TUNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE WAISHIO NJE KWAMBA JUMUIYA YAWATANZANIA WAISHIO MAREKANI (WASHINGTON DC ATC- METRO) KWA USHIRIKIANO NAMTOTO WA MAREHEMU MAMA MWAJUMA MWAYUNGU, IMEAMUWA KURAHISISHA UKUSWAJI WAMICHANGO YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU KWA KUTUMIA AKAUNTI YA JUMUIYA
WACHOVIA BANK
ASSOCIATION OF TANZANIAN COMMUNITY
AKAUNTI #055003201 2000021816718
MAELEZO MAMA MWAJUMA MWAYUNGU.
PIA MSIBA UTAKUWA KWA DADA IDA ISSA
6700 BELCREST RD
APT# 1102
HYATTSVILLE,MD 20782
TAFADHALI FIKA KWA ILI UWEZE KUMPA POLE MTOTO WA MAREHEMU AMBAYE ATAKUWAHAPO KWA MUDA WOTE.
AKSANTE NA MUNGU AWABARIKI SANA
TINO MALINDA
KATIBU MKUU
ATC METRO USA
Kaka Michuzi, mimi huwa ninafurahi sana kuona wabongo tunashirikiana.
ReplyDeleteNinachojiuliza ni kwmba mbona hutujawahi humu ndani kuona mchango fulani wa fedha wa kimaendeleo?
Mbona Kaka Majid alipounga mkono hoja aliyoitoa mwalimu Mazara kumchangia annunue kamera ili azidi kutuelimisha wengine walimdhalilisha?
Sisi wabongo tuna nini?
Ushauri
Nadhani kuna haja ya kupata mawazo mazuri humu ndani yawe ya kibiashara au maendeleoili tuyajadili na kuchangia kifedha kuyafanikisha.
Nadhani ni wazo zuri, si vibaya tukiendelea kuchangia na misiba pia.
Nomba kuanzisha mjadala.
Itakuwa vizuri ukaiweka hii kwenye ukurasa uonekanao ili wadau tuujadili.
Naomba kuwasilisha.
PLz plz wewe anonymous ... July 9, 2007 6:57:00 PM EAT unayo akili kweli unafananisha mchango wa mtu alifiwa na mtu anataka kununua camera . kwanza kwenye matatizo ni kweli ndio tusaidiane kwa hali na mali lakini swala ya kumchangia mtu camera ya kazi na halikuwa anafanya kazi zaidi ya miaka kumi je mtu kama huyu anatakiwa apewe mchango namna ya kusave pesa yake na awe na matumizi kwa kuwa na bajeti hama sivyo kila mtu ataka mchango kwa vitu visivyo na maana kwa sababu website kama hii blog ni free kusign je wenye website nyingine kama bongo5,darhotwire ambao wanalipia Domain Name Registration With Hosting nao wataka pia tuwape michango......plz fikiria kwanza kabla ujandika kwenye hizi blog kama unataka michango tutato kama kuna charities za watoto yatima, watu wenye ugonjwa wa ukoma, ukimwi na mengine sio kumpa mtu kwa ajili ya kazi yake wana watu wengine hambao michu hawajue pia wakitaka je tuchange tu ???? hii ndio milllenium notik 4 free ...c me late on michu blog is best of all the time..
ReplyDeleteMICHANGO WABONGO NDO ASILI YETU.
ReplyDeleteHATA SERIKALI ILIPOKUWA INATAKA KUFANYA SHEREHE ZA KUAZIMISHA MIAKA 45 YA UHURU, ILIPITISHA BAKULI LAKE KWA WAFANYABIASHARA ILI SHUGHULI IWEZE KUFANA.
CHA KUSHANGAZA NI KWAMBA SHEREHE KAMA HIZO ZA KUADHIMISHA MIAKA 45, 50,75 AU KARNE, HUJULIKANA MIAKA MITANO AU MITATU KABLA.
KWA NINI HATUNA UTAMADUNI WA KUJITAYARISHA NA KUJIWEKA SAWA ILI SHUGHULI KAMA HIYO NA NYINGINE ZIKIKARIBIA IFANE BILA YA KUWA NA WASIWASI WA KUPUNGUKIWA?
HIVI GHANA ILIYOTIMIZA MIAKA 50 MWAKA JANA NA KUFANYA SHEREHE KUBWA, ILIFANYA KAMA HIVYO ALIVYOFANYA LOWASSA KWA KUPITISHA BAKULI KILA KONA YA WAFANYABIASHARA?
KAMA UKITAKA MSAADA WA MFANYABIASHARA, KESHO AKIKUFATA NA KUOMBA AHUENI ILI APITISHE MZIGO BILA KULIPA KODI, ATAKATALIWA?
MUULIZENI TONY BLAIR, HIVI SASA YUPO KATIKA WAKATI MBAYA KWA KUPOKEA MISAADA YA WAFANYABIASHARA HUKU AKIJUA KUFANYA HIVYO ANAKIUKA MAADILI SIYO YA CHAMA CHAKE CHA LABOUR, YA SERIKALI YA UINGEREZA.
AMKENI SASA....POLENI WAFIWA
SASA PESA ZINAPELEKWA MIKONONI KWA WALAJI,TINO HUAMINIKI KWA WATZ NDIO MAANA INAYOOITWA "JUMUA"HAINA HATA ROBO YA SISI WAKAZI WA DC METRO.
ReplyDeleteMAMBO MENGI HATA "RAIS" YASSIN ANAKIRI HATUFANYI KAMA JUMUIA BALI MICHANGO YA PAPO KWA PAPO.