choki na mie tukiwa na mdau wa denmaki juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 12, 2007

    Umeanza na Wadau wako wasiokuwa na vichwa wala miguu....

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 12, 2007

    MMH BIBIE SOPHIE BILA KUAGA.....
    HUJAKUBALI...
    FILAPARK INACHANGANYA HUKU.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2007

    Mkono na kiuno cha mdau michu, angalie usipate kashfa ya kula sahani na wadau ukatufungia blog yetu bureeee, teh teh

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 13, 2007

    Kaka Misupu Vipi Huyo Dada Mbona Sura Mirinda Mikono VIMTO?

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 13, 2007

    Aaaaah Michuzi utamwamia nini kwa Twanga bwana tunamjua sisi hahahaha kakaka fanya ufanyavyo weka wazee wa Mujini in action kaka Ngwasuma!!

    ReplyDelete
  6. Bila mkono kwenye nyonga ya `mdau`raha yako haijakamilika? Nakuvulia kofia mzee!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2007

    AAAH AAH EHEE ETI SURA MIRINDA MIKONO VIMTO AAAH , EHEE TEH TEH !!!!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2007

    wadau chunguzeni kwa makini mikono ya huyo binti hasa kwenye vidole. vimejaa sugu kama anafanya mazoezi ya ngumi.angalieni wenyewe

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 13, 2007

    Kumbe hata ughaibuni wanatumia mkonoro...teh teh teh teh ...

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2007

    Huyu ni nani tena kaka Masupu ? Au alikuwa mnenguaji ????

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 14, 2007

    mimi naona mauza uza tuu kwani huyo dada ana nini special?upuuzi mtutu

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 14, 2007

    shoga amependeza usoni na makeup yangu watamkoma bongo.wanga wafe mwanamke makeup babu weee

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 15, 2007

    nywele wala hazijampendeza, kazijaza sana zimetutumka!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...