
usiku huu kikosi chetu cha taifa kwenye michezo ya afrika huko algeria kimerejea kikiwa na medali moja tu ya fedha aliyoshida martin sule kwenye mbio za nusu marathon. hapa ni katibu mkuu wa kamati ya olimpiki na bingwa wa zamani wa mita 1500 filbert bayi akimpokea sule baada ya kutua dar usiku huu. shoto ni mwalimu mkongwe wa riadha nchini mzee saria.
kama michezo ya afrika tunapata medali mmoja tu its absurd,some is wrong with the motherland,name any aspect and we lag behind,hizi habari nyingine usiziweke michuzi maana huku tulipo zinatuliza machozi
ReplyDelete