wadau kunradhi. sio kwamba nataka kuchochea moto bali ni katika kutaka kupambana na hii engo ya jinsi magazeti yalivyotoa uzito wa habari ya ndugu zetu hawa- amina na mpakanjia. nini maoni yako mdau kwa hilo? yaani habari za binafsi za hawa ndugu zilistahili uzito zilizopewa??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 36 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 11, 2007

    Tuna mambo mengi sana mema ya kujadili zaidi ya hawa watu,isipokua kwa vile ni mambo katika jamii na hawa ni watu katika jamaii wanastahili kwanza kabisa ukizingatia umaarufu wao.Lakini sio eti kila siku mpaka Njia,mpaka njia.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 11, 2007

    haikuwa na umuhimu wowote wa mambo yao kuwekwa magazetini lakini waandishi wametumia hivyo kusudi magazeti yauzike.lakini mimi sioni ajabu ya mtu kupeana talaka kwakua hivi vitu vipo,na kutembea nje ya ndoa watu wanatembea,hata mpakanjia mwenyewe anatoka nje ya ndoa mbona alipooa kisichana huko kigamboni haikuvuma sana kama hii au kwakua ni mwanamke ndio kafanya hivyo?hamna laajabu ila na huyo mpakanjia mkubwa sana kwa amina.Amina kubali tu hiyo talaka ukapate kakijana kako aaa uanze maisha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 11, 2007

    Michuzi nafurahi kuwa wa kwanza kuchangia katika hili.

    Swala hili limekuzwa sana kutokana na mambo yao kuyakuza tangu mwanzo, natumaini wadau mtanielewa.

    Ila sio swala la kushabikia sana TUOMBE WAPOE KWANZA NA MWENYEZI MUNGU awajalie kuwa na moyo wa subira na kusameheana, kama ni makosa yanafanywa na binadamu na ili tuishi kwa amani kwenye duni ahii hatuna budi kusameheana.

    Nimefurahishwa na comment ya mpakanjia jana au juzi kuwa sasa swala hili mjadala umefungwa TUWAACHIE WAO SASA. wakatabahu !!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 11, 2007

    Huyu demu bwana kuanzia mwanzo huyu Mpaka Njia kampata sababu ya hela,jamaa lenyewe dingi kitambi nyie mnafikiri huyu demu hamtaki mtu handsome kama Zito?zitto ana malengo sana huyo dogo na huyu demu anaenjoy hayo malongo ya zitto sasa babaako Meddy amebaki umaarufu eti mtoto wa mjini hakuna tena hivyo vitu jamani.Huyu jamaa ana investment gani ambayo iko secured?Ana elimu kiasi gani,kiasi hata cha kupata kazi mahali?Amina thought of all those factors akasema ngoja ale uroda na dogo zitto,chalii ni 30yrs,Amina 20 na kitu perfect match.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 11, 2007

    Hao mambo yao walikuwa wanayaanika magazetini na redioni tangu wakiwa wachumba mpaka walipo oana! Kwa hiyo siyo ajabu kuona magazeti yakiendelea kuandika kuhusu mambo yao binafsi kwani wao wenyewe ndio wanapenda hivyo.......PUBLICITY

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 11, 2007

    MGOGORO wao wangeumaliza wenyewe c kama ukivyopewa uzito na magazeti hayo ni mambo ya PERSONAL AFFAIR, kuna wabunge wangapi wameachwa au wameacha?????!!! wote washenzi tu wa tabia......,yani hatupumui! ukugeuka huku amina huku mpakanjia..,ebo!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 11, 2007

    afu huyu m-catway anafanana sana na nchimbi....!
    teheteheteheee...

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 11, 2007

    NAONA NDO WAMEKUWA POSH AND BECKS WA TZ................

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 11, 2007

    binafsi sijafurahishwa kabisa na magazeti yalivyolipa kipaumbele suala hili.mimi naona ni kuingilia mno maisha binafsi ya mtu, eti hata gazeti la serikali nalo limeng'ang'ania habari hizo kama siku mbili mfululizo kama sio siku tatu, ni aibu kwa gazeti hilo la kiswahili la serikali.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 11, 2007

    Nini Sasa Michuzi??...
    Wewe si uliahidi kulifuatilia hili swala na kutuletea taarifa toka kinywani kwa farasi mwenyewe.
    sasa mbona unarudi na kutuuliza sisi 3d Parties?

    hapa misoup umechemsha kinoma!

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 11, 2007

    Wadau wa Blog,
    Amina na Mpakanjia hawana lolote zaidi ya kutaka Popularity.
    Amina upande wa siasa na Mpakanjia upande wa kibiashara.

    hizi story zote ni wao wenyewe wanaozichochea ili waandikwe magazetini na kutajwa kwenye vyombo vya habari.
    kifupi ni kwamba, story ya Amina na Mpakanjia ni tangazo la bishara. sasa sijui kama michuzi kalipwa advertising fee kwa kurusha hii habari au la!
    kama mlikuwa hamjui ndio basi mfahamu.

    natambua kwa kuchangia maoni ktk hii topic ndio naikuza zaidi lakini hapa nafanya hivi ili kuwafahamisha wadau wenzangu kuachana na hii story.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 11, 2007

    Biblia inasema alichokiangunisha Mungu Mwanadamu asikitenganishe.

    Hawa maruhuni wawili waliungana wenyewe lazima watengane wanga wakubwa hawa.Ona wanavyowanga kweupe na huo mguso wa kingono mchana kweupe! Hamwezi subiri giza liingie? kweli nyie nyoko!!

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 11, 2007

    waalitaka wenyewe Publicity tangu mwanzo, kwa hiyo sasa Amina anaona sasa matokeo yake. They have to deal with it now!

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 11, 2007

    Michuzi naomba tuulizie kwa Mkapa na Njia, Kulikuwa na umuhimu gani kupeleka talaka kwa spika wa Bunge letu tukufu?

    Wamecheza na vyombo vya habari wameona haitoshi sasa wameamua kuingia bungeni.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 11, 2007

    haya sasa kilichobakia ni amina kuaanza kutaja siri za mume wake cz tunajua kuwa amina alishawahi kusema kuwa ana majina ya watu wanauza unga.. na hyo mpakanjia tunajua fika kuwa anadili na mambo hayo sasa nae amtaje bc.. by wakandamizaji

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 11, 2007

    MICHUZI
    HII INAONESHA JINSI GANI UNAVYOJIKOMBA KWA HII FAMILIA.FICHA SHIDA ZAKO NA UWE NA AIBU.UNAJARIBU KU SEEK SYMPATHY FOR THIS FAMILY.KILICHOTOKEA KWENYE MAGAZETI KWA UFUPI NI "THE MORDEN MEDIA" THAT'S HOW MEDIA BEHAVES IN 21st century.NEWS IS AN OPPORTUNITY.Kwa hiyo huo uzito ni mdogo na bado wajiandae for storm.mifano hii itakusaidia in future paul and heather mcat,the beatles hapo UK.chelsea billioneare Abro.and his wife'Ian wright and his wife,jlo and p.didy,christina ndio usiseme.Hao jamaa tayari walishakuwa bongo celebs.michuzi tabia chafu sana hii ya kujipendekeza.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 11, 2007

    hakuna ubaya kwa huyo mama kuanika mambo yake ya ndoa. Ubaya ni kwa vyombo vya habari kuyachukulia kama ni "hard news" yenye haja ya kupamba magazeti yetu na radi/tv zetu, kana kwamba ni "scoop".

    Wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi ni lazima watofautishe ni wapi pa kutoa habari kama hizo za Bwana Paintiwayi na Mama Chibone.

    Chibone anayo haki ya kuyaanika kwenye utitiri wa magazeti yetu ya tabloids!








    b

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 11, 2007

    michuzi tunakuheshimu.
    kualikwa kwako isiwe deni kutaka kuwadifendi. iwe ilivyokuwa achana nao!!!
    si mume si mke aliyembele hajulikani. hawamjui yesu wala mtume mhamad hawa!!

    ReplyDelete
  19. FOR HEAVEN'SAKE ISSA TUMECHOKA, WATAJIJUA!

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 11, 2007

    Eti anatafuta mwanaume 'handsome'!!! Mwanaume handsome ndio nini? Mwanaume gwaride bwana. Ukiona mwanaume anajiita mzuri basi huyo 'mlango wa nyuma' uko wazi. Again, 'mwanaume gwaride,'

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 11, 2007

    Mtu mzinifu ni mzinifu tu, hata mkimvalisha suti ya malaika, atajisahau atarudi kwenye pepo lake. wote ni wababaishaji tu. hakuna cha Mfanyabiashara(tapeli) wala Mheshimiwa(samaki)ndio maana hawaifahamu ndoa ni nini. tafadhali Michuzi timiza ahadi yako ya kutuletea taarifa KUTOKA KWENYE KINYWA CHA FARASI.

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 11, 2007

    hii ni fundisho kwa INNO na Jenifa na WOTE WENYE KUPENDA KUTOKUWA NA SIRI!!!
    Kama mkeo mjamzito,ukatuma picha kwa michuzi,akijifungua utatuma tena...siku wajanja wakikusaidia mkeo,habari hiyo kwa Misupu tutaituma sie...
    Hivyo wote tujifunze nini cha kutangaza na nini cha kuongelea chooni.
    Michuzi,nilidhani unaabudu walioughaibuni tu,kumbe hata wenye fedha wa hapo home pia unawaabudu!
    Hongera kwa kutokuwa na nafsi hai...

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 11, 2007

    AMINA alipenda sana kuandikwa coz she likez publicity but wateve the case wateva they do in their personal life iz non of our fuckin buzines,,,kama mtindo ndo huo basi wakiwa hata wanatiana wawe wanaandikwa kwenye magazeti!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 11, 2007

    hivi jamani ni lini huyu amina atatambua kwamba yeye ni kioo ktk jamii kwa sasa, kuwa mbunge si kazi ndogo jamani, inabidi mambo yako yaendane na nafasi uliyopewa. lakini mimi nitailaumu sana serikali ya awamu ya nne, kwa kumteua amina kuwa mbunge, kwani historia yake ya kimaisha haikumstahili kabisa kupata hiyo nafasi aliyonayo, amina hajakomaa kiakili kabisa, kiasi kwamba hajui nini afanye ktk jukumu alilonalo, angalieni hata anapotoa hoja bungeni, yeye huongea utadhani yupo uswahilini kwenye vijiwe vyake vya umbea, na ninaungana kabisa na wenzangu wanaosema elimu ndogo ya amina inachangia ujinga wake huo, kitu kingine ninachoweza kusema ni kuwa UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI MDOGO MNOOO!!!!!! kwa sababu unaweza ukawa huna elimu ya kutosha but ukawa na upeo wa mawazo, kwani kuna wabunge wangapi wasichana mmewasikia wana upuuzi huo, nakumbuka serikali ya awmu ya tatu ilimzuia mbunge mohammed dewji kugombea ubunge wa singida mjini kwa kipindi kile kwa kigezo kwamba umri wake ni mdogo, amina je si mdogo huyo? na dewji kwa mwaka huo alikuwa na umri kama wa amina sasa hivi, vilevile bwna dewji akaambiwa hajakomaa kisiasa, na aandaliwe kwanza kwa awamu ya nne, je hiyo si ingewezekana kufanywa kwa amina pia, na wakati ule mohammed dewji alikuw maeshaonyesha mambo mengi muhimu ambayo serikali ingemtambua kabisa kuwa angefaa kuanzia kipindi kile, sasa jamani kwa nini serikali hiyo hiyo imeshindwa kutambua suala hilo kwa amina? mi naona kwa sasa amina asimamishwe wadhifa huo, na aandaliwe upya kwa ajili ya awamu inayofuata, kwa sababu ukiangalia michango yake bungeni ni ya kuropoka tu bila kuangalia mbele kutatokea nini, matatizo yake ya kifamilia hawezi kuyasolve inavyotakiwa mpaka ajianike kwa mbunge kama yeye anaifundisha nini jamii jamani. kama wanahitaji wabunge chipukizi, kuna wanafuzi vyuo vikuu, ha kwenye high schools ambao nina hakika wamepevuka kiakili, na wangepewa nafasi hizo wangeisaidia jamii kwa kiasi kikubwa, na kuwatetea vijana na hasa ktk ngazi zao za kutafuta elimu, kwa sababu sasa hivi kumekuwa na matatizo mengi ktk vyanzo vya elimu, huyu amina aachwe aendelee na umama shughuli wake, u-mc na utangazaji wake wa kijinga, hicho kiti jamani wapewe watu wenye fikra zao, yaaani huyu mtoto ni yule ambaye ukimfanya hivi atakutishia kukutolea siri fulani, imagine huko bungeni kuna siri ngapi, ambazo mtoto kama huyu akizijua anaweza hata kuiuza serikali kwa mdomo wake wa kuropoka.

    na huyo baba yake amemfanya amina ndiyo kitega uchumi wao hawali bila yeye, kwa nini kila amina napovurunda yeye anatetea?????????? alipoanza kumuiba mpakanjia kweny ndoa yake ya kwanza mzee chifupa alifikia hadi kuwapiga waandishi wa habari kwa kuchapisha habari hiyo, aliposema yupo tayari kuwataja wauza unga, mzee chifupa alijitoa gazetini kwa kusema nimemzuia amina asiwataje wauza unga, juzi hapa amina amewakusanyisha waandishi wa habari ili awaeleze kile yeye anachokiita UWAZI NA UKWELI MTUPU, ameenda yeye mzee chifupa na kusema nimemshauri amina asiongee lolote, WHY!!! amina yeye amejiamini kuwa ni msema kweli kwa nini yeye amzuie, amuache awe anauongea huo ukweli, na aache kabisa tabia hiyo ya kujiiingiza katikati, huyo mwanae ni mpropokaji sana.
    JAMANI SERIKALI IJIANGALIE SANA NA VIONGOZI KAMA AMINA CHIFUPA. NCHI YETU INA AMANI VIONGOZI KAMA AMINA KUJUA SIRI ZA SERIKALI NI HATARI SANA, NINGEIOMBA SERIKALI TUKUFU ILIANGALIE SUALA HILI KWA MAKINI SANA.
    Na bwana michuzi hawa wajinga wasikupotezee muda kabisa wa kuwaweka wajadiliwe humu, weka maendeleo tuyatolee hoja.

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 11, 2007

    Fact about Amina Chifupa:

    1.Kishughuli(nadhani kunako 6x6) ndo manake akaitwa Mama Shughuli! Anapodhamiria huwa anatisha, kamuulizeni mke wa awali wa Mpakanjia na Kine wa TAZARA(sijui bado yupo?). Sina hakika kama Mama Kabwe ataibuka kidedea akiamua kuelekeza mashambulizi.

    2. Kiuchumi:Inasemekana anashikilia uchumi wa Mpakanjia kwa kufahamu njia zote za panya anazotumia pamoja na "mafundi" anaowa_consult mumewe wa zamani kwa mafanikio ya kibiashara. Kwa habari za kiugandamizaji, eti amechangia sana kumpandisha chati mtaliki wake.

    3. Kielimu: Amechangia kwa zaidi ya asilimia 90 kwa mtaliki wake kujiunga na elimu ya watu wazima na kujifunza kikatoliki i mean Kiingeredha.

    4. Kivita i.e alikuwa Mwenyekiti wa Al-Caeda Tanzania( kama mtakumbuka mtandao ulioundwa na kundi la mastaa wa kike mwanzoni mwa miaka ya 2000 kukomoa wanawake wanaovunja ndoa za watu-ingawa ye mmojawapo). Najiuliza kama ata_revert to kukomoa wanaume wataliki! On top of that, ana uhusiano wa karibu na redio mbalimbali hasa moja "jina kapuni" maarufu kwa kupondea watu hasa masaa ya asubuhi kwenye kipindi cha Ponda Break Fast! Hivyo anauwezo wa kumchafua mtaliki wake vibaya hata mitaa ya Bilicanas aliyojifunzia ndoani asikatishe! Halafu kwa mipasho huyo?

    5.Kisiasa: Kama niko sahihi, ni mbunge mwenye umri mdogo kuliko wote kwenye Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(miaka 26). Amepata kujuana na kujulikana na wahishimiwa kwa muda mfupi akiwemo Mhe. Kabwe Zito. Na kama kawaida yetu ya chama, masuala yote tunamaliza kichama na tunalindana. Sina hakika kama barua ya malalamiko ya Mpakanjia itapata ufumbuzi sahihi. Rejeeni kesi ya Malima VS Mengi.

    6. Kiutamaduni: Kwa habari za udaku zilizonifikia huyu mhishimiwa anatoka kwenye kabila ambalo bado wanaendeleza mila zao hasa kwenye matumizi ya nguvu za asili.

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 11, 2007

    Kazi ya mpaka njia kama ni celebrity wa bongo na ana hela za kuwaita waandishi wa habari basi sio norma.

    Lakini kazi ya mbunge na upaparazi wala haipendezi na inaonyesha jinsi bunge letu walivyododea tu.

    Samaki mmoja akioza wote wameoza.

    Angetakiwa awasiliane na wakubwa wake wa kikazi kabla ya kuachia mambo yake ya kifamilia yaandikwe hadharani. Hivi kwani wao tu ndio ndoa zao zina shida?

    Wangemtengua ubunge aendelee na masifa yake. Akili yenyewe hana sijui anafanya nini bungeni. Wewe ukipewa talaka press conference ya nini idiot?

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 11, 2007

    watu wengine bwana! wee anon wa Friday, May 11, 2007 11:13:00 AM yaani umekremu kuwa kila mtu anatafuta kazi??? Yaani wewe ndio unasababisha tuendelee kuwa watumwa kiuchumi kwa sababu ya kutafuta ajira siku zote. Ajira ni njia mojawapo nzuri kwa mjasiriamali kujifunza maswala ya kiutendaji pale unapokuwa huwezi kufigure out njia yako mwenyewe. Lakini u can't just dis Mpakanjia like dhat. The guy is a businessman and is employing people bwana. Usijali sana elimu yake ni mjasiriamali huyo, kikubwa ni kujaribu na kutake risks.

    Kuhusu mada yako misupu, ni sawa kabisa magazeti kuwananga hawa mapimbi. Sasa nani asiyetaka hela ya chee bwana, si unaona hata wewe blog yako ilivyopata hits kwa hawa jamaa.

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 11, 2007

    Mimi nadhani ili jambo lilikuwa na kila sababu ya kupewa kipaumbele na waandishi wa habari . Lakini mtu wa kulaumiwa ni Mpakanjia kitendo chake cha kuandika barua kwa spika kimesababisha hii ishu iwe ya Public na sio ya watu wawili tena. Na sio hivyo tuu hawa waheshimiwa ni public figure ...kwa hiyo kuna watu , watoto wengi ambao wanaconsider wao kama marole - models.

    Namuonea huruma sana AC kwani yeye ni victim wa siasa za bongo . Mme wake anatumiwa na watu bila ya kujijua kwa sababu wanajua mapungufu yake na uwezo wake mdogo wa kufikiri . Jamani hata kama unamchukia Amina lakini hakuna substantial evidence to tie her with the crime apart from hear say .

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 11, 2007

    Watanzania kwa umbea tumezidi.Yaani maoni 28 ni kuhusu maisha ya watu tu.Ndio maana hatuendelei.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 12, 2007

    Ninaamini idadi kubwa hapa ya watoa hoja ni ya vijana, na kinachonisikitisha kuliko vyote ni mnavyomtosa kijana mwenzenu mliyemchagua kwa kura nyingi kabisa kuwawakilisha ninyi vijana,,, kwa maana nyingine kuweni makini kutoa maoni yenu, maana mengine mnayemlaumu sio makosa yake, bali ninyi mliyepigia kura za kutosha. Kumbukeni vizuri kwamba ni mwakilishi wenu mpende msipende.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 12, 2007

    Sir Issa..VIPI MAALIM..KWELI UNAFANYA KAZI KWA BIDII...PICHA IMECHANUA HII..." WEWE PROMOTA AU ...CHEKI ULIPATA..?"

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 12, 2007

    Bwana Mishuzi, samahani bwana Michuzi, hawa binadamu (Amina na Mpakanjia) walipendana wenyewe. Sidhani wakati wanatongozana hadi kuanza mapenzi na hadi kuoana kuna mmoja wetu walimuomba ushauri wa mahusiano yao! Leo hii waposhindana kutokana na tabia zao wenyewe inabidi tuwaangalie tu au tuwasikize tu! Walipendana wenyewe na mahusiano yao wameyavunja wenyewe. Hiyo ni ruksa ila mradi tu mchawi asionekane Zito. Zito asitolewe kafara bwana!

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 12, 2007

    Hapo umefanya la maana sana kututolea mjadala wa wale malimbukeni, Ila kinachonishangaza na hii stori yote hapa ungetoa sio KUBANDUA PICHA, kama ulivyfanya hapa toa kila kitu, tujadili mambo mengine, Au unawaogopa nini michu umebandua picha umeacha maoni. Toa kabisa hawa vilaza sisi tumewachoka.

    ReplyDelete
  34. AnonymousMay 12, 2007

    michuzi tangu ulipoalikwa kula pilau kwa hawa viumbe naona mikono yako hujanawa vizuri imekua shida unatupakaza na sissi mafuta,hatuna raha tugigeuka huku chifupa tukipumua mpaka na njia ebo hebu tafuta ishu ya maaana tuijadili hapa,mxiiiiii

    ReplyDelete
  35. AnonymousMay 12, 2007

    chifupa alitaka fupa na paka njia hana!!!! basi akaamua aende kwa zito mwenye chifupa chizito..... haaai how does that sound.......... kuna mambo muhimu ya kuongelea...

    ReplyDelete
  36. AnonymousMay 13, 2007

    MISOUP NA MIMI NINA DUKUDUKU LANGU NATAKA KUFANYA KAMA WALIVYOFANYA HAWA MAPIMBI.UPO TAYARI KULIWEKA HUMU WATU WALIJADILI? NATAKA KAKIJI-PUBLICITY AU VIPI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...