
rais wa msumbiji mh. armando guebuza akikagua gwaride mara baada ya kutua dar jioni hii kwa ziara ya kiserikali. anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kesho kwenye maonesho ya sabasaba. alipokewa kwa shangwe na wabongo ambao walijipanga njia nzima kumshangilia. wengine walisikika wakisema kwa utani kwamba dili hilo jk! septemba tunacheza nao hao jamaa. asiondoke mpaka kieleweke kama watatupa ama vipi...

jk baada ya kumpokea mh. armando guebuza



jk akiondoka na mgeni wake
Ofcourse bongo hilo la kujipanga barabarani na kuwapungia mikono hao walafi wa kodi zetu na wazandiki tunalijua sana!
ReplyDeleteOhh poor Tanzanians...
Lahaula! hivi Tanzania tuna pesa mpaka white house wananunua president car like this?
ReplyDeleteMheshimiwa ISSA AKSANTE SANA KWA PICHA "..MUHIMU.." JK ANAWAJIBIKA SIO.. SAFI SANA NA NI MUHIMU..HAPO NDIO "..MAHALA PAKE.."
ReplyDeleteKaka Michuzi, kama tunaambiwa utawala bora ni pamoja na kuweka wazi mapato na matumizi ya Serikali, hebu jamani mi naomba nifahamishwe hivi hilo BENZI la milango 6 hilo lilinunuliwa kwa gharama ya shilingi ngapi hasa? Mweeh!
ReplyDeleteMweeeh, jamani acheni ushamba, hiyo benzi ni sh ngapi, na wanatumia sh ngapi kila siku? Bemzi si inanunuliwa siku moja tu. Wacha alinde heshima ya Rais na si ya Kikwete jamani.
ReplyDeleteBenzi la milango mitatu nini bwana kwa Rais wa nchi. We unajua duniani kuna Marais wangapi?
ReplyDeleteMichu najua wewe ni mpiga picha maarufu na unaweza kukutana na kikwete kabla huyu rais wa msumbiji hajaondoka mwambie kikwete aanze fitina za pambano letu na msumbiji...! tena alete kikosi cha nne kwani wao hawana nafasi...!tena ilikuthibisha udugu wetu na msumbiji huyu rais wao aje siku ya mechi ili tuendeleze udugu wetu kwani sisi tumewasaidia kwenye uhuru na mambo mengi....!
ReplyDeleteHiyo ni Mercedes-Benz Limousine ina milango minne tu na wala sio mitatu au sita. Wabongo pamoja na kuwekewa picha bado mnachemsha, kweli kuna vichwa vigumu.
ReplyDeletewewe mbwiga unafikili heshma ya nchi inalindwa kwa rais kua na benz kali wakati GDP ya ugoko kuza uchumi upate heshma sio kua benz kali hapo ndio kwanza unaporomosha heshma ya nchi na wananchi wako!
ReplyDeletelet us talk about facts:
ReplyDeleteSiongelei JK au budget ya bongo:
Kwa field yangu ya kazi nasema:
Mtu yayote mwenye siri kichwani na relatives wake inabidi kulindwa. Inaweza akawa raisi, CEO, shahidi au employee aliyeko ktk sehemu za hatari(hijackers/terrorists wengi) etc. Jinsi ulivyo bosi ndo ulinzi unapozidi. About MB:Hiyo ni 4 doors (not 6)W220 (most probably V12, 6000cc about 2800-3500kr and I guess, 99.9% armoured). Kwa maraisi inakuwa na kipimo cha ulinzi say B5 to B7. Usalama mzuri ni factory tailored armoured car, yaani tangu design gari inatengenezwa special kwa mtu maalum. Zipo strech, yaani W220 ya kawaida inaongezwa urefu na kuvishwa vitu vinavyoifanya iwe amoured. The best ni kama gari ya Bush na magari yaitwayo ZIL wakati wa USSR. Inatengenezwa kwanza amoured capsule then inavishwa juu details za gari. Bei za magari hayo yote mara nyingi ni siri kubwa, kwani nikijua details hizo, naweza kufahamu ni jinsi gani nikulipue ua niku "smoke". Pia inategemea ni nani ameiloga. AMG, S GUARD, PULMAN BRABUS nikiongelea MB ni bei mbaya. Pia 10% zipo.
Bongo. Hali ya usalama wa raisi ni siri. Hata kama kuna watu waliotaka kumfanyia kweli raisi yeyote wa kwetu, hatuambiwi. Watu wa secret service nchi zote, wana mchezo wa kuongeza hali ya utisho ili waongezewe burget.Ukweli ni kwamba: we need to protect our leaders. Swala ni kiwango gani cha ulinzi kinatakiwa. Kwani bei za kununua na kuyatunza hayo magari (Inashauriwa kuwa na gari mbili zinazofanana!!) zinategemea na ulinzi tuuwekao.
Heshima ya raisi kama CEO wa nchi lazina iwepo, lakini kama hali ni mbaya securuty wise, raisi atatembea na military humvee....
Blackmpingo
http://www.securityprousa.com/armepuleb6bu.html
ReplyDeletecheki uroda
AIBU hamjui nchi yenu hiyo gari imenunuliwa kabla mkapa hajangatuka kama mge kuwepo tanzania wakati kikwete anaapishwa mngeona mkapa alikuja na hiyo mercedes na kikwete ndio akaondoka nayo kama rahisi mpya.mue mnarudi nyumbani washamba nyie alafu kingine mercedes hiyo sana sana million 50 kama sio msaada, rahisi anahitaji gari nzuri sio yale majeneza waliokuwa wanatumia zamani
ReplyDeleteUnless Wajerumani walitupa benzi hilo kama zawadi!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHata kama ni zawadi, ina kamba zake!
Lakini sioni benzi la milango mitatu au sita!
wabongo bwana kwa maji mengi kichwani, sasa hilo benzi ndo nini tena kwa rais
ReplyDeletebenzi hata mimi na box zangu naweza kuli-finance we ndo unampigia kelele rais tuliza mshono huo
Jamani acheni ushamba kulalamikia Benz je mlikuwa mnataka JK akampokee mgeni wake kwa kupanda punda? Don't be cheap... Rais wa nchi kama Tanzania ni lazima afanane na Tanzania ya leo...! Asante michuzi kwa kutupa updates... nasi tulio ughaibuni tunajivunia nchi letu.
ReplyDelete