Home
Unlabelled
vimbwanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Saa za mwisho zilizotabiriwa ndio hizi. Wanaume na wanawake wazima na akili zao wakikodolea macho tupu za wanawake mbele ya halaiki. Tusubiri maangamizi!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletemai milk is standing !
ReplyDeleteMwalimu Nyerere anajigeuza huko kaburini kwake!
ReplyDeletemichuzi nawewe kumbe ulikua jaji, ulifaidi mauno kwa macho
ReplyDeleteohoo!! mungu wangu tanzania yetu inakwenda wapi, yani tunaona ufahari kufanya mambo haya na kuwakopi watu wa ughaibuni.halafu tunapigania haki za mwanamke tutafika kweli kwa mambo kama haya, nadhani nata baba wa taifa alipo anasikitika na nchi yetu inavyokwenda.
ReplyDeletemara shindano la twanga pepeta mara sijui manywele mara sijui nini na nini, maendeleo wa mwananchi wa kima cha chini kweli yatapatikana kwa mambo haya kila leo kukicha starehe na mambo ya kipuuzi ndo yaliyozagaa nchini mwetu, watanzania at one time tulikuwa tunaheshimika ulimwenguni na kujidai na ashukuriwe baba wataifa daima leo hii yalio baki ndo haya na wanawake kuwa chombo cha kuwaburudisha wakina baba. poleni sana ndugu zangu, mungu atakusaidiyeni tuu, yani haya kabisa si maendeleo wala si burudani kabisa ni uzalishaji wa mwanamke daima na si nchini mwetu kote ulimwenguni upo..
inasikitisha na kukatisha tamaa kuona wakina dada na wakina mama zetu wakikata mauno mchana kweupe mbele ya umati wa akina baba wasio wahusu ili tu upate mtu chochote.
mungu wangu isaidiye nchi yangu tanzania amen.
Tumekwisha! Siyo maadili ya mtanzania hayo mashindano!
ReplyDeleteNakuona Manager Mrisho wa Global publisher(kwa Shigongo)kumbe nawe ulikuwepo?
ReplyDeleteHuku ni kudhalilishana. Yaani mwanamke achenze mbele ya wanaume ndio nini?
ReplyDeleteHii ni indirect ukoloni unarudi au legalized porno. Mmefanya wanawake ni kivutio chenu kwani wanawake hawawezi kujua kuwa mtu anacheza vizuri? Sioni judge mwanamke hapo.
Huuu sasa ni ujinga majaji wanaume ndio nini? wanawake hawajui kujaji na Asha naye amecheksha hebu asituzalilishe wanawake bana alaaa!!!!!
ReplyDeleteACHENI KUWADHALILISHA WANAWAKE!! HII NI AIBU KUBWA KWA WATANZANIA NA TANZANIA.
ReplyDeleteJamani haya ni mambo ya kawaida kabisa. Huwa yapo kila wiki katika baa zetu kunapokuwa na show za live band au promotions za bia. Mnaoshangaa bila shaka huwa hamhudhurii "vikao"
ReplyDeleteHUU NI UDHALILISHAJI WA WANAMKE,VYAMA VISIVYOKUWA VYA KISERIKALI VYA KUPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE VIKO WAPI?WANAOPENDA USAWA WA JINSIA WAKO WAPI?TANZANIA BULLSHIT NCHI MASIKINI BADALA YA KUFANYA MAMBO YA MAANA MNAKADHANIA UJINGA,MARA TWANGA SIJUI NINI,MARA CHIFUPA.INACHUKUA MUDA YA MAMBO YA MAANA YANASAHAULIKA.KICHEFUCHEFU!
ReplyDeleteITS NOT UZALILISHAJI WA WANAWAKE KUCHEZA JUKWAANI BUT SIKUDALIANI NA HUYU DADA AISHA KUCHEZA KWENYE HIYO MEZA.
ReplyDeleteMAVAZI YABADILIKE KIDOGO.
MWANAMKE ANAJINYANYASA MWENYEWE NA UJINGA NA SHIDA ZAKE.KINA DADA NENDENI MKASOME.KUNA NJIA ZA KUHESHIMIKA ZA KUJIPATIA PESA.