Home
Unlabelled
mapacha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah mapacha hawa, kwahiyo kila kitu wafanya pamoja hawa? Hongereni sana
ReplyDeleteDu siwajui ila nawaonea raha kweli kweli ... HONGERENI SANA AKINA KAKA NA DADA. Sasa kazi ipo haswaa kwa wakina dada manake jamaa wamefanana kweli kweli unaweza kuta unamhudumia asiyewako... Maisha marefu yenye baraka nyingi na mapenzi tele!!
ReplyDeleteThats a bit freaky dont you think??!! But i guess twins have that kind of bond they can fall in love at the same time... even their wives look like they're sisters!!
ReplyDeleteCongratulations, thats a big and honorable step in life.
Utamu ungekuwa na hao mademu wangekuwa mapacha. Hapo unaweza piga mke wa mshikaji wako bila kutarajia
ReplyDeletewaaaaaaaaaoooo!!!!!!!!!! i real like that,nyie wadada hope mnajua tofauti zao , hongereni sana nawatakia maisha mema yenye mafanikio
ReplyDeleteHa! hata jina la wake zao lina maana moja! what a koinsidens!
ReplyDeleteHongereni na mmependeza sana.
Jamani mapacha sio hao makaka tuu hebu angalieni sura za hao kina dada zilivyofanana nafikiri nao ni pacha ila kwenye picha urefu wao ni tofauti labda viatu..lakini naweza bet kina dada nao ni mapacha kabisa
ReplyDeleteDuh Michuzi si mchezoo..hii blog inasaidia sana kujua maisha ya watu, am writing from UK, Grace use to be my gf way bak sanaa,lakini tukawa mabeste sana...tukapotezana mawasaliano..she's a great gal sana and hard working is wat she is..Grace i wish u all the best kwenye maisha yako sanaa..Davie (luwie20006@yahoo.com) .How is Junior? Hongera sana.Thx Michuzi
ReplyDeleteWewe Tarehe July 5, 2007 10:30:00 PM EAT, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteUnataka kuharibia ndoa ya watu sasa unasema huyo alikuwa demu wako? Sasa hapo si balaa mara unatoa email yako upo ughaibuni jamaa yupo bongo anaweza mtosa huyo mume wake. Michuzi na wewe kwanini umechapisha? Utavunja ndoa za watu.
mmhhhh kaka michuzi kwanza nawapongeza hawa mapacha kwa kupata majiko.
ReplyDeleteila kuna watu wengine ovyo sana,sasa kama mtu alikuwa gal friend wako akakutema leo hii mwenzio kaolewa unaanza kuleta ujinga wako tena kwenye blogu ya watu.
Hii tabia mbaya sana,unataka kuvunja ya mwenzio halafu utamsaidiaje na wewe ulikuwa huna hata akili ya kumwoa zaidi ya kukimbia nchi. Pili unatoa email yako ili iweje?
Michuzi next time comments za kijinga kama hizi usizichapishe.
Halafu michu hebu nikumbushe hawa jamaa sio wanamuziki kweli nahisi kama niliwahi kuwaona wakiimba pahala fulani.
Asee kuna huyu jamaa nafikiri hana akili kabisa
ReplyDeleteDavie (luwie20006@yahoo.com)
Sasa unaandika haya yote yanahusu nini kwenye hii picha?? wacha ushamba bwana once unapoona mtu aliyekuwa na uhusiano na wewe ameolewa/ ameoa hakuna haja ya kupublish kwenye jumuiya kuwa ulikuwa na uhusiano naye, mbaya sana mzee tena sana hii blog inasoma na watu wengi sana pande zote za dunia hata jamaa zangu kule TIKRIT wanaisoma hii blog sasa waje wasome hii blog na wapo wanaliokaribu na hawa mabwana harusi watafikisha habari tu kuwa kuna mtu mmoja anasema mkeo alikuwa demu wake sana,, ACHA UPUMBAVU AMKA SHITUKA U GROWN UP NOW MZEE.
wandaful! hii nimeitamani sana, ooh Mungu anisaidie nami nizae pacha duuh"
ReplyDeletemichuzi tuweke sawa hawa wadada si mapacha pia? Coz hata jina lao ni moja, inakuwaje. kama hawa wadada si mapacha wala ndugu, basi hii ni coinsidensi ya ajabu!!! Hongereni sana. Lindeni sana ndoa zenu.
wewe mdau hapo juu hujatumia busara kunadi x-uhusiano wenu. hata kama ulikuwa urafiki wa kawaida (which is posible)si muda wa kujieleza na kutoa mpaka anwani yako. mbaya sana unampa wakati mgumu huyu dada hata kama amekutwa na bikira yake. NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOOOTE JAMANI. kuna mahali pa mizaha lakini ikifikia kwenye ni kitu tofauti. michuzi plz watu wakikuheshimu kukupa photos zao kuwa makini. huwa nasema kila siku.. watu katika blog hii wanakasumba mbaya ya kufuata mtumbo. ataibuka mvuta bangi mwingine aseme MIMI NILISHAMKANDAMIZA, YUKO HIVI NA VILE. Kwa nini lakini....
michuzi tafadhali usibanie
jamani hawa mapacha nilisoma nao shaaban robert ila walikuwa nyuma yangu wow nimefurahi hongereni sana mungu awatangulie katika kila jambo jamani mmekuwa wakubwa.
ReplyDeletehuyo any hapo juu ameniudhi michuzi kwanini umeitoa hiyo comment hapa unajua itampa wakati mgumu huyu bi harusi mshenzi huyo anasema alikuwa wake kwahiyo mbona hukumoa sasa eti hows junior yaani waswahili bwana.ALL THE BEST MAPACHA
We unayedai huyo dada alikuwa gf wako mzushi tu tena mshamba sana. Hata kama ni kweli itakuwa ndio maana alikuacha maana una tabia za kijinga. Sasa unasema hayo yote hapa ili iweje? Unataka kuvunja ndoa ya watu uolewe wewe? Huna maana mshamba tu!!!!
ReplyDeleteBody language ya hawa mabrazamen inaonyesha kama vile wamelazimishwa kuoa.
ReplyDeleteHEEEEEEEEEEEE,Nawajua hawa,walikuwa wanasoma Shaban Robert,Walikuwa waimbaji wazuri sana,hongereni sana,Mungu awalinde,
ReplyDeleteNi yupi kati ya hao mapacha aliyeimba kwenye Pop Idol siku za nyuma?
ReplyDeleteMichu ungeondoa hiyo post ya huyo mshamba aliyeko ughaibini, na e-mail yake na umuonyea akue
ReplyDeleteEbwana hii kiboko! hawa mapacha nimesoma nao primary mpaka la darasa la saba darasa moja Forodhani. Tumemaliza 7A. Sijaonana nao toka tumaliza. Michuzi ukiongea nao waambie mdau toka ughaibuni anawasalimia sana.
ReplyDeleteTANZANIA BADO TUWASHAMBA SANA.
ReplyDeleteMIMI SIO HUYO NILIYEM DATE HUYU LAKINI NAONA MMESHAANZA KUMSHAMBULIA HUYU JAMAA ALIYEMPONGEZA BIBI HARUSI NA KUSEMA KUWA WALIDATE BACK THEN.
KWANI LA AJABU NINI MTU AKISEMA HIVYO? AU MNAONA AIBU KUSIKIA KUWA ALIKUA NA BF. ACHENI HIZO.
ALWAYS BWANA HARUSI YEYOTE NDIO MSHINDI KUPATA MKE UKIZINGATIA NI WANGAPI WALIMTAKA AU WALIMDATE LAKINI YEYE NDIO AMEMPATA?
HAO MNAOSEMA ATAMUACHA KWA VILE YUPO MAJUU PUNGUZENI USHAMBA. NIKO UGHAIBUNI NA SIONI LA AJABU NA PIA SIDHANI KUNA MWANAMKE MJINGA ATAKAYE MUACHA MUME WAKE AKIMBILIE MTU MWINGINE KWA VILE YUPO NJE YA NCHI. LAZIMA ITAKUA KUNA SABABU NYINGINE ZAIDI YA HIYO.
EMAIL COMMUNICATION IS NOT A BIG DEAL KAMA WEWE NI INSECURE MAN UTAJIJU. Stay single for the rest of your life.
TRUST IS THE ONLY KEY TO ANY GOOD RELATIONSHIP
MY GONGRATS TO YOU AND I WISH ALL THE BEST
Anony wa tarehe 5 july saa 10:00 EAT, YOUR A F...N LOOSER!!! unatoa email ili nini!!? jamaa aje kukuf..a!? kama ungekuwa karibu yangu ningekupa kichapo kikali sana lofa wewe!!!
ReplyDeletemapanga shaaaaaaaaaaaaaaaaaa!we anon wa 10:30 july 5th ka mi ndo mume ni mapanga shaaaaaaaaa nakuchana chana nakutupa hukoooooooo!tena ukoma kujishaua kwa waume za watu,kama ulilamba huko nyuma ndo nini sasa?
ReplyDeletekwanza nawapa pongezi kwa hawa ndungu zangu wawili kupata majiko maana na wakumbuka awajamaa nilimaliza nao shule moja pale forodhani shule ya msingi pamoja na mapacha wengine ambao wote walikuwa wanakaa mtaa mmoja wa samora yani denis na deo. yani nawatakia maisha mema tena yenye fanaka tele.
ReplyDeleteSOme people dont get it,they are all grown ups but they think am here to ruin her life,dont u get it people?She has been a good friend of mine for ages, and we had lost contacts,doesnt mean that if she was mine back i would want her back.When you split up with someone doesnt mean u cant be friendz,sema in Tanzania thats common,well all u haters get it right and dont be stupid.Not everyone run away like u stupid fool up there,we here for the education,if didnt get a chance to be here,too bad.NExt time think before writing.
ReplyDeleteNafurahi kuona umejitetea na ni ushamba tu wa wa bongo. Mijitu imezidi unafiki na kufikiri mtu akisema hilo basi ni big deal. Jamani watu wanaweza kuwa marafiki na wakitengana basi tena life has to go on na urafiki unabakia.
ReplyDeleteMijitu yote iliyo mropokea huyu ndio hiyo ina wasiliana na visichana vyao vya pembeni kila siku. Na misichana inayo mkosoa huyu ndio hiyo hiyo ina date mbele na nyuma.
Tatizo la wabongo tuwanafiki sana. Oh katoa email basi mmelipuka kama nini. Mna mawazo ya uzinzi sana tu. Dunia ndogo hii...mimi puppy lover wangu ndio alini host nilivyoingia hizi nchi za watu. Na tuna heshimiana mpaka leo nothing more. Sasa nyie waosha vinywa au wanafiki mkae kimya. Dave I am behind you 100% manake hata haters wanaweza wakakutumia email za ajabu ajabu. Don't pay them no mind
we anon wa july 7 2007 3:38am tukueleweje? au Dave ni basha wako??? Mnajifanya mko ughaibuni kumbe hamna akili.
ReplyDeleteHalafu ukijiita uko ughaibuni unadhani ndio tutakuona wa maana?? tunajua wewe ni mbeba box tu huna lolote.
Msupport dave kwa 100% kwa sababu bila yeye maisha hayataenda.
wewe Anonymous wa July 6, 2007 12:32:00 PM EAT kwanza mavi yako kuwaita hawa makaka mabrazameni. Nimekua nao sana na nawafahamu vizuri sana sio mabraza kabisa na hawana makuu. Haya eti hiyo body language inaonyesha wamelazimishwa kuoa. Kwani hiyo body language yako ndio inayodetermine utayari wa mtu kuoa? Watu wengine bwana!!! Kama huna maoni ya msingi kaa kimya. Basi na mimi naweza sema hayo maneno yako uliyoandika yanaonyesha wewe una nyege na unataka kuolewa wewe. AU? Hongereni sana mapacha na wake zenu.
ReplyDeleteWell done but those gowns are old fashion now,and flowers duuu!!!!,the hair..... but yhanks for giving us something to say,ahhhh!!!!! iyaahhhh.Love ya all.Calm down people from above,people are just having fun talking shit.They put their .... pictures no one force them to.So lets have some fun.Thanks brother michu for this web.
ReplyDeletewe unayesema the gowns are old fashion we ndo mshamba kabisa hauko current na haya mambo hizo gowns zimetulia hata aliyewashonea (kama hazijanunuliwa dukani)ni proffesional. After all this site is for having fun people are putting their pictures to share their joy and happiness sio kupata ridiculous, negative comments kama zenu this is not what you call fun unafikiri jamaa wanajisikiaje ths is not cool kama unaona vipi dont put you comments leave the guys alone!!!
ReplyDelete