Home
Unlabelled
california
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
We mdau uliotuma hiyo picha, sawa umetuma hiyo picha na hiyo miundombinu kweli imeendelea. Lakini ungefikiria kwanza kwamba Tanzania ina uwezo wa kujenga barabara kama hiyo, au ndiyo biashara ya kujenga maghorofa hewani.
ReplyDeleteFC
Wewe mdau labda miuno mbinu hii upeleke wakifungua mji mwingine. Nafasi ya kuweka line mbili hamna wewe unataka line sita. Kwanza Califonia kubwa labda hii barabara ijengwe kutoka Dar kwenda mikoani. Lakini usilinganishe Dar na califonia.
ReplyDeletemwenyewe unajua states ingawaje szinasimama kama mikoa TZ lakini the size ni tofauti kabisa. Size ya Tanzania ni kama mara moja na nusu ya califonia hivi
Si ajabu nia yako ni njema ukakosa maelezo ya maana kutushawishi juu ya nia yako. Lakini pia huenda umetaka utuonyeshe uliko kunafananaje japo haisaidii maana hatukufahamu mwenzetu. Hivi hakuna mambo ya maana ya kujadili au kuchangia hadi utume huko kunafananaje? Njooni tujadili uchumi wa Taifa, unavyoliwa, tufanye nini ili tuweze kufikia hapo walipofikia wenzetu. Unisamehe kama nimekuelewa isivyo, lakini ni mwito tu:NJOONI TUJADILI TUFANYE NINI ILI TANZANIA ISONGE MBELE.
ReplyDeleteHi Felix, sasa ndugu yangu unataka Tanzania tuwe na barabara kama hiyo, au ulitaka tu kutujulisha kama hupo California? labda na sisi hapa DC tungetuma picha za highway I 66? nadhani ushauri wako mzuri lakini Tanzania na africa kwa ujumla bado tupo mbali sana kuwa na barabara kama hizo... Nimekaa South Africa, Bostwana and Libya sijaona barabara kama hizo yet...ingawa wenzetu hawa wako advanced than us
ReplyDeletefelix tatizo ni kwamba tanzania hawakudhani kama nasi tutakuja kuwa na magari mengi kama hivi ndo maana unaona barabara zetu hazikidhi mahitaji,lakini mi naona zinatosha mbona hata hapo na njia zako zote hizo bado kuna msongamano ningetegemea kuona hapo mbele yako kukiwa kweupe kabisa kama ni gari liko mbali na wewe, tungelifahamu hilo mapema adhani eneo kubwa zaid la barabara lingetengwa kwa ajili hiyo.
ReplyDeleteWatu wote hapo juu ni wapumbavu maana baada ya kufafanua mambo au kueleza muhimu wa hizo barabara mnafkiria kuwa anataka kukueleza kuwa yupo wapi anyway kama alikuwa ameweka picha hapo ndio mngesema kuwa anataka kuwaonesheni, sasa hii ina maana hata kama bongo sio kama usa or england or sweden tunaweza kuwa na barabara kama hizo ila tutengeneze barabara kwa ajili yetu sio kama wenzetu pia kwa tunaweza kutengeneza two way na pia barabara za kwenda mikoani kuwa three way kabla watu wajajenga jenga ovyo pia kama unajua ramani ya miji mingi au bongo kama arusha, moshi , dar , tanga na mwanza walikuwa na plain hii isipokuwa no hongo ndio wanaopewa contract wanafanya wanavyofanya maana hakuna watu wakufuatialia na pia watu wananjenga ovyo ovyo bila plain ya mji kwa msiwe wepesi wa kusema ovyo hii blog ni kwa ajili ya kupea ideal, mawazo sio kusema ovyo ovyo bila maana na kama mtaendelea hivi sizani kama tutapata maendeleo..
ReplyDeleteSasa wewe Felix, si unaona kwanza bongo barabara zenyewe za one to one zilivyokuwa finyu...Unategemea bongo hiyo tutafika? Labda in 40 years lakini si leo wala si kesho, na itabidi wengine wenye nyumba zao karibu na barabara tuwabomolee kisha kupanua na hiyo nayo ni gharama na usumbufu wa auna yake. Mbona country side roars za Europe na America zote ni finyu lakini watu hawagongani na hakuna foleni za ajabu ajabu? Kinachohitajika TZ ni plan, taa zifanyazo kazi na si upuuzi wa traffic men.. Baada ya hapo labda itapunguza kero..
ReplyDeleteAnnony wa DC usimtumie I 66 mtumie tu root 1 the little one lakini inatoka maine mpaka florida....haha haha haha ...watu bwana barabara hizi za nini Dar. Mambo mengi ya muhimu yapo ya kufanya kuliko barabara kuanua...Waambie waengeze public transportation nzuri baranara zitakua hazisongani.
ReplyDeleteWewe uliyepiga hii pich an kushauri unajua size ya Califonia na ya TZ haziachani sana. hayo mabarabara yanatakiwa yajengwe kutoka Nothd afrika to south africa au east to west
Wewe uliyeleta hii pica utaishia kukamwatwa tu. Kupiga piga picha nchi ya watu siku hizi utafutwa na hicho kikamera kitupwe mbali. Kisa unataka kumpigia picha michuzi aweke kwenye blog. Mwiko kupiga picha mabarabara, madaraja yao na landmarks zao
ReplyDeleteAnon wa July 1:4:14Pm, nimependa maelezo yako, right on mheshimiwa.
ReplyDeleteMimi siku hizi huwa nacheka sana, maana tangu michuzi aruhusu picha binafsi, utadhani watu wameambiwa kuna mashindano, maana kuna picha zinaletwa hapa ni hatari tupu. Ni vindumbwendumbwe tu.
Felix ubaya na uzuri wetu wabongo wengi tunapenda kulalamika halafu ni negative thinkers. Kukiwa na mashimo barabarani tunachonga, tukioneshwa mavitu ya watu wangine tunachonga pia.
ReplyDeleteHakuna kitu hakiwezekani Tanzania kama tukiondoa selfishness tulionayo kwa mana hata hizo pesa kidogo tulizonazo kwa ajili ya barabara wahehimiwa huzitumia kwa shughuli wanazonjua wao wenyewe.
Wabongo mki-think big mtafanya big things na mki-think small mtafanya small things. Mkiweka negatives mbele mtabiki kuwa negative ivo ivo. Na ndio maana watajiri wanazidi kuw amatajiri na masikini wanazidi kuwa maskini. Mtu aliye na mwazo finyu ukimpa mkate agawane na wenzake cha kwanza atachukua shea kubwa ili imsaidie hapo baadaye na wenzake weny mawazo finyu wataanza kugombana wakihofia mwenzao anawazidi akili hata kabla hawajaona kawazidi akili kweli.
Na wale wenye mawazo endelevu ukiwapa mkata wagawane wanakuwa hana wasi kwani wanajua wazi anayetangulia atachukua kipisi cha saizi ya kawaida na kutakuwa na salio kwa ajili ya wengine. kwa maneno mengine mkati wa wenye mawazo endelevu hauishi, unazidi kupanuka kadri mawazo yao yanavowaruhusu.
Felix katoa changamoto, badala ku expandi challenge na mifano ya felix sie tunajitahidi kutete uozo wetu. Wabongo, we are better than that!