mdau una habari channel 10 ya bongo inapatikana juu ya mstari? cheki linki hiyo alotutumie mdau mmoja sasa hivi...
http://www.jumptv.com/en/channel/Channel10Tanzania/
http://www.jumptv.com/en/channel/Channel10Tanzania/
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo mdau wako michu mbona hajaawaambia kwamba inabidi ulipie ,na hii ipo long time.
ReplyDeleteKuna tv ya bure online Bongo wapiiii,Radio tu iko moja tu ya kidini .
Ipo makini Hongereni Channel 10, ila isiwe nguvu ya soda. Tumeona Radio baada ya wiki tu hakuna kitu.
ReplyDeletemdau hiyo si ya bure lazima zikutoke dolari kidogo
ReplyDeleteHata StarTV
ReplyDeleteTUNASHUKURU SANA MICHUZI KWA KUJALI WATU WA UGHAIBUNI.
ReplyDeletebure kwa wenye IP za marekani
ReplyDeleteNyie "anoni" wa hapo juu mnaodai kuwa lazima ulipie mnasema kweli au mnadhani tu kuwa lazima ulipie.
ReplyDeleteMimi nilinunua compyuta ya ziada kwa ajili ya chumbani kwangu nikainganisha na luninga mkweche wangu wa chumbani kusudi niwe naangalia startTv na Channel 10 na wala sijawahi kulipa hata senti moja mwezi wa pili huu sasa. Je malipo yamezanza lini? Hata sasa hivi naagalia StarTV kwa pembeni wanatoa muziki wa bongflava. Labda malipo inategema na mahali ulipo. Mimi niko Marekani ya kaskazini ufukweni mwa bahari ya Pacific.
Mtoa maoni wa [Tarehe July 7, 2007 6:14:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous]
ReplyDeleteNimekuwa nikifuatilia JumpTv kwa muda mrefu.
StarTv ilikuwa ikilipiwa muda mrefu lakini tokea siku 46 zilizopita imekuwa bure.
Channel 10 imekuwapo bure tokea siku 17 zilizopita!
Ukiwa www.jumptv.com kwenye bara la Afrika, nchi ya Tanzania kuna kifute cha kubonyeza 'Watch Free' kwa channel zote mbili zinazopatikana Tz.
Swali langu ni je, TUT wapo wapi kama walivyo wenzao KBC na Uganda National TV? Ama wanasubiri kufungua tovuti yao itakayokuwa inarusha matangazo yao wenyewe?
Subi - nukta77.
check http://research.yale.edu/swahili/learn/?=en/node/475 upate ITV na Chanell5
ReplyDeleteWATU WA UK HATUPATI HIZI CHANNEL ZA INTERNET ZA BONGO
ReplyDeleteNILITAKA KUFUATILIA KIKAO CHA BUNGE LAKINI WAPI HAKUNA KITU
NAONA WANATAKA TULIPIE
BURE KWA BUSHI
ReplyDeleteJan ailibidi nikae ndani nikawa naangalia mjadala mmoja kuhusu kwanini mikoa ya kusini ni masikini?
Thanks Michuzi unatuburudisha na kutuweka sawa sawa. Watu wangetambua kuwa wengine tunarudi nyumbani kila baada ya miaka miwili au so. na yukofika ni kwa bibi,babu, shangazi , mjomba , binamu na bado hujaenda kutoa pole za waliofiwa na walioa na kuolewa. waliojifungua ndio hawasubiri hata uende tena kuwasalimia ni kila mmoja anakuletea mtoto wake na kukutaka uwe mdamini....kwa hiyo hata kukaa chini kuona mambo ya siasa na uchumi yanaendaje TZ likizo imeisha unarudi kubeba box...lol....sio rahisi..
Asante sana
Anony wa:
ReplyDelete"Tarehe July 9, 2007 2:37:00 PM EAT, WATU WA UK HATUPATI HIZI CHANNEL ZA INTERNET ZA BONGO"
Nimefanya kitu fulani na hizo link, na inaelekea watu wanaweza kuunganisha, hivyo natuma hapo na wewe ujaribu, huenda utafaidi. Copy link unayotaka kutizama, kisha Paste kwenye "Windows Media Player" (version 10 ama 11) yako ama "Real Media Player" toleo la 11 kisha itakuonyesha kuwa ina-connect ama "buffer", subiri ikifika 100% utaona TV LIVE kama wanavyojionea waliopo nyumbani Tz.
Links ni hizi:
Channel TEN
http://tinyurl.com/24awmk
StarTv
http://tinyurl.com/3xhap3
Ikiwa njia hii inashindikana kwako,
basi, nenda kwenye blog: http://nukta77.blogspot.com nimeziweka pale
Ama nenda tovuti ya: http://video.aol.com pale kwenye "search box", taipu Channel 10 ama Star TV kisha utizame kupitia hapo.
Wasalaam,
Subi - nukta77.