Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 29, 2007

    Nadhani wakati una-post picha ya Papazzzzzzz ulikuwa unasinzia ndo maana hukuweka picha.

    Jambo Forums imekuwaje? Waulize wadau wenzako maana hata KLH News ya Mwanakijiji nayo haipo. Au jamaa wamekasirika walivyoona wakuda wanazoza mbovu kuhusu kifo cha Mh A. Chifupa?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 29, 2007

    Kweli anony wa hapo juu, Jamboforums haipatikani kumetokea nini ? Ama nayo imekuwa hacked kama BCS kipindikile ?????????????

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 29, 2007

    JAMBO FORUM vipi?????

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 29, 2007

    Jambo forum waambieni kwamba wanabidi waongee na hosting provider wao wabadilishe kitu kinaitwa DNSAS server au IPSTAGS ili waweze kurudi hewani.

    Ni ushauri tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...