wadau wakienda kupata lanchi ya dina hapo kempinski nakuna mdau katutumia hii website http://www.uni-voip.net/ ina service ya bure kutuma fax na sms! kazi kwenu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 02, 2007

    Ahsante kwa kiunganishi hicho. Ila nawapa ushauri watu kuwa service nyingine za SMS zilizo free ni njia mojawapo tu ya watu kupata namba za simu za watu watumiao. Baada ya hapo unaanza kupata matangazo ya vitu mbalimbali yachukizayo kwenye simu zako au hata za wale uliowatumia, na usipoangalia wanaweza kukushinikizia ki-virus kisha wakakuambia utume text inayotumia premium number ili kuondoa virus... Ni habari njema, lakini tujichunge. Ahsanteni.

    SteveD.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 02, 2007

    Hiyo un-voip bomu, ukijegista namba yako ya simu kama ni simu ya kulipa bili kwa mwezi basi unatumiwa bili kibao na meseji za watu usiowajua, na kila meseji unalipishwa wewe unaepokea.
    Katika registration form yao kuna sehemu ya terms and conditions ambayo huwezi kumaliza kuzisoma sawa sawa na gazeti zima, halafu kuna sehemu unaambiwa unitik kuagree, basi ukitik na kuagree utaona kila siku zinakuja mesage za watu usiowajua zinasema kama " Catherine would like to make friendship with you please reply to this number. ole wenu msiojua habari hizi, hakuna kitu cha bure kwenye mtandao.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 02, 2007

    michuzi acha kutuangusha bwana! lanchi ya dina ndio nini? lanchi ni chakula kingine na dina ni chakula chengine. kuwa wazi wadau wanakwenda kupata lanchi au dina usichanganye mambo! ushauri wa bure nakupa!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2007

    michuzi acha kutuangusha bwana! lanchi ya dina ndio nini? lanchi ni chakula kingine na dina ni chakula chengine. kuwa wazi wadau wanakwenda kupata lanchi au dina usichanganye mambo! ushauri wa bure nakupa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 02, 2007

    NO FREE LUNCH IN THIS WORLD......watch this space

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 02, 2007

    free sms
    Dear all,

    We have been overwhelmed by the number of sms you have been sending in the last 7 days, as a result we were forced to temporarily stop this service.

    Please keep visiting us again and again; hopefully we will be back within 48 hours with a more powerful system to handle the sms floods.

    Sorry for any inco.

    Uni-VoIP. Net team

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 02, 2007

    Sasa wanasmile nini? Kuingia humo hotelini au ni raha ya raha.

    Kuna mzungu aliniambia kuwa watanzania wanaroho nzuri. Sababu alikwenda TZ kila kila mtaa anaopita watu wanasmile tu. Labda jua kali linafanya mtu anafanana kama nasmile kumbe no. Lakini hata humu ndani ya hotel hao watu wansmile na inatakiwa iwe vice versa...huyo mkaribisha watu ndio anatakiwa a smile.

    Tanzania Customer service iko so low

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 02, 2007

    mkandamizaji!

    jamaa wametoka mchicha dah pongezi nyingi sana kwa kudumisha mila. lakini michuzi na mimi umenichanganya watu wanaenda kupata lunch ya dina inamaana gani hichi kiswaenglish sometime noma tupu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 03, 2007

    ndio mambo ya kuiga lugha za watu . Ni bora MICHUZI uwe unatumia Lugha ya Taifa, hizi lugha yingine bwana waachie wenyewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...