mkoko wa lumbesa ukikatiza magomeni mapipa leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 01, 2007

    Mungu wangu!!! Can you imagine how many trees have been cut to make such a pile???

    Hii ni hatari sana kwa mazingira yetu lakini dhambi hii itawala serikali na wala rushwa wake kina Richmonduli kwa kufanya bei ya umeme ngumu kama jiwe kwa mwananchi wa kawaida.

    Endeleeni kutumia mkaa ndugu wadanganyika sasa mfanayaje?? Acha miti iishe yote.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 01, 2007

    Huu ukataji miti ndio utafanya taifa liishie kuwa jangwa. Jamani tutunze mazingira. Acheni kukata miti ili mpate mkaa. Serikali itabidi ipige marufuku utumiaji wa Mkaa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 03, 2007

    Mheshimiwa Issa habari za leo kaka NAONA LUGHA YA PICHA HII.."..KATAMITI PANDA MTI.."..NASIKIA "..TUNAHAZINA.." YA GESI YA SONGO SONGO...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...