
waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatib akimpongeza mtunzi wa riwaya faraji h.h. katalambula kwa umahiri wake kwenye fasihi kiasi hata vitabu vyake kusomwa afrika mashariki na kati na hata nchi za nje. hii ni wakati wa uzinduzi wa filamu ya simu ya kifo iliyotokana na riwaya yake iliyohusu mji wa tabora na vitongoji vya igalula na mtaa wa rufita. kwa habari zaidi juu ya filamu hiyo wasiliana na tripodmediaco@yahoo.com
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...