Home
Unlabelled
rioba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera bi Jane Mihanji nakumbuka enzi zako za Uhuru na Mzalendo kabla hujaenda RAI/Dimba na Mtanzania. Umekuwa mbunge au naota tuu....misoup wewe vipi husimami pale gerezani ulikokulia? MTZ
ReplyDeleteYaani kila mtu ni mbunge usishangae sana ndugu yangu.
ReplyDeleteMimi kuna jamaa moja niliona nina lake ni mbunge nilishangaa pia.
Ubunge ndio position zipo vacancy bongo kwa hiyo kama uko majuu ukirudi kupata kazi itachukua mda ni heri ujaribu ubunge. It is so easy. Kama huna pa kugombea basi jaribu wakuteuliwa angalau.
Ndiyo. nawaona - wewe, ticha wako na jane. Lakini mko wapi? Au mnakwenda wapi? Hujasema.
ReplyDeleteMko wapi, au mnakwenda wapi? Michuzi eleza!
ReplyDeleteAyubu,
ReplyDeleteStili ezi hendisamu ezi eva, yu a luking gudi oloweiz!
Kipu apu blaza.
Ayubuuu...nakuona mjomba, shavu shavu..nini, naona mambo si mbaya, vipi vikao bado vinaendelea maryland??!!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletembona unakosea lugha? "Niko na ticha wangu" ndo kiswahili gani? Unatakiwa useme "niko na mai ticha wangu"! Kama kiswahili kinakushinda sema ufundishwe! Ebo!
hongera dadangu Jane Mihanji duuhhh kumbe bado uko supa nilisikia minong'ono fulani hivi watu wakisema oooh sijui nini, lakini Mungu jaalia Hongera Mheshimiwa Mbunge hivi yule mumeo DJ Masoud Masoud yuko wapi.
ReplyDeleteMhhh jamani huyo dada Mheshimiwa?Ama la kweli Tanzania imekwisha.Sasa hayo mavazi unaweza kumtofautisha na mdada tu wa mtaani???
ReplyDeleteKwa kweli wewe dada hujakaa kama muheshimiwa kabisa.Jiweke uheshimike.Sijui hayo mavazi ulikuwa unakwenda wapi.
Kama kawa muheshimiwa unadhani Dj Masoud Masoud anachake hapo, huyo ni muheshimiwa na wenzake waheshimiwa kwani hamjui
ReplyDeleteMbona huyu mheshimiwa nimem search kwenye bunge site lakini sioni jina lake? Ni mheshimiwa wa nini? Naomba kuuliza nilizania ni mbunge au nimekosea? kwa vile kiswahili cha michuzi saa nyingine kinatatanisha sana
ReplyDelete