HUO MCHUMA NI GHALI SANA LAKIN NAAMINI BONGO YAMEJAA TELE MANA KUNA WATU WANAISHI NA WENGINE TUNASINDIKIZA WENZETU WAPATEISHI, ILA KAKA MICHUZI KAMABONGO KUNA MTU ANA MILIKI HIYO GARI MUANGALIE MARA MBILI LAZIMA JINA LAKE LITAKUWEPO KWENYE LIST YA J.K. NISIWATISHE SANA KARIBU SANA DUBAI MJEMJIONEE -


SCISSOR-DUBAI, UAE.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2007

    cant say that Bongo Mchuma kama huo haupo. Jinsi ninavyoelewa mie huo ni kitega uchumi vile vile kama hoteli, pantoni, hata kiwanda. Mtu ananunua kwa mkopo au cash sio kwamba kila siku limpeleke kazini. Gari ni la kukodisha kwa sherehe mbalimbali.
    Nimeishasikia kuwa jamaa aliweka rehani nyumba akanunua gari type hiyo na mwenyewe analiendesha.
    Pia kuna funeral houses wana malimo tofauti ya kubeba majeneza na wafiwa. Germany niliona Maybach. BUSINESS mjomba
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 08, 2007

    Sasaa wewe Anonymous wa July 8, 2007 3:53:00 AM EAT maaana yako nini ..hutaki watu kushirikiana
    kama sio wao kuwa pamoja pic za
    msiba wa amina tungezipata wapi
    tazama michuzi namdogo wake michuzijr wote
    kitu kimoja kwa maendeleo ya pamojaa acha ushamba kama vipi
    anzisha yako na wewee.. mbona husemi da chemi nae? ACHA USHAMBA wana blog wotee ushirikiano muhimu .

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 08, 2007

    Annoymous wa july 7, 07 6.51pm kama hiyo michuma ipo bongo basi mpaka mwezi ulopita zilikuwepo 3 tena hammer ndogo za kawaida na sio hizo ndefuu kwahiyo kama una uhakika zipo basi bado zipo kwenye contena hazijaanza tembea barabarani.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2007

    shortly I will hire it at my marriage, what we get we should spend as well due to shortness of life span

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 08, 2007

    Duu........sio mchezo hii Hummer, kweli wengine tunasindikiza wenzetu wapate kuishi :). Mtaji tosha huu wa biashara.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 09, 2007

    Sasa hili gari na bei ya mafuta ya bongo,..................ama kweli kazi ipo

    ReplyDelete
  7. Hummer Hiyo sio mchezo !

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 11, 2007

    Huku tuna kamua kama kawaida kwenye hizo Hama ziko bwelele.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...