banda la jeshi la polisi kule sabasaba linaendelea kuvutia wageni wanaokwenda kujipatia habari mbalimbali juu ya taasisi hiyo nyeti ambayo mwaka huu imemwaga mambo yake hadharani ili raia wanufaike kwa kujua mambo kibao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 06, 2007

    MIYAYUSHO TU HAWANA LAO JAMBO. TOKA LINI SERIKALI YA CCM IWEKE MAMBO HADHARANI, WANATOA ISSUE AMBAZO ZA MBUZI MBUZI TUU. KAZI KWENU WABONGO.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 06, 2007

    Duu!! Hilo Banda Hata Kwa Fimbo Siingii ...Noma hao

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 06, 2007

    FORENSIC!!!! Mazingaombwe ndo yanaendesha hili jeshi, siamini forensic hipi hii inayozungumziwa.Ukishangaa ya Musa...

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 08, 2007

    babu naona watu mnasahau kwamba hapo kuingia bureeee lakini kutoka ni kidogodogo(yaani mahela kama wahaya wanavyosema)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...