msafiri diouf wa twanga chipolopolo (shoto) akiwa na mwenyekiti wa fans of simba, mashaka penza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 03, 2007

    EBWANA EHHH ,SIO KAMA NA CHUKI NA MSAFIRI ILA KAKA INABIDI KWANZA BADILI STYLE YA KILA KITU HASWA HIZO NYWELE MAANA HIZO RANGI KICHWANI NA NYWELE,HAONEKANI DESCENT HATA KIDOGO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 03, 2007

    Yaliyosemwa na anony wa July 3, 2007 9:20:00 AM EAT nayaunga mkono. Dooh hizo nywele rangi na style yake haviendani kabisa na sura yake. Njoo kwenye sijui niite blouse, tshirt or what, utafikiri kaazima ya mdogo wake! Hata kama ni fashion ujiangalie kwa kioo kabla ya kutoka ndani. Si kila fashion itakayotoka na wewe uingie, nyingine unaonekana kama jini! Na huko chipolopolo hakuna wanaojua kuvaa na kusema ukweli? Dada Asha angalia vijana wako wanavyovaa watakutia aibu bureeee

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Jamani Diof mbona kachoka hivyo??Ni 'white lines' nini? Basi atakiwa kenda 'Rehab'...Halafu nywele na hiyo 'tight' topu, du nikama "haeleweki" Gee****iii??

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 03, 2007

    Halafu, sura yake mbona inaonekana kama ni mtembeleaji maarufu wa kule "National Milling?"
    Mweeh! Mwambieni aache bwana. Ona anavyoharibika!
    (kwa wale wa kizazi kipya-National Milling Corporation ni shirika la umma lilikuwepo miaka ya 1970/80 huko, lilijisghulisha na kusaga unga wa mahindi na ngano-sembe)

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 03, 2007

    Jamaa kwa MIZINGA huyu... dIOF JIREKEBISHE MWEEE!!!

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 03, 2007

    wee acha ushamba kwani hujui huyo ni msanii, unafikiri anafanya kazi ofisini?

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 03, 2007

    Kwanza kabisa nampongeza bwana Diof, ni mwimbaji mwenye sauit ya kipekee hasa anapo-rap kwenye bendi yake ya chipolopolo hata wakati alipokuwa Twanga international. Lakini pia namshauri aache matumizi ya madawa ya kulevya, yeye anakataa kuwa hatumii lakini mimi nimemshuhudia akitumia hayo madawa mitaa ya K'ndoni A ambapo mara nyingi pia hupatikana. Hata anavyoonekana siku hizi (appearence)ana kila dalili zinazokuwa na mtu anayetumia madawa ya kulevya. Kutumia madawa ya kulevya kumempelekea msafiri kuwa omba omba (yaani teja kwisha kazi), majuma kama mawili hivi yaliyopita nilikuwa na washkaji baa f'lani hivi ambayo ipo karibu kabisa na uwanja wa ndege kama unatokea mjini. Alikuja msafiri na moja kwa moja akaenda meza ambayo kulikuwa na jamaa ka 3 hivi, akakaa kama dakika 5 na mmoja kati yetu akamuona akipewa kitu (tunadhani ni pesa) na wale jamaa, akenda kwenye meza nyingine 2 na mwisho akaja kwenye meza ya kwetu, akajitambulisha pale, na mwishowe akatuomba pesa...!!

    Hali hii imekuja baada ya yeye kuanza kutumia madawa ya kulevya, NAMSHAURI AACHANE NAYO MAANA ATAPOTEZA KIPAJI CHAKE BUREE

    SHABIKI WA MUZIKI WA BONGO DANSI

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 03, 2007

    Sas Bongo imeingiliwa KALIKENYA KARUDI TENA?maana jamaa kituko kitupu kama fasheni basi inabidi turudi enzi za mababu zetu kuvaa magome ya miti na kupaka rangi zachokaa au wanazotumia wamasai kupaka rangi zao za nywele.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2007

    Wow! Msafiri angekuwa hapa DC watu wangejua moja kwa moja kuwa ni Shoga.... Nywele hizo and hiyo Jeans.... Mambo hayo

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 03, 2007

    Duuh! Haya hawa ndiyo macelebrity wetu wanavyovyaa?? Ama hakika we need stylist wa kuwasaidia macelebrity wetu kwenye mambo ya mavazi na appearance. ALL THESE TWO THINGS ARE FIRST IMPRESSION! WE NEED CHANGES IN OUR ENTERTAINMENT INDUSTRY IN BONGO. KAKA MASHAKA NAONA MAMBO SIYO MABAYA MIMI DADA YAKO WA MIAKA MINGI SEA VIEW NIMEFURAHI KUKUONA.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJuly 03, 2007

    Hiyo blouse mbona kazi.

    ReplyDelete
  12. AnonymousJuly 03, 2007

    Ni kioo huna au huna bestfriend wa kukwambia ukweli. Mshikaji inabidi hiyo style uchange. Kuanzia nguo na nywele wala hazikupendezi kabisa. Hilo shati sijui limeandikwa viagra kama wanakulipa kuitangaza hiyo poa lakini kama ni vipi tupa kabisa

    ReplyDelete
  13. AnonymousJuly 03, 2007

    Hahaaaa nywele kama shina la mnazi haahaaaaa

    ReplyDelete
  14. AnonymousJuly 03, 2007

    Wakongo kwa mikemia tuu hawajambo. Bvlgari tangu lini wakatengeneza nguo? Kweli bongo mwisho kwa kufoji tuu hatujambo

    ReplyDelete
  15. AnonymousJuly 03, 2007

    Huyo Mashaka Penza ni nani? Mbona Hendisamu sana? Ana mke? Kama hana "Wili Yu Meri Miii?" Ntarudi Bongo justi fo yuu Mashaka!

    ReplyDelete
  16. AnonymousJuly 03, 2007

    Hilo ni wigi kavaa wala sio hair style yake kinacho shangaza kwanini mwanume avae mawigi ya kike wakati anuwezo wa kunyoa kipara akapendeza? Kama kweli Asha anawapenda wanamuziki wake awe na mtu wa kusimamia uvaaji jukwaani kwani anaharibu brand yake ona wazee wa ngwasuma walivyo muovertake

    ReplyDelete
  17. AnonymousJuly 03, 2007

    Anony hapo juu... Mashaka Penza ana mke mzuuuurrrriiii.

    ReplyDelete
  18. AnonymousJuly 03, 2007

    dah huyu kaka Diouf yuko fit mental? nina wasiwasi my brother something wrong with u, ebu keep ur self smart hapo una tofauti na wapiga debe wa manzese. kaka yangu wa holland ebu msaidie mwanaume mwenzako kimawazo kupitia hii blog

    ReplyDelete
  19. AnonymousJuly 03, 2007

    Badala ya six pack huyu kagawanyika mara tatu. Hebu angalieni ...mimi sina mbavu hapa
    wasanii sijui celebrity wa bongo kasheshe lipo. Itabidi nikija niwe fashion consultant wa watu.

    huyo mwingine kavaa simple tu lakini kashuka kisawasawa

    ReplyDelete
  20. AnonymousJuly 04, 2007

    kaka michuzi plz tel this brother to take his life seriously.jamani the hair,mavazi,sijui ni mkorogo ,he is potraying as gayish au biy girly mwenzetu?im absolutely discusted with this pic.apology if i offended anyone..coventry

    ReplyDelete
  21. AnonymousJuly 04, 2007

    Mheshimiwa ISSA SHUKRANI SAANA NIMEKUELEWA "..BILASHAKA.." hizo ni nywele zake LASIHIVYO kama ni..wigi alifanya shopping sehemu moja na LADY JAY DEE..HIVI KUNA RETURN POLICY HUKO ??..AU..

    ReplyDelete
  22. AnonymousJuly 04, 2007

    Nyie wote washamba tu,yaani mpaka Victoria(poshi),Michael Jackson.David Beckam avae kivazi ndio mumuige,mbana hamumsemi Shaggy.Wacheni bwana kila mtu anaflavour yake anayoipenda,Hata nyie pengine tukiwaona mnavaa mnajiona mmependeza kumbe Ng'o!!!! kabisa.Watanzania imefikia tukae chini tujiangalie wenyewe sio kila kitu kupayuka tu.Watu wanapenda sana kuchonga,kila nikipitia blogu hii watu ni kukosoa tu.Wote hao naona watakuwa wabeba Boxes ama walezi wa vikongwe na matahira.ACHENIIIIIIIIIIII!!!! KABISA.Oh mara katisheti kabaya.Nyie mnajua kuvaa,toeni picha zenu basi tuone,ama mmeambiwa Diouf anataka umodel!!Hakika ninakerek sana naufinyu wa mawazo ya wabongo.Naomba mkome na kuacha kurusha maneno bila ya kufikiri kwanza.

    ReplyDelete
  23. AnonymousJuly 04, 2007

    Wadau

    Naanza kwa kusema I'm a fan of Diouf. am a fan koz he is who he is. Diouf kapata umaarufu by being himself. Nyie mnaosema yeye ni kituko sidhani kama mnamlisha or anything.

    Soko la mandondooo as Banza used to call him. Pure entertainer, very creative and sometimes anapiga mizinga mno but who cares man. INYATAAD!

    ReplyDelete
  24. AnonymousJuly 04, 2007

    Anon 8.18 na 8.22, longeni baba longeni, vijitu vimekuwa havina adabu,vinajiona venyewe ndio basi.I would part with both afforementioned guys ,since most people seem to be very idiosyncrasy in discussing issues.

    Jamani muwe na haya nyie wenye vijiwazo vya ajabu.Mara hapendezi,mara minywele,hiyo style inaitwa UTAJIJU.Nawe unayokuja na vimaneno vyako lazima ujiju.


    Akitembaa uchi,mtasema,mbona hata Cynthia Masasi mnamsema,nyie wapolipoli nini.Wewe unayevaa vizuri nani alikusifia?Ama unakwenda shopping Harrods ndio maana unamcheka mwenzio aliyevaa vya CHARITY, mavazi ya wasanii somewhat is fun, everyone could appear the way he/she wants,feels.Let stop kidding and become more supportive.

    ReplyDelete
  25. AnonymousJuly 04, 2007

    Du kwa kweli kaka michuzi pole manake wadau wako ni waosha vinywa si mchezo. Ukiweka issue za maendeleo utajaaliwa kupata comment moja na ikizidi sanaaa tano. Bwana wee weka hizi zinazotufanya midomo iwe mali yetu bla bla blaaaa!!

    Halafu nimegundua the so called ughaibuni wadau..ndo usiseme yaani wanajua kila kitu humu duniani..hahhaaa. Niko huku but trust me we are all nothing... yaani tupo tupo tuu ili mradi kunakucha..!! Ila kwa kukandia mara nguo za china mara hiki mara kile.. Who said UK, USA na kwingineko huku first world hakuna hivyo vitu?? So guyz mwacheni msanii wa watu labda washabiki wake wanampenda akiwa kavaa hivyo. Sasa nyie msianze kumlazimisha avae suti au kanzu na upara au kofia. Thats all about being artist... you do things on your own way!! Na hata kama kaiga wakongo, waingereza, wamarekani.. mwake tuu kwani sanaa ni kuigana na mara moja moja ukiweza kutoka na unique style mwake tuu.

    keep on osha ze vinywaz!!!!

    ReplyDelete
  26. AnonymousJuly 04, 2007

    Mwenzenu kavaa Bvlgari, we weeeee, katoka ki-designer..Kama anamjua huyu designer basi namuaminia..Diofu wawaaaaaaa..waache wachonge

    ReplyDelete
  27. AnonymousJuly 05, 2007

    Anonny 7:52 vitu hivyo viko kila mahali lakini watu hatuvalii fashion tunavaa kupendeza. Sasa weew kama ukiona kitu kiko kwenye fashion na wewe unavaa tu bila kujali mwili wako ndio haya unayapata....akuambiaye ukweli anakupenda. Sasa hapo kama wewe unaona msanii huyu kweli alivyovaa ni sawa basi you need to change your glasses.. Uso wake sio wa mduara hiyo style haimfai, blose imembana na yeye Gym hajui, color ya hiyo blouse na rangi yake wapi na wapi?

    Acheni waosha vinywa waoshe lakini mweye masikio asikie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...