mdau said yakub alikuwepo pia. hapa anapiga stori na bosi wake wa zamani ambaye sasa ni bosi wa tvt tido mhando na omar yusuf chunda wa zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2007

    Kaka Michuzi hebu tutoe gizani.
    Hivi huyo Mhando ni Boss wa TvT kama ulivyoandika au ni bosii wa TUT nzima?
    Ninavyojua mimi ni boss wa Taasisi nzima ya Utangazaji Tanzania ambayo inajumuisha Tvt na Redio Tanzania.
    TvT yaani televisheni ya Taifa ni sehemu tu ya TUT. Hebu tusahihishe hapo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...