Home
Unlabelled
kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Poa sana kuweka picha hii. Na natumaini nchi inatumia mbinu zote za kuyahifadhi ya dumu hadi karne zijazo... Hata wewe bwana Michuzi naomba uwe unavaa gloves kabla ya kuyashika na yote yafungiwe kwenye kabati za vioo na kuwe na airtight ikiwezekana.
ReplyDeleteBy the way, kukuomba kuvaa gloves simaanishi kuwa una mikono michafu, bali ni procedure tu katika utunzaji wa vitu ili kudumu muda mrefu,kwani binadamu kumi wakiruhusiwa, mmoja wao lazima atakuwa na chembe chembe sizizo onekana ambazo ataziacha ambazo baada ya muda zinaweza kubadilika na kuwa fungus hivyo kuharibu nakala hizo.
Nchi tunazosema zimeendelea,sababu kubwa ya maendeleo hayo ni utunzaji wa taarifa mbalimbali kwenye magazeti,vitabu n.k. Hivyo basi ningependa magazeti yetu yawepo hata baada ya miaka 470 hivi! Haya ni mawazo yangu tu.
SteveD.
Why siku ya muungano ilikuwa kimya namna hiyo? Labda kuna walioshajua kuwa muungano huu ni tatizo na show off tu?
ReplyDeleteNafafanua: Gazeti ni la tar ya muungani mwaka 1972, na bei ghali zana FIFTY CENT(s) ndo bei yake.
BM
Huna tabia ya kujibu, lakini Michuzi jitokeze unijibu. Yule jamaa alikuwa na column fulani kwenye Sunday news enzi za miaka 1995, Wilson Kaigarura, bado yupo hapo daily news. Nilikuwa lazima nisome articles zake ili nijifunze kiingereza. aliwapa wahusika majina ya kiswahili ya mtaani.
ReplyDeleteWe anoni wa July 8, 2007 1:59:00 PM EAT. Jamaa yuko IPPMEDIA siku hizi. Nimeona article zake, HAPA au HAPA
ReplyDeleteHAPA
HAPA2
HAPA3
Inavyoelekea bado english yake ni ile ile kali na style ya uandishi ile ile ya SundayNews.
Du hapa mahala patamu, nilishapata jibu mara hii. Asante sana Michuzi na anoni wa July 8, 2007 4:26:00 PM EAT. Du nimesoma hiyo article ya Wilson Kaigarula HAPA2 " July 8, 2007 4:26:00 PM EAT", jamaa bado ni yule yule, sina mbavu nikisoma. Kampa jina rafiki yake Kalubandika, anavyolinganisha Yanga na Simba "shirted and shorted" na pia et etc, the same guy speaking.
ReplyDelete