Home
Unlabelled
nguna
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Aaah michuzi nina mashaka Photoshop imetumika hapa. Hao mashehe kumi tu ndio wafukie bwawa hilo la kipunga??
ReplyDeleteKweli jamaa wako juu!! Hiyo nguna ni ya kufa mtu...Ni saudia hapo ama??
ReplyDeleteWamechinja Kondoo wangapi hapo!
ReplyDeleteMzee hii kali kweli, hapo mtu kufa hafi ila kupigika atapigika
ReplyDeleteWanataka kwenda kwenye guiness book au ni ro real watu wanakula pilau lote hilo. Mbona hata sahani ni kubwa sana.
ReplyDeleteHilo pilau na rangi yake linaonyesha kali sana. mate yananidondoka hapa nilipo..
Usikute hivyo ni vichwa vya watu na nyama za binadamu...you never know my friend...
ReplyDeleteHalafu miili ya kawaida tu,kweli kula sio kunenepa jamani.
ReplyDeleteSasa watafikaje hapo kati?labda wajinyooshe kwa staili ya kulala...aahahha ahhahha!
Ehe bwana Michuzi, hilo plate la hiyo pilau balaa. Yaani hapo unakula unashiba, unakwenda kuswali na ukirudi unakuta wanaume wanaendelea na shuguli.
ReplyDeleteGAZ
Hii kali, siamini!!!
ReplyDeletedu mchuzi hii wapi?sasa hilo limepikwaje?mtume kweli hao warabu sijui ni kiboko ya pilau
ReplyDeleteIna maana hilo ni sinia la pilau? Utani huo mjomba!!
ReplyDeleteUnakumbuka zile enzi za mnuso uswahilini na unaenda na ndizi!!!
Ha ha ha haaa
MICHUZI VIPI TENA? WAKIMALIZA PEMBENI WANAINGIA KATI NINI? NINA HOFU ISIWE WANA ASILI YA GININGI- BY MUDRIK ZANZIBAR
ReplyDeleteyaani nahakika kwamba humo si chini ya magunia 20 ya mchele na ngamia 6 sio mchezo.yaani hilo punga likifika kati mtu anakucja kanzu yake anazama kati anaendelea kugonga kama kawa.
ReplyDeleteUkistaajabu ya Musa utayaona ya Filauni HAPA
ReplyDeletenina wasiwasi sana na healthy and hygiene hapo!!
ReplyDeleteUwiiiii, hii picha inanipa kichefu chefu!
ReplyDeleteLabda wanakula wkw azamu hapo
ReplyDeleteKumbe waarabu walafi hivyo!
ReplyDeletemi nasikia kutapika!
ReplyDeleteHivi waislamu ukitaka kula pilau lazima ukae mkao kama vile wa mtu anayetaka kunya.
ReplyDeleteAu dini ndio imeagiza huo mkao! maana iwe maulidi au iddi huwa naona watu wanakaa huo mkao wa kutaka kunya.
We mshenzi usiye na adabu na dini za watu wa saa 1;07,hv wewe ukitaka kunya huwa unakaa hivo ndio unakunya?basi hujitapakaza mavi matako yote!maana hapo wamekaa umeona wamechutama hapo,muone kazi kuiga wazungu tu ndio maana mnanuka mikojo na mavi matakoni ajili ya toilet paper za kuiga uzungu.
ReplyDeleteAnon wa 1:07 hivi wameandikwa hao ni Waislamu? Naomba ufafanuzi tafadhali.Inaelekea mwenzetu una elimu kubwa sana hadi umeweza "kugundua" kitu ambacho wengine HAWAJAKIGUNDUA!...teh teh teh!
ReplyDelete