
bingwa wa uzito wa juu afrika mashariki na kati toka kwa watani wa jadibtom 'black rhino' okusi

boksa ahmed 'big braza' tamim na meneja wake

promota wa boksing shomari kimbau akiongelea kuhusu mpambano wa leo. ambapo boksa wa kibongo awadhi 'big braza' tamim anapanda jukwaani kuwania ubingwa wa uzito wa juu wa afrika mashariki na kati kwa kupambana na bingwa wa uzani huo kwa sasa, tom 'black rhino' okusi wa Kenya katika mambano utaofanyika kwenye ukumbi wa millennium tower uliopo kijitonyama, dar.
Aisee inaonekana huyo bondia Ahmed ajapigana mapambano mengi kwani sura yake bado nzuri haina mapindo tumpe miaka2 tuone uso utakavyokuwa na cologation.
ReplyDeleteDuuh huyu bondia rhino amefanana sana na msolopa ganzi
ReplyDeleteTamim hits Kenyan by KO
ReplyDelete2007-07-02 08:31:16
By Gasper Victor
Awadh Tamim knocked out Kenyan Tom Okusi to grab the East and Central African heavyweight title in a boxing match in Dar es Salaam at the weekend.
Tamim heavy jabs sent the Kenyan to the canvas after one minutes and two seconds of the first round in the scheduled 10 round fight.
Hussein Chiwa also won national super welterweight title after beating defending champion Selemani Said by KO in the ninth round.
Benson Mwakyembe defeated Kenyan Mustafa Noah by KO in the eighth round in super middleweight as Karama Nyilawila beat Joseph Odhiambo of Kenya by KO in middle weight.
Mada Maugo knocked out Ramadhani Miyeyusho in the second round in the welterweight.
Joseph Marwa won by 80-78 points against Kenyan Chris Serengo in the heavyweight.
Shaban Tampa won on 79-65 points against Kenyan Raymond Ochieng in heavyweight.
Ezekiel Mwaiwega won by KO in a bantam weight fight against Ajabu Salum.
* SOURCE: Guardian