ukumbi ulikozinduliwa filamu ya simu ya kifo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 07, 2007

    Michuzi,
    Ukumbi huu uko wapi hapo Daaa

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 07, 2007

    Duh, baada ya kuona hayo ya ndani naona huu ukumbi ungeitwa THE LITTLE SCREEN THEATRE (naona hicho ndio hasa wanachomaanisha)

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 08, 2007

    Enzi za Mwalimu hapo palikuwa exclusive kwa ajili ya wazungu na ma expats! Nafurahi kuona wadau wanapafurahia sikuhizi!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 09, 2007

    Naomba ni wajibu wote wawili, Ukumbi huo upo pembeni ya Protea Apartments pale karibu na St. Peter's church, Oysterbay. Wewe Anony 8:04 kama hujui kitu nyamaza kimya kabla haujatia aibu na watu wakakucheka The Little Theatre kuna screen kubwa ambayo pia ilitumika kuonyeshea filamu. Nenda kaone ndo useme sio unakurupuka tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...