henry galinoma (njano) na suleiman nyange na mdau wao wakiwa na baadhi ya wanasikinde

trupu la wanasikinde na wenyeji wao

sikinde jukwaani. shukrani zimwendee aboubakar mwana wa liongo anayetruhabarisha hapa
Bendi ya DDC Mlimani Park Orchestra imesisimua zaidi ya washabiki 2000 waliofika katika tamasha la africa festival lililofanyika katika mji wa Hertme uliyoko mashariki mwa Uholanz wiki iliyopita.
Tamasha hilo ambalo ni la tis linavishirikisha vikundi mbalimbali vya muzikikutoka afrika, ambapo Sikinde walichukua nafasi ya Papa Wemba aliyekuwasafirini Tanzania.
Sikinde wako katika ziara ya Ujerumani kwa mwaliko wa kampuni ya JahaziMedia inayoongozwa na mjerumani Werner Graebner, na waliwasili mnamo wikimbili zilizopita.
Katika tamasha hilo ambalo watu hutozwa kiingilio cha euro 15 kuingia sawa na shilingi 25,000.Sikinde waliwasisimua washabiki kutokana na midundo yarhumba linalochezeka, huku Hassan Bitchuka akikonga nyonyo za washabiki kwasauti yake tamu.
Jana Sikinded walipiga katika onesho la wazi mjini Hannover hapa Ujerumani,mji ambao ni maarufu kwa maonesho mbalimbali ya kibiashara, ambako nako piawaliwasha moto na kuwapeleka puta watasha.
Bendi hiyo inatarajiwa kuondoka Jumapili kurejea nyumbani, baada yakuhitimisha maonesho yao siku ya jumamosi hapa Ujerumani.
Hata hivyo baadhi ya wanamuziki ambao walikataa kutaja majina yaowamelalamika juu ya kitendo cha mdhamini wao kutowalipa hela mpaka sasa.
´´Huwezi hamini ni jana ndiyo jamaa katupa euro mia mia, wakati makubalianoni euro mia mbili kwa siku, naona anatuzingua tu.Inavyoonekana mkatabaaliyoingia nao na ofisi yetu bongo, wamenufaika wachache´´alisema mwanamuziki huyo maarufu.
Mbali ya hivyo pamoja na kwamba wamekuwa wakikaa katika hoteli za hali yajuu lakini mdhamini huyo amekuwa hawapi wanamuziki ratiba kamili tokawalipofika.
Hii ni mara ya pili kwa Sikinde kuja Ujerumani chini ya udhamini wa kampuni hiyo.Tamasha hilo ambalo ni la tis linavishirikisha vikundi mbalimbali vya muzikikutoka afrika, ambapo Sikinde walichukua nafasi ya Papa Wemba aliyekuwasafirini Tanzania.
Sikinde wako katika ziara ya Ujerumani kwa mwaliko wa kampuni ya JahaziMedia inayoongozwa na mjerumani Werner Graebner, na waliwasili mnamo wikimbili zilizopita.
Katika tamasha hilo ambalo watu hutozwa kiingilio cha euro 15 kuingia sawa na shilingi 25,000.Sikinde waliwasisimua washabiki kutokana na midundo yarhumba linalochezeka, huku Hassan Bitchuka akikonga nyonyo za washabiki kwasauti yake tamu.
Jana Sikinded walipiga katika onesho la wazi mjini Hannover hapa Ujerumani,mji ambao ni maarufu kwa maonesho mbalimbali ya kibiashara, ambako nako piawaliwasha moto na kuwapeleka puta watasha.
Bendi hiyo inatarajiwa kuondoka Jumapili kurejea nyumbani, baada yakuhitimisha maonesho yao siku ya jumamosi hapa Ujerumani.
Hata hivyo baadhi ya wanamuziki ambao walikataa kutaja majina yaowamelalamika juu ya kitendo cha mdhamini wao kutowalipa hela mpaka sasa.
´´Huwezi hamini ni jana ndiyo jamaa katupa euro mia mia, wakati makubalianoni euro mia mbili kwa siku, naona anatuzingua tu.Inavyoonekana mkatabaaliyoingia nao na ofisi yetu bongo, wamenufaika wachache´´alisema mwanamuziki huyo maarufu.
Mbali ya hivyo pamoja na kwamba wamekuwa wakikaa katika hoteli za hali yajuu lakini mdhamini huyo amekuwa hawapi wanamuziki ratiba kamili tokawalipofika.
Galinoma
Wakati huo huo mwanamuziki anayechipukia Henry Galinoma anayeishi Uholanzianatarajia kuingia studio kurekodi nyimbo zake akiwashirikisha Sikinde kabla hawajaondoka jumapili hii ijayo.
Henry Galinoma ambaye ni mdogo wake na mwanamuziki maarufu wa miondoko ya Reggae Innocent Galinoma a.k.a Ras Inno anayeishi Marekani.
Henry amekuwa akitamba katika maonesho mbalimbali ya Uholanzi akishirikiana na mwanamuziki wa zamani wa Washirika Stars Suleiman Nyange.Kwa sasa ana album inayoitwa 'Buti Jiwe'.

picha ya juu kabisa, jamaa wa kushoto kabisa anaogopa kumshika mthungu huyo ndio mke wa Galinoma.
ReplyDeleteNdio tatizo la ma promoter matapeli, unadhani Papa Wemba alikuwa mjinga kutosa show ya Ulaya na kuja TZ?.
ReplyDeleteLakini Bora wako huko watatakata kiasi, maana hapo naona sura nibado hazinga ngaa kw aupepo wa majuu.
Papa wemba hajatosa trip baba,kuna mtu anatosa trip ya Ulaya?Kapigwa marufuku kutia mguu ughaibuni,alifungwa Ufaransa kwa kesi ya kuingiza watu kama wanamuziki halafu wanakuwa wakimbizi.
ReplyDeleteSikinde! group kongwe kabisa hii miaka 29 sasa bado wapo kwenye gemu,hongereni sana. Ninavyoona mimi hawa jamaa wanapaswa kuangalia pia jinsi ya kuingia katika gemu la kimataifa kwakuanza na kupromote kwa makusudi nyimbo zenye mchanganyiko wa kiasili zaidi. Walishawahi kufanya hivyo huko nyuma kama mnakumbuka nyimbo ile yenye mahadhi ya kigogo "Tangazia mataifa yote" ambayo iliwapa ubingwa wa muziki wa bongo hapo nyuma, Uwezo mnao,ongezeni juhudi tu na kutafuta bila kuchoka wenye kujua nyia sahihi. Hata hivyo nawapongeza kwa hatua mliyoifikia-Cass.
ReplyDeletenilijua tu,tatizo sisi waafrika tunadhani mzungu hawezi kuwa tapeli.tabia ni tabia tu haitegemei rangi ya mtu,ni hulka tu.poleni wana sikinde,rudini tu nyumbani ila siku nyingine hakikisheni mikataba inathibitishwa na balozi husika.
ReplyDelete