inno na jennifer wako ughaibuni walikoenda mara tu baada ya kufunga ndoa na redio mbao zinadatisha kwamba harusi hii huenda ikajibu mwishoni mwa mwezi ujao, miezi miwili kabla ya kurejea bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2007

    Mtafute chumba basi! Ona Inno anataka kuanza kufanya mapenzi hapo hapo. Tunaona nyama ya kiuno.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Beauty & the beast

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    ah hao inaonekana walishategeshea ili mtoto wao baadae achukue makaratasi ya ughaibuni kilaini. Nawapa hongera lakini. mahesabu yao yametulia

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 07, 2007

    Misoup IKAJIBU nini?? Mimba, talaka au Ndoa nyingine??

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 07, 2007

    Inno kumbe mjini? Tukutane Blue Nile weekend. Hongereni naona mamaa karibia anafumuka.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 07, 2007

    Hivi Michuzi kwenda ughaibuni ni big deal sana? Labda kwavile nimeishi huko sana kwahiyo naona ni just like my country. Blog yako naona unafagilia watu wanaoenda ughaibuni saaaana.

    Tuonyeshe watu waliioana wakaenda honeymoon kwenye mbuga zetu za wanyama, watu wanaopanda mlima K tutaangalia na kuappreciate sana.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 08, 2007

    looh!binti mzuri we! kulikoni!
    we binti mzuri namna hiyo,umefuata nini hapo? manake hiyo sura ya mwenza duh? au sababu alikutunuku umeneja mapema? haya bwana maisha mema.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 08, 2007

    he! yaani kambana huyo mtoto aliyeko tumboni hivyo! Ndiyo maana wasichana wa siku hizi wanazaa watoto ambao wanakuwa mentally retarded.sas anaficha nini wakati masanja mkandamizaji alishasema ndoa za siku hizi lazima utakuta matumbo yametuna kama ilvyotokea kwa pamela lowasa na wengine. Shaim. NOPE

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 08, 2007

    hii ngozi huyu mshamba anaileta mtoni anafikiri ata dumu nayo kuna number mbaya sana ughaibuni tena kama marekani na uk lazima apokonywe. mwambie arudi tena kuangalia upya demu wa hali yake siyo kila kitu wengine wanataka kuja tu ughaibuni lakini mapenzi na huyu pimbi hayapo kabisa. pole Inno umejitahidi lakini kufanya kosa siyo kosa kurudia ndiyo issue...!

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 08, 2007

    Dada Jenipher hongera, Utulie sasa maana dada zetu nyie ma super star hamkawii!!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 08, 2007

    asalaleeee mwana huyo mzuri kweli kweli lakini mbona pembeni hapo mhhhh hakuna uwiano...au ndio money talks,kila la kheri na maisha mema na mpendane kweli kweli na mzae watoto wanaofanana na mama maana baba sura itaharibu watoto

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 08, 2007

    Michu...kwa ndoa kujibu unamaanisha wanatarajia kupata mtoto karibuni?? Hawa couple si mchezo naona chemistry imekubali, watatotoa mtoto wa nguvu...

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 08, 2007

    Michuzi, hebu tuambie huyu inno ni yupi... tupo wengi siku hizi! anafanya shughuli gani na profile kwa ujumla....

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 08, 2007

    Hallow Bw. Minofu a.k.a Michuzi, hawa ni akina nani tena mbona unaleta habari ambazo sio faida kwa wana BLOG yako ????? Acha hizo Mzeeeeeeeeeeeee !

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 08, 2007

    IM DISAPOINTED WITH PICS IN THIS BLOG!! WHY???

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 08, 2007

    Hata mwanamme ni matunzo. Jeniffer kazi kwako ukimtunza vizuri mumeo baadae atapendeza tu. Ale vizuri, organised....kwa kifupi awe na inner peace.

    Anon hapo juu hata kama ma inno mko wengi lkn sura zina pishana kwani si tunaona picha? mbona una wasiwasi?

    Hongera zenu

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 08, 2007

    sura mbili tofauti sana,jamaa lazima wakunyanganye mke maana sura huna na unaonekana umechoka ile mbaya...tabu ni pale watoto wa kike wakichukua sura ya baba lazima hapo upigwe chini maana utaharibu watoto

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 08, 2007

    Nyie mna wivu si kingine. Watu muonyeshe maturity, msiwe kama watoto. comments za sura si jambo la msingi, character ya mtu ndiyo bottom line. Inno namfahamu. He's young and well accomplished for his age and I think he'll go very far. Jamani ongelea na mtu kwa character, siyo kwa sura au viatu alivyovaa. Isitoshe ina siyo muuza sura! The guy is an economist, working for socio-economomic development organization. Sitaji jina maana wengi mtaanza kumsumbua mnaomba kazi.

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 08, 2007

    Nashangaa wanaosema hilo dume linasura mbaya. We-Unataka awe na sura ya kike. Mwanaume unatakiwa uwe na misuli, na sura ya kiume, nyie mabishoo msilete za kuleta. Hilo ni dume na sio gay. Na kwa taarifa yenu females wanapenda midume kama hiyo sio visura. Wanaume mnakuwa visura wanawake je.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 08, 2007

    inanishangaza sana kuona watu tukitoa comments za sura ya mtu, chunguza tabia na msimamo wa mtu sio wauza sura ambao ni ma play boy, any way hilo ndio tatizo na madada zetu they'r after u hundsome bila kumjua mtu kiundani. tuelimike jamani. hongera inno kwa choice nzuri nawatakia maisha mema.

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 08, 2007

    guys stop exposing ur internal life.U sounds stupid and classless.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 08, 2007

    I hope umeenda ughaibuni ya marekani au Canada. Kwa vile ughaibuni nyingine ukizaa mtoto huko na wee sio raia sana sana unachopata ni bill ya hospital tu. Canada free na US wahi charity bill itakua covered. Kuzaa ughaibuni si mchezo mtuulize siye.
    hat uwe nani bongo hela ya madafu haigawanyii kitu kidogo ni mamilioni ya Tshs

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 08, 2007

    Michuzi , sio kila mtu ana mjua kila mtu ok, so ukiwa unatoa picha jaribu kuwa unawafahamisha watu na ukichukulia kama kila mtu hawafahamu.

    Huyu Ni Jennifer John (siba uhakika na last name) , alishirikia kwenye mashindanano ya Miss Tanzania ,kama Miss Shinyanga, mwaka sikumbuki , ila na dhani ni mwaka wa kina Farajah Kota .
    Aliolewa na Inno (?????) , ambaye ni mkazi wa Washington,DC, ila mzaliwa wa Tanzania, na harusi ilifanyika Ubungo Plaza mwaka huu.

    Kwasasa Jennifer kakimbizwa DC kwenda kuzaa mtoto apate uraia na bwana ni mmoj wa NGO fulani iliyo hapa TZ kama Director .

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 08, 2007

    Huyo Inno anafanana na yule mcheza sinema maarufu, Vondie Curtis Hall, ambaye ni kaka yake Arsenio Hall!

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 09, 2007

    State gani wako hawa mbona hamsemi? wasamaria tupo tunataka kumsaidia inno ongeeni basi

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 09, 2007

    MIMI NI MWANAMKE,BINTI HUYU NI MREMBO SANA SANA KWA KWELI BAADA YA KUSOMA HAPO JUU NIMEKUMBUKA KUMBE NI MISS PIA NI ILE HARUSI MCHZ ALIITOA HAIKUONEKANA VIZURI NALOTAKA ZUNGUMZIA HAPA NI KUHUSU HUYU MWANAUME KATULIA TENA SANAA TUU WANAUME KAMA HAWA WENYE MAUMBO YALIYOTULIA HIVI NI NADRA SANA KUWAPATA PLUS KAZI IMETULIA NYIE MNACHEZA SANA(WOTE MLIOMPONDEA) WANAENDANA KATIKA KILA NAMNA ILA TU NACHOKUOMBA BRO INNO KAMA BINTI HANA KITU MAALUMU CHA KUFANYA HIYO NDIYO ZAWADI PEKEE KUBWA UTAKAYOMPA IKIFUATIA AMBAYO MNAISUBIRIA HIVI PUNDE MAANA HAWA MAMISS WAKATI MWINGINE WANADHANI UMISS NDIO KAZI...NAWAKILISHA.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 09, 2007

    Waandishi hawakukosea, Kosa ni la michuzi. yeye kaweka picha bila full introduction what much you do expect katika kijuwe hiki?

    Usiyemjua humthamini. Na hiyo picha ukiiangalia na hakika watu wame judge according to what they see and not what they know. Michuzi anafikiria mtu akishakua na kazi nzuri TZ na binti kuwa kwenye Miss TZ basi kila mtu anawafahamu akiweka tu picha yeke?

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 09, 2007

    Anayesema mwanaume mbaya huyu hajui mwanaume mzuri au ni wivu.

    Mwanaume anakila sifa ya uwanaume.

    Na kama ni mrefu kuliko huyo bibie basi nothing to say at all.

    He is a very handsome guy and this is like any woman dream.

    Many women prefer a strong dark man and not a soft light skinny man.

    They are a perfect couple na mtoto wao atatoka vizuri sana. Kama ni wakike achukue sura ya mama na kama ni wakiume achukue sura ya baba period

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 09, 2007

    SWALA SIYO DARK SKIN,SWALA NI JAMAA AJANAWIRI NAMAANA ANA WEUSI ULIOPAUKA,NA HAWAENDANI KABISA KATIKA HIYO PICHA NA HUYO DEMU.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 09, 2007

    yaani mtaongea sanaaa ila jamaa ndio kapata demu na sio demu tu kapata mke na mke kapata mume, hata mkicomment kuhusu jamaa mke alimpenda jinsi alivyo, tuache wivu kama hatukapata beautiful wives to marry. kuendana na kupendanda na vitu viwili tofauti, wazungu wanasema where there's love there's everything. guys you accomplish one another.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 09, 2007

    NYIE MNASEMA MUME HAENDANI KABISA NA HUYO DEMU!!! MMECHEKI WALLET YAKE?

    Bondo hapendwi mtu anapendwa pochi lake tu. Wewe ulikua unasubiri hapo ili ang'ae wenzako wamejinyakulia.

    Kuna mzee moja hapa kazeeka kweli na ana hela kishenzi. Ana kibanda hasara chake kizuri tu sana na kazaa nacho mtoto na kamjengea, kamfungulia duka la nguo na kila mara bibie na mwanae trip za nje wanapata.

    Sasa huyo ndio kweli ukisema hawalingani hata mimi sitakushanga.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 10, 2007

    Watu bwana wabongo hawataki kukubali kama hawa watu wanapendana wivu wao mademu zao wanatisha.Nani kasema demu hakiwa mzuri basi malaya, acheni hizo wabongo jamaa ana pesa ana haiwahusu

    ReplyDelete
  33. Waja mna wivuuuu kupitiliza,Jenifer ni beautiful na inno ni handsome...period!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...