Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Amanai Abeid Karume akipata maelezo mbali mbali ya chama cha Social Demokratic Party(SPD) wakati alipofika hapo makao makuu ya chama hicho kwa ajili ya kuonana na Mwenyekiti wa SPD leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2007

    Una maanisha SDP ya Ujerumani au wapi? Make hujaandika nchi gani alikotembelea Mhe. Karume.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Hicho ni chama cha wapi?? Ni MTWARA nini??

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 07, 2007

    Hapo sijui anasoma nini achilia mbali kuelewa nini hao jamaa wanafanya..utasikia akirudi tuige wenzetu wa demokratic party. makofi wa wa wa ...No brain at all..hivi jamani karume ana akili kweli..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...