NDINGA LIMENZA KIASI CHA DAKIKA ISHIRINI ZILIZOPITA NA SIMBA INAONGOZA KWA BAO 1-0 LILOFUNGWA DAKIKA YA PILI KWA PENATI NA MCHEZAJI ODHIAMBO UWANJA WA JAMHURI MOROGORO KATIKA FAINALI YA LIGI NDOGO YA BARA AMBAPO MSHINDI ANAWAKILISHA BONGO KWENYE LIGI YA MABINGWA AFRIKA NA MSHINDI WA PILI ATACHEZA MICHUANO YA SHIRIKISHO LA SOKA AFRICA - CAF
Home
Unlabelled
simba na yanga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ahsante muheshimiwa kaka michuzi kwa kutuweka up to date
ReplyDeletenakushukuru sana
pili nimefurahi mnooooooooo kutuwambia kuwa simba inaongoza
thanks bro
Simba wa JIJI, fanyeni vitu vyenu.. Fungeni YANGA..
ReplyDeleteBig up.. nasikia wamekombea kwa habari zako michuzi..
Wewe unawasapoti timu gani sasa ?