nilifika ofisini leo jamaa kaja kavaa hivi alikuwa bongo mwaka jana nilidhani bi ya spring box ya sauzi. ila nikaona ina bendera ya bongo...

mdau joel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 27, 2007

    sasa huyu ni mchezaji mpya wa MDEBWEDO au? Mbona hujatufafanulia weye mpiga picha? Kama ndiye haya afaa sana huyu kwenye safu ya kufunga magoli. Au mwaonaje wadebwedo wenzangu?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 28, 2007

    Michuzi, nakumbuka ulitupa nyeti za TVT kuonyesha UK Primiaship FREE. Leo hawa jamaa wa GTV wanasema wataonyesha wao kwa kulipia, vipi tena? Ina maana Tido Muhando aliamua kufurahisha baraza katika kuendeleza ahadi tamu za kasi mpya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 31, 2007

    Michuzi mtama unapatikana wapi huo tunautaka ukerewe(UK) huku wateja kibaoooooooo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...