JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC NA FAMILIA YA MAREHEMU MAMA MWAJUMA BAKARI MWAYUNGU TUNAPENDA KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE WAISHIO WASHINGTON DC, KWA MOYO NA UPENDO MLIOUONYESHA KATIKA KUFANIKISHAUSAFIRISHAJI WA MWILI WA MAREHEMU MAMA YETU MPENDWA.
WAKATI TUNATOA SHUKRANI HIZI , TUNAPENDA PIA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO NJE NA NDANI YA MAREKANI KWAMBA LICHA YA KUFANIKISHA MSIBA HUU, JUMUIYA YA WATANZANIA WAISHIO WASHINGTON DC INAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA HATUJAPOKEA MICHANGO YEYOTE KATIKA AKAUNTI YETU.
KWA MTU YEYOTE AMBAYE ALITUMA KATIKA AKAUNTI YETU TUNAMUOMBA ATUME MAELEZO YAKE KWETU KWA EMAIL ZIFUATAZO :AMALINDA3@HOTMAIL.COM AU YASSINHASSAN@YAHOO.COM NA (ISSAMICHUZI@GMAIL.COM).
HII ITATUWEZESHA KUFUATILIA, KUKUSHURU NA KUTOA TAARIFA RASMI KWA WATANZANIA WOTE JUU YA MCHANGO WAKO
AKHSANTE,
TINO MALINDA
KATIBU MKUU
ATC METRO ( ASSOCIATION OF TANZANIAN COMMUNITY IN USA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...