
mhariri mtendaji wa deiliniuzi mh. isaack mruma akitoa ujumbe wa kumuaga rasmi balozi peter kallaghe (pili shoto) anayekwenda kanada jumapili hii tayari kuanza kazi yake mpya. mh. kallaghe alikuwa ni mmoja wa wajumbe wa bodi ya tanzanian standard newspapers, ambao ni wachapishaji wa magazeti ya serikali ya deiliniuzi, habari leo na sunday news. kulia ni mwenyekiti wa bodi ya tsn mh. adolar mapunda akifuatiwa na mama kallaghe. hii ilikuwa usiku huu hoteli ya movenpiki
ccm oyee wabebeni tu watu ndo nchi yenu aiseeee.cha hichi kina wapa watu opportunitieeeeeeeeeeeeeeees... heeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteNice to see them all dressed up nicely. Watanzania siku hizi na sisi tupo.
ReplyDelete