    kila la kheri dada
    Zikandamize bendera za hao white dogs ibakie ya TZ only


    Kandamizaaaaaaaaaaaaaa dadaaaa

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2007

    Now we are talking.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 23, 2007

    This is the easiest link to register on NBC.com. It took me forever to figure it out. If you found your easy way out it is okay if not yet use this one and use as many emails as you can.

    http://boards.nbc.com/nbc/to register to NBC.com

    Let's make it happen.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2007

    Maria, Maria,

    Nafurahi sana kukuona hapa. Nilikuwa najiuliza muda wote huu tunampiga tafu kimwana wetu aliyeko Mexico wewe uko wapi? Au ulikuwa unapost kama Anonymous?

    Anyway ni vizuri kutupa data za ndani kuwa ni nani tishio kwa Flaviana ili tusimsapoti. Manaake kama mimi sina muda wa kufuatilia nani anafanya nini ila nataka Flaviana ashinde.

    Pili kama ulivyosema ni muhimu kutumia e-mail zetu zote kupiga kura nyingi iwezekanavyo. Ila ushauri wangu ni kwamba ukishapiga kura moja FUNGA WINDOWS ZOTE, nenda Internet Options then DELETE COOKIES and TEMPORARY INTERNET FILES, then FUNGUA TENA WWW.MISSUNIVERSE.COM NDIO UPIGE KURA KWA E-MAIL NYINGINE. Hii ni kuondoa uwezekana wa NBC kukukamata kwa kutumia "cookies", ili jitihada zako zisiende bure.

    MARIA, kuna Haters wengi tu ambao wanasema ushindi wa Flaviana ni kwa faida yake binafsi, na wewe mwandaaji. Hebu tumia hii Blog ya michuzi kushusha darasa kidogo kwa kivipi Tanzania (hasa yule msichana wa kijijini ambaye aghalabu anaobekana kama siyeweza kushiriki u-Miss) anaweza kufaidika na ushindi wa Flaviana.

    Ni hayo tu.

    //Dar Millionaire

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...