Home
Unlabelled
dimpo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwanya na meno meupee pee! siwezi kucompare na mtu mwenye dimpoz...Mwanya ni uzuri wa pekee tafadhali tusiufananishe na dimpoz! kifupi wahenga wanasema "Gap is sign of beauty!" sijaskia lolote kuhusu dimpoz ni maumbile tu kwa wanaadamu.
ReplyDeleteMwanya ni Pengo kubwa tu, hiyo ni deformity. Dimpoz mambo yake makali
ReplyDeletemwanya ni pengp lenye nia nzuri,
ReplyDeletekila mtu ana uzuri wake maana kuna mwingine hana dimpoz wala mwala mwanya na ni mzuri tu sana
ReplyDeleteaaaaaaaaaah issah mambo ya mwanya we acha tu si unajua hata kumchum mdada mwenye mwanya kunaraha yake sa dimpo ndo nini kwa mdada mzuri si chochote si lolote1
ReplyDeleteangel mosha nakuona bibie
ReplyDeletehata joti wa zwcomed anamwanya sasa mnasema mwanya upi?///
ReplyDeletehata jita anamwanya,
ReplyDeleteBraza Michu na wewe unatuchanganya sanaaaa! sasa hili nalo swali gani? kweli hujui uzuri wa dimpo na mwanya! hiyo picha tuu inakushtaki... labda ulitaka madongo kutoka kwetu. umeyamiss sana madongo, eeh! Acha masihara na dimpo + mwanya = BALAAAAA!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteMimi nimependa meno yake tu. Kaka Michuzi naomba nifanyie favour,niunganishe na Shameem(Zeze)wa 8020.
Naungana na Anon wa 12.27,
ReplyDeleteJamani mwanya si lolote si chochote, Dimpoz bwana. Mimi nashauri Mr. Michuzi, lete na picha ya mwanya tena iliyo katika dental formula tofuti kwani uzuri wa mwanya unategemea na dental formula ila dimpoz hazichagui umbile la sura. Hivyo kuondoa mabishano tuleteee picha tofauti za dempoz na picha tofauti za mianya (wingi wa mwanya)
Beyonce hana mwanya wala dimpos lakini wengi tunamfagilia, ametulia. to me mwanya naona ni urembo/uzuri wa kizamani. Dimpos labda ni kwa wachache sana huwa zinawaongezea uzuri lakini majority inakuwa tu kama ni mashavu yaliyokonda yakawa na vitobo kwa juu. nawasilisha na kuomba radhi kwa wenye mianya na dimpos.
ReplyDeletevyote ni bomba kwa kuwa vinaongeza urembo katika ulimbwende kwenye wajihi.
ReplyDeletehaaaaa, mwanya ni GAP, ni kilema kama vilema vingine tu,
ReplyDeletewanyepesa zao majuu, huwa wanaiziba, huwezi kumkuta mzugu kaachia gap! ni kilema
HUYU ATAKUA JOHN MNAMBA!
ReplyDeleteMMmhhhhh! Hamna mwanya wala dimpoz! Ukichunguza watu wengi wenye mwanya wakiongea wanarusha mate km vile vidude vyakumwagilia bustani vinavyorusha maji "springwater" akikusemesha km unakinywaji chako inabidi ufunike na mikono maana mate nje nje! hasa kuna maneno maalum wakiongea mate yanaruka km kobra! chwyyyyuuu! km plzzz, excuse me! n.k. fanyeni utafiti, Kwakweli kuna mwanya mingine km geti au dirisha haipendezi ata kidogo hata huyo joti sio mwanya ule amepaka rangi asituzuge! wenye mwanya kuna kinyama kinashuka kidogo. Na wengi wenye mwanya wana meno km jembe chunguzeni, kwanza ushawai kuona miss anamwanya anachaguliwa.
ReplyDeleteDimpozi hapana ni ukosefu wavitamini fulani mwilini mashavu yanadumbukia! utafikiri wapepigwa sindano ya ndui? Hawapendezi wote. Kila mtu na mvuto wake, yale ni upungufu wamaumbile sio urembo nisawa nawenye mimacho mikubwa iliyolegea wanasema romantic eyes wakati matatizo yakulegea kwamishipa ya macho. Yote maradhi hayo...... DR. BANJUKA
Watu wa Mgodini, yaani watu wa nchi za nje wanawasifia sana watu wenye mwanya. Na pia wanafikiri watu wenye mwanya ni watu walitoka kwenye ukoo wa kifalme, na kumbe sio. Mwanya na dimpo, kwangu mimi ni poa tu. Au unasemaje Kaka Michuzi.
ReplyDeletealiye na dimpoz na aliye na mwanya wote wameumbwa sawa... urembo siyo tatizo.. namuunga mkono anony wa hapo juu tuletee na picha ya mwanya tuamue...
ReplyDeletedimpoz zipo juu, mi nina dimpoz nikicheka tuu kila mkaka anataka kunibuthu shavuni
ReplyDeleteEbwana Huyu Dada Kafanana Sana Na Salma Wa Unguja Kwa Meno Na Dimpoz Zake!!
ReplyDeleteIzz Wa