mambo yakienda mswano huenda mzee wetu mstaafu bwm akaula huko uganda. tumuombee heri wadau. bofya hapo chini kwa undani wa habari hii
http://www.newvision.co.ug/D/8/12/574627
http://www.newvision.co.ug/D/8/12/574627
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mmmh This is not good news for Tanzanian...kuhusu University of Dodoma vipi?.Mchango wake bado unaitajika sana hili kuendeleza University of Dodoma.Pamoja kwamba ni "Mjasilimia mali" lakini Namuaminia katika masuala ya administrative.
ReplyDeleteben is a straightforward guy, which makes him fit in an academic environment. Nilishawahi msikiliza akihojiwa katika HardTalk ya BBC, ni mbabe na anafaa
ReplyDeleteYaeh waganda wamezidi sana Ukabila , hii nadhani itawasaidia kuondoa dosari za hapa na pale na kuendeleza jumuiya ya afrika mashariki.
ReplyDeleteHivi Mhhhh...waangalie chuo kisije kikauzwa.
ReplyDeleteHizo ndio kazi zilimfaa tokea mwanzoni. Huko hata akitaka kufungua Kanyaboya Enterprise ruksa.Sio pale magogoni alipoanzishia uja-siri-mali wake. Hata hivyo hata awe wapi, Maswali ya rada na mengineyo TUNATAKA MAJIBU
ReplyDeleteAhsante kwa kutia kapuni maoni yangu. Tufahamishe basi ni maoni yapi yanayoruhusiwa na yapi yasiyoruhusiwa. Nilidhani tupo kwenye awamu ya uwazi na ukweli!!
ReplyDeleteBIG UP Home Boy. Kamua mpaka Uganda. Tena huko kuna wajisiriamali kibao ambao wanaelewa dunia inavyokwenda sio Wabongo kazi kuchinga tu.
ReplyDeletePia itakuwa hatua nzuri sana katika kuimarisha EAC.
Sisis tunaoona mbali tumeshagundua kwamba hiyo ni mbinu ya Museveni kutaka kujipopyularaiz ili ajulikane na akubalike hapa Afrika Mashariki na hatimae atimize ndoto yake ya kuwa Rais wa kwanza wa Afrika Mashariki.
ReplyDeleteSi mnaona leo amekuja na lingine tena eti anakuja Butiamab kumpa Nyerere Tuzo ya juu ya heshima.
Anajaribu kujenga mazingira ya kukubalika na watu wa E.A na kesho mtasikia anafanya kitu fulani Kenya. Nyi ngojeni tu. Hiyo ni Janja ya Nyani hiyo, nyie subirini tu. Wanasiasa bwana! Mweeh!
Sasa wametukuta na wengine tuna "viona mbali" Kukuruka Mwanangu Museveni!
Mtume hadhaminiwi nyumbani, inabidi tumtumie huyu bwana Mkapa hapa nyumbani. Kwanini aende huko Makerere wakati vyuo vyetu migomo kila siku? Huyu ni mtaalamu sana wa mambo ya Administrative atanyoosha. Kwanza kule Dodoma University vipi? Akae hapa nyumbani akijenge hicho chuo cha Dodoma kwanza. Elimu yetu ni duni sana.
ReplyDeleteKwani hamjui huyo bwana ana miradi huko Uganda??????????????????????????
ReplyDelete