helo kaka michuzi,

hope ure fine.nimepotezana na marafiki zangu miakamingi sana,sijui kama unaweza kunisaidia kuwatafuta

1. khadija kellow-last time saw her in dar 2001

2. zera kelly- last time saw her in arusha 2000

3. gyolle mashausi -last time saw her in ashira girls1998

ningefurahi kama tungeweza kuwasiliana nao

sapiruk@yahoo.co.uk

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2007

    Huu sio ubao wa matangazo. Kama umepotezana nao maana yake hawataki kuwasiliana na wewe. Wenzio wote hao wameolewa, sasa unaweza vunja ndoa zao buree. Manake marafiki hamkawii shemeji kulaa mwenyewe hayupo

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2007

    alafu we makaka ulie andika hii comment hapa chini naona una uchokozi....kaka let me upgarde u..these pple had a great impact in my life ,im the one who moved and lost contact.duh we jikaka una dalili za umbea umbea au ndio zako za shemeji shemeji,honey not everyone goes left overs okay
    ! sank u

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...