Home
Unlabelled
umma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JK hana ubavu wa kutapisha na kutoa hiyo mihela ya umma. Tunaangalia usoni wakati ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni, piga rungu tu!
ReplyDeleteJK HAWEZI KUTAPISHA WANGU> NGOME KALI ILE. SI UNAJUA TENA KIAFRICA. BADO TUNA SAFARI NDEFU
ReplyDeleteAnon wa June 28, 2007 9:05:00 PM EAT nakubaliana na wewe mia kwa mia. JK hana ubavu wa kumtapisha mtu hayo mahela. Ninashangaa kwanini amemkomalia Prof. Mahalu halafu amekazana kumkingia kifua Balaa Hili wa BoT wakati hela alizokula Prof Mahalu ni ndogo ukilinganisha na mabilioni yaliyotafunwa kwenye mradi wa Twin Tower. Hapo ndipo concept yako ya kumwangalia mtu usoni inapokuja!
ReplyDeleteHuo mradi Twin Tower lazima kuna kitu, si ajabu Anko Beni (Mkaa Hapa) alishalamba mabilioni ya kutosha na hivyo wanaona wakimtapisha Balaa Hili (Ballali) siri kubwa inaweza kufichuka. JK ndo yule aliyekuwa anasema tusimuone na smiling face tukadhani hayuko serious. Ninashangaa leo tuhuma ziko wazi anashikwa na kigugumizi. Mbona kasheshe ya akina Zombe aliishughulikia kwa muda mfupi sana na majibu yakatoka na akaagiza nini cha kufanya. Leo hapo BoT kuna nini kinachomfanya avute miguu kuchukua hatua za kuchunguza kwa nguvu, ari na kasi mpya? Au na yeye alishalambishwa asali ya Twin Tower?????????????
Anony wa 2:39:00 umenichekecha kweli kweli na misamiati yako hiyo ya Mkaa hapa na baaa hili haaa haaa !!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteBaa-la-li anahusika na kashfa za ubadhilifu wa mamilioni ya BoT. Na yeye ni Kondoo wa kafara, hili soo linawahusu wengi ambao wengi wapo ktk system.
ReplyDeleteNani atatutetea Walalahoi. Wabunge wa Si-Si-emu ndio wanaitwa chemba 'kufungwa midomo' ili kulinda maslahi ya Chama.
nasema hivi..., 2010 Si-Si-emu ikae chonjo, kuanzia ngazi ya Diwani, Mbunge hadi Rais sitaipigia kura Si-Si-emu. Japo wanasema Maskini hana Kiapo lakini hii hali inaumiza na inaumiza zaidi unapoona viongozi wanapolindana waziwazi.
Nasema hili la BoT litaondoka na wengi coz waliohusika, walifanya ujanja mapema wa kuwalinda wa-Palestina (awalipua mabomu bungeni Mzindakaya and the like) ili wasilete NOMA bungeni na ktk vyombo vyo dola.
MICHU..MWAMBIE JK ANACHOKIPANDA KWA WANANCHI KWA SASA MAVUNO YAKE NI VITA.PALE WANANCHI WATAKAPOAMUA KUCHUKUA SHERIA MKONONI.
ReplyDeleteWANANCHI NI KWA SASA NI MOTO,ANATUFUNIKA NA MAJIVU ILA IPO SIKU TUTAWAKA TU.
HII ISSUE YA BOT KAMA NA YEYE YUMO AJIUZURU HARAKA IWEZEKANAVYO.AACHE UROHO WA BADARAKA NA KUBEBA WATU.TUMECHOKA NA POROJO ZAKE.
Watanzania makelele kibao kwenye mitandao lakini hamna ujanja wa kufanya kitu chochote. Pesa zimeshaliwa na Balali atakuwa huru na hakuna kitu kitakachofanyika. Tatizo la Watanzania ni watu waoga sana na pia ni Wapumbavu. Mnaona ubaya wote unaofanywa na hii Serikali ya CCM lakini uchaguzi ukija mnawachagua hao hao kwa asilimia 80 au zaidi. Ndio maana nawaambia kina Balali, Mkapa na wengine wataendelea kutafuna pesa huku nyinyi mnateseka vijijini na mijini kwenu.
ReplyDeleteNi kweli JK na serikali yake isiyokuwa na dira anatafuta vita. Kweli inabidi alinde maslahi ya taifa akiendelea kuwatetea mafia moto utawaka na kuuzima itakuwa shida.
ReplyDeleteTAHTA TZ!OUR MOTHERLAND!we have got all to be proud of but when it comes to BUREAUCRACY ndio tunapodharaulika.kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake?wacha we!mpaka lini?!its real discouraging,watu wanafungwa hadi maisha kwa kusingiziwa na wanaofanya makosa ya ajabu kama hao wanazidi kula raha na whisky kwa kwenda mbele.
ReplyDeleteAU NDIO MPAKA YESU AJE?
haya bwana mi nishasema,sipigi kura mpaka CCM watakapomuweka mwenye sifa.opposition parties napenda challenges zenu lakini hamna msimamo.mnayofanya ni tofauti na mnayoyasema!basi tutaburuzwa mpaka lini,
GOD BLESS YOU ALL!