jay dee na bendi yake ya machozi walitumbuiza katika sherehe za miaka 50 ya idhaa ya kiswahili ya bbc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2007

    celebrity wa bongo huyo hahahahaaaaaaaaa what a joke!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2007

    celebrity wa bongo huyo hahahahaaaaaaaaa what a joke!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2007

    haijalishi how she looks alike, muhimu ni kuimudu vyema fani yake. wawawaaaa Jide, kaza buti, achana nao hawa walokosa ya kupost

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 30, 2007

    nimeipenda hiyo ya kimasai, kwani mnataka avaaje huyo dada ye anapenda kuonekana kiafrika nyie mmezoea manywele yenu ya bandia hovyoooo!! watu wakiiwakilisha nchu yao mnaona haifai na thamini ulichonacho

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 30, 2007

    kuna wasichana wa kisanii engi tu tanzania lakini sijawai kuona wala kusikia wanaitwa kwenye mialiko ya heshima kama hii ila jdee sabab anajiheshimu nadhani havai uchi uchi kabisaa

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 01, 2007

    Bwana whatever you call her but this woman can sing Siliza hapa huu wimbo Distance I hope nyimbo zake zote ni kama huu na kuna mwanadada mwingine ameimba wimbo unaitwa pressure bwana wangu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...