Home
Unlabelled
waigizaji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwanza nataka kutoa hongera zangu kwa waigizaji wa filamu hii ya Simu ya kifo. Mimi nilichotaka kusema jamani tukae tukijua kujiendeleza zaidi katika kipaji hichi ni kama ukishajua kusimama na kuongea basi inatosha hapana tujiendeleze ili tuweze kuleta mambo mazuri zaidi. Kingine ni kwamba jamani mavazi ni kutu muhimu sana. Hembu angalia mlivyokaa hapo kwenye stage hivi ndio mmeambiwa kuna uzinduzi tujaribu kuvaa vizuri kidogo najua uwezo nao unachangia lakini mavazi nayo yana-matter sana katika vitu kama hivi ndio hiyo ninayosema pamoja na shule pia kwani ukiwa kama muigizaji utaweza kujifunza na huwa wanafundishwa kama unasimama wapi unatakiwa uvae vip tujitahidi kwa hilo otherwise iko kwenye mstari nawapongeza sana.
ReplyDeleteMichuzi, toa basi CAST LIST, nani kacheza kama nani. Namwona Dada Thecla Mjatta hapo!
ReplyDeleteHuyo dada mwisho kulia kavaa gown kama anaenda kwenye Oscars vile na huyo Mama mwingine kavaa kiheshima. Kumbe Riyana ni mfupi.
ReplyDelete