binti yetu flaviana matata akiwa na warembo wenzie huko mexico, ikiwa imesalia wiki moja kabla ya mtanange wa miss universe ambapo hadi sasa yeye ni mwafrika pekee aliyesalia katika kundi la warembo 15 bora. hongera sana wadau wote mliompa tafu kwa kura zenu ambazo nahisi zimesaidia sana. muda wa kura nadhani umeshapita na sasa tuombe mafanikio yake kwani kama picha inavyoonesha ana mvuto wa kipekee. wadau mnasemaje

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Ise! Flaviana ameumbika haswa!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2007

    wow! wat a SMILE !!!!!!!duuuuuu kapendeza sana.she deserve to be on the top cuz she has a beauty as well as talent.wishing u all the best mamieeeeee.rudi bendera juu bana.jema

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2007

    hao wengine mbona wamechoka hivyo??.
    Tanzanians are beautiful.... Flaviana all the best. Kama uko kwenye almanac mwisho wa ku vote ni tar 23 May.

    ALl the best mamii

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2007

    na ninyi vicheche wa bongo wenye tabia ya kudandia mamiss akirudi mu mkome msije mkambukiza virusi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 22, 2007

    na wewe dada ukirudi bongo chunga sana mibaba hiyo inayojitia ina majina makubwa hapa bongo,mingi kazi kugawa vidudu maana haijui hata maduka zinakouzwa condoms!

    ReplyDelete
  6. Binti chunga sana kuna watu bongo wanajiita sijui mapedeshee!!!!!!! kwahiyo siku ukirudi bongo angalia ila siwezi kutoa ushauri zaidi sababu ni mtu mzima kwahiyo lazima anajua lipi baya na lipi zuri kwahiyo akili kichwani jua kwamba kabla ujafika hapo sio wengi sana waliokuwa wakikufahamu au kukufuata lakini sasa hivi tegemea hicho kitu just behave and be yourself

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 22, 2007

    Huyu mtoto ana uhusiano gani na Sheikh Ustaazi Matata?

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 22, 2007

    Huyu mtoto hana uhusiiano wowote na Shekh Matata.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 22, 2007

    Hivi Derrick Mushobozi. Kwa nini kila siku huwezi kuanzisha maoni yako. Mpaka watu waseme halafu wewe unamalizia.
    I am just curious. Naona kila siku kama bendera vile inafuata upepo.

    It has been a while since I started to notice that. I am sorry and don't take it personal because I don't know you don't know and this is just me speaking from my mind. Kam huna comment just nyamaza sio lazima uandike kitu humu

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 22, 2007

    Kwa mara ya kwanza FM au ukipenda 'Full Mzuri' anaongoza katika Globalbeauties.com starting grid position, hebu cheki katika hiyo site hapa http://www.globalbeauties.com/universe/2007/u07_grid.htm
    The Gal is Fireeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 22, 2007

    Jamani she is pretty and beauty lakini Michuzi usitudanganye bwana. Hiyo unayosema top 15 ni just pageant-almanac fans club. Uhusiano wake ni kuwa wao wanakusanya na kuweka record ya majina ya washiriki na washindi wa kila mwaka wa haya mashindano makuu ya ma miss.

    Tusubiri tu hiyo tarehe 28 labda hata tutamuona kwenye TV. Kwa vile most of the time kwenye haya mashindano hata huonagi mtu wa kwetu kwenye TV wakipita pale. Wanakua wameshakatwa huko nyuma siku nyingi sana.

    MissUniverse.com ndio watakua na matokeo yote. Hizi sites nyingine ni ushabiki tu

    God Bless Africa
    God Bless Tanzania
    God bless Flavia Matata

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 22, 2007

    camera ya michuzi ilikua na chuki nae alikuwa anaonekana mbaya kwenye picha zako kuna moja ilikaa hapa mda mrefu hamna mtu aliongelea kitu chochote.sasa hapa ndo watu wameanza kuongelea.

    ReplyDelete
  13. ANONYMOUS TUESDAY MAY 22 2007 8:44:00PM tafuta nini maana ya neno HENNUR natumaini ukipata maana yake utaacha kuchonga just mind your own business i dont give a damn watu kama nyie ndio mnapenda sana ku GOSSIP kuhusu wengine in any case siwezi kubishana na wewe kwani i hope ni mtu mzima na akili zako.........

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2007

    dada unatia moyo...remain focused to the end.Bless u

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...