tom mjapani wa kipindi cha kimasomaso cha bbc idhaa ya kiswahili akimhoji lady jay dee jana kabla mwimbaji huyo hajatumbuiza kwenye sherehe za miaka 50 ya idhaa hiyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2007

    hii hairstyle ya jide sijaisajili. ametishaaa. kwa sura yake nzito na kubwa alitakiwa aweke wigs tu za kuficha uso
    aisha habib,

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2007

    We Aisha Habib huna maana! Ni lini Lady J ataacha kupondwa kwa kila afanyalo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...