MICHUZI,
SIMBA OYEEEEEE!!!!!!
NAJUA MTASEMA USHINDI WA MATUTA KAKAAAA!!!!! PAMOJA NA CHUKI TOKEA PEMBE ZOTE, SERIKALINI, FAT, YANGA, PAN AFRICA NA BLOG YA MICHUZI KUTOA MATOKEO YA USHINDI WA SIMBA KWA UNAZI LAKINI MNYAMA KATHIHIRISHA AHADI YA KUENDELEZA UTEJA. NILISOMA HATA VYOMBO VYA HABARI IPP MEDIA, VILITABIRI YANGA KUIBUKA BINGWA.
KAMA KWELI MICHUZI HUNA UNAZI NA SIO MTOTO WA YANGA, WEKA MESSAGE HII HADHARANI NIKIWAPONGEZA WATOTO WA MSIMBAZI NA HASA MZEE HAZALI KUTIMIZA AHADI YAKE. WANASIMBA USHINDI MLIOPATA NI PIGO KWA MAADUI WALIOWAZUNGUKA WAKIJITAHIDI KUTHOHOFISHA MAENDELEO YA SIMBA.
NAWASHAURI, MCHUKULIE USHINDI HUU KAMA MWANZO MZURI KATIKA SAFARI YA KULETA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA CLUB YETU NA SOKA LA TAIFA LETU LINALOONGOZWA NA RAIS MNAZI WA YANGA. KADUGUDA NA WENGINE HAPO JUU KAMA MANAHODHA, NAOMBA MUONGEZE NGUVU YA MSHIKAMANO KWANI MAFANIKIO MAKUBWA YATALETWA NA UMOJA WA WANASIMBA WOTE.
SISI WAKEREKETWA NJE YA NCHI TUNASOMA DHURUMA ZOTE ZINAZOFANYWA NA TFF KUPITIA UONGOZI WA TENGA. ILI KUONYESHA KUWA SIMBA IMEKOMAA KIMICHEZO, WANASIMBA TUFANYE MAMBO KITAALAM ILI KULETA MAFANIKIO YA KWELI KWA CLUB NA TAIFA LETU.
TUENDELEE MBELE BILA KUSAHAU KUWEKEZA KATIKA SOKA LA VIJANA KAMA WANAVYOFANYA WENZETU. TUACHANE NA WACHEZAJI WABABAISHAJI KAMA AKINA ATHUMAN IDD AMBAO KUCHEZA KIDOGO WAMESHAJIONA VIJOGOO. SIMBA IMESHAKUWA NA MASTAA ZAIDI YA HAO WANAOOTA KUUZA NDIMU. AKINA LENNY RAMADHANI, HUSEIN MASHA, NICO NJOHOLE NA WENGINE WENGI, WAMETUMIKIA CLUB KWA HESHIMA KUSHINDA HAWA WABABAISHAJI.
HONGERA SANA SIMBA MMEMFUNGA MDOMO MICHUZI ALIYENITABIRIA ETI MNAKWENDA KUANGUKIWA NA VUA YA MAGOLI. ANASEMA YEYE NI PAN LAKINI ALIKUWA AMEJIANDAA KUSHANGILIA USHINDI WA YANGA.
MDAU ED-MPENDA MAENDELEO YA SOKA
Bwana your right kweli wachezaji wengine wababaishaji tu. Mimi nilikuwa Simba sana enzi hizo nipo bongo lakini siyo Simba tena, nimeachana kabisa na ushabiki wa timu zetu za bongo....mimi ni Liverpool sana.... kwa upande wa timu ya taifa mimi ni mshabiki mzuri sana.... kama tunataka soccer ya bongo iwe juu tuache imani za uchawi hasa kwenye timu hizi mbili...
ReplyDeleteHUYO FALA ALIYELETA UJUMBE HAPO JUU HATUMUELEWI HATA KIDOGO. NI HUJUMA GANI SIMBA IMEFANYIWA NA FAT NA SERIKALI? AU KASAHAU ENZI ZA AKINA KADUGUDA , RAGE, NDOLANGA NA WAMBURA KUWA WALIKUWA WAKIPANGA MAREFA WANAZI WA SIMBA KUCHEZESHA SASA WAKAONA HAWAPO KWA HIYO ILE DHAMBI YAO IKAWA INAWASUTA WAKIDHANIA FAT INAWAHUJUMU KWA KUWA REFA SIYO WAO??? SIMBA ACHENI KUTOKUJIAMINI KWA SABABU MMEZOEA MBINU CHAFU. NI KAWAIDA YENU KUWA NA FITNA KIBAO HASA MNAPOCHEZA NA YANGA . SASA TUTAONA KAMA HAMTATOKA RAUNDI YA KWANZA KLABU BINGWA AFRIKA. MTATOKA TUU TUTAWAPA WAZAMBIA.. SAA HIVI MTU WENU FAT NI MAGORI PEKE YAKE NA HANA SAUTI. NDIO MAANA MNASHINDA KWA TAABU SANA. LIGI YETU INAKUJA NA MTARUDISHA TUU HILO KOMBE KWANI LIGI ILE HAINA BUTUA BUTUA.
ReplyDeleteNaungana na wadau wengine kuipongeza SIMBA SC. Kweli mnyama unatisha. Yanga hamna kitu ingawa walijitahidi kwa kweli kwani kwa jinsi nilivyoukuwa naona ule mpira Yanga alikuwa abebe bao 3 katika kipindi cha kwanza tu! Naona Madega ana kazi kweli kweli ya kujieleza ni namna gani amefanya hadi mnyama awapoke tena kombe. Kweli inapendeza sana kuchukua kombe kutoka kwa Yanga. SIMBA Oyee! Tuzidishe umoja na mshikamano ndani ya klabu.
ReplyDeleteKAKA ISSA WA MICHUZI KAMA ULIKUWEPO UWANJANI BASI NI DHAHIRI UTAUNGANA NAMI KUKUBALI KUWA SIMBA SI LOLOTE SI CHOCHOTE NA HIYO LIGI YA KLAB BINGWA KWA MPIRA ULE HAWAWEZI KUFIKA POPOTE, NA UBIBGWA WENYEWE WAMEPEWA NA MNAZI MKUBWA AMBAYE NI ABDUL NTIRO YULE DOGO INAJULIKANA WAZI KUWA NI SIMBA DAM NA NASHANGAA KWA NINI ALIENDA KUPIGA ILE PENALT AMBAYO KAMA ANGEPATA BAO INGETUPATIA SISI UBINGWA ALA ALL IN ALL NDO GAME ILIVYO NA KWENYE PENALT LAZIMA MMOJA AFUNGWE NA SISI WANA YANGA TUMEKUBALI MMETUFUNGA KWA PENALT.
ReplyDeleteWEWE UNAYEIITA WATU MAFALA NDIO FALA UNAKUBALI KWAMBA KUNA WATU WA KLABU NA MAGORI HANA SAUTI HAO WENYE SAUTI WANAFANYA NINI??VURUGU ZIMETOKEA ARUSHA MLIPOCHEZA NA MTIBWA HAMNA HATUA YEYOTE ILIYOCHUKULIWA NA HIYO TFF YENU.JANA MLIMWAGA MCHANGA NA MAJI YA UCHAWI KATKATI YA UWANJA TUTAONA MTACHUKULIWA HATUA GANI???MMEFUNGWA NA SIMBA MARA KUMI NA MOJA TOKEA MWAKA 2000 NA BADO MNALETA VISINGIZIO KIBAO.OOH SASA KUNA MUAFAKA MNYAMA LAZIMA AFE IKISHINDIKANA NDIO DUA LA KUKU NA KULAUMU ABU MTIRO NI SIMBA MBONA NGASA NA ABDI KASSIM WALIKOSA PIA NAO SIMBA???JENGENI TIMU WACHENI CHUKI. MAJI YA MOTO HAYACHOMI NYUMBA.
ReplyDeleteMichuzi naomba tuwekee picha za pambano la jna na shamrashamra na kilio kwa timu zilizocheza.Najua wewe Pan lakini roho yako jana ilikuwa Yanga.Una asili narangi nyekundu ndio maana mpenzi maarufu wa Liverpool-Reds.Damu inakuita basi tu.
ReplyDeleteMIMI HUWA NASEMA HAWA JAMAA WA JANGWANI KAZI YAO NI KUCHONGA TU, SASA ONA WATU MMEFUNGWA BADALA YA KUWAPONGEZA WEKUNDU WA MSIMBAZI KWA KICHAPO WALICHOWAPA NYIE MNAENDELEA KUCHONGA MARA HAMPITA ROUND YA KWANZA, MIMI NASEMA HIVI NYIE SUBIRINI.
ReplyDeleteASEE NYIE HATUJAJA KUTUKANANA HUMU NDANI SAWA!
ReplyDeleteKIFUPI SIMBA HAWANA TIMU YA KUIFUNGA YANGA WANACHOSUBIRI WAO KWENYE PENALT NDO WATANGAZE UBINGWA, YANGA IPO JUU BWANA NA KAMA KUNA MMOJA WENU HUMU ALIYEPOST COMMENTS JANA ALIKUWEPO UWANJANI BASI NI DHAHIRI AMEONA UOZO ULIOKUWA UNAFANYWA NA WACHEZAJI WA SIMBA, HAKUNA TIMU YA KUVUKA ROUND YA KWANZA KWENYE CHAMPION LEAGUE BWANA, TUNAKUBALI MMECHUKUA KOMBE KWA NJIA YA PENALT NA KWENYE PENALT LAZIMA TIMU MOJA IFUNGWE ILI TIMU NYINGINE ITANGAZE UBINGWA SASA WANA YANGA TUMEKUBALI MMEWEZA KUCHUKUA KOMBE TULILOKUWA TUNALIMILIKI KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO, WE KNOW MLIKUWA NA HAMU SANA NA UBINGWA NA UBINGWA WA HAKO KA LIGI KADOGO WALA SI MTAMU KAMA WA LIGI KUU. TUTALIRUDISHA TU HILO KOMBE
MWISHO NAOMBA NIWAPONGEZE
HONGERENI SANA
WEWE KWELI MCHOVU HASWA SIMBA WAMEWAFUNGA MARA KUMI NA MOJA TOKEA MWAKA 2000 MPKA LEO .MKITOA DROO MNAANZA NGEBE NA MAJTAPO.OHH MWAKA HUU TUNA MUAFAKA NA UDHAMINI HIVYO LAZIMA TUCHUKUE UBINGWA TENA.SASA MAJI YAMEFIKA KOONI OHH LIGI NDOGO KWANZA SIO TAMU.HIYO LIGI NDOGO NDIO NGUMU ZAIDI KWANI INABIDI UDHIHIRISHE KWAMBA WEWE NDIO BINGWA KWELI KWANI HAKUNA KUPANGA MATOKEO WALA KUNGOJA MWENZIO AVURUNDE.JENGENI TIMU WACHENI KUCHEZA MPIRA KWA MDOMO.KOCHA WENU AMEKAA NA TIMU MUDA MREFU ANASHINDWA NA KOCHA ALIYEKAA NA TIMU WIKI TATU HALAFU BADO MNAZUNGUMZA.MNA WANA RIADHA SIO WACHEZAJI.NA HUO MPIRA UNAOSEMA LABDA ULIHADITHIWA TU KWANI TULIKUWEPO TUNAJUA TIMU ILIYOCHEZA KAMA TIMU.MICHO ALISHASEMA WACHEZAJI WENU HAWAFUNDISHIKI BASI TU BORA LIENDE.
ReplyDeleteYanga mdebwedo tu hamna lolote mpira wa mdomoni na kwenye magazeti.Sasa zimekuwa mbichi hatutaki hizo.Kha wana kichwa kigumu hawa.Kufungwa wamefungwa mara chungu nzima lakini bado wapo na kelele na majigambo.Mpira umekwisha Bingwa SIMBA asiyependa akanunue kamba.
ReplyDeleteWE ANON JULY 9 2007 5:21:00
ReplyDeleteWACHA USHAMBA NA NINAUHAKIKA WE HAUKUWEPO UWANJANI INAWEZEKANA UMEADITHIWA TU NA JAMAA ZAKO HUNA UJANJA WA KWENDA KUANGALIA GAME MORO WEWE USHABIKI WAKO NI HAPA HAPA DAR TU SIO UNATUONGOPEA HUMU ETI ULIUONA MPIRA THEN UNAKUJA KUPOST COMMENTS ZA KIJINGA HUMU ALA, JANA MLIKAMATWA BWANA MLICHEZA VIZURI KIPINDI CHA KWANZA TU KIPINDI CHA PILI NA MUDA WA NYONGEZA MLIBAKIA KUMKATA KATA MRISHO NGASA NA SAID MAULID, USHINDI WENU NI WA PENALT TU NA JANA MUMSHUKURU MAMRUKI WENU YULE ABDUL NTIRO MAANA ALIAMUA KUWAZAWADIA KIKOMBE WANASIMBA WENZAKE KWA KUPAISHA PENALT PASIPO SABABU, TUTAONANA KWENYE TUSKER HAPO NDO TUTAONA NI NANI ANAYEJUA MPIRA, NA KIFUPI NI KWAMBA CHAMPION LEAGUE KWA MPIRA ULE HAMFIKI POPOTE BWANA MTAISHIA ROUND YA KWANZA TU.
SIMBA BINGWA WA PENALTI FULL STOP.
ReplyDeleteMPIRA NI WA KAWAIDA SANA. KAMA MNA MPIRA MUWE MNAWAFUNGA YANGA DAKIKA ZA KAWAIDA.HAMUIWEZI YANGA DAKIKA 90 NA LEVO YENU NA YANGA NI SAWA KABISA HAMNA LOLOTE.KAMA YANGA MNAONA MDEBWEDO BASI SIMBA NI JIDEBWEDO KWA SABABU ANAYEMSHINDWA MZEMBE DK 90 NI MZEMBE ZAIDI!!!!!!!!
KWA MTU ALIYE NA AKILI TIMAMU HAWEZI KUSEMA ETI SIMBA NI BINGWA WA PENATI TU! HII INAONESHA UFINYU WA AKILI. SIMBA AMESHAMCHAPA YANGA MARA 11 TOKA MWAKA 2000. KATI YA HIZO NAOMBA MTUAMBIE NI MARA NGAPI YANGA KAFUNGWA KWA PENATI?
ReplyDeleteHALAFU KAMA YANGA MDEBWEDO NI WAZURI KULIKO SIMBA MBONA WASIWAFUNGE NDANI YA DAKIKA 90?
YANGA HAWANA TIMU KABISA. NENDENI MKAANZE UPYA KUSUKA TIMU THEN MRUDI KUPIMA UBAVU TENA.
TUTAWACHAPA MPAKA MTIE AKILI
SOMBA OYEEEEEEE!!!!!
Hapa kilichopo ni ubishi wa kishabiki tuu. Hakuna objective arguments!
ReplyDeleteKwanza tukubaliane kuwa kushinda kwenye penalti ni bahati tuu. Hata Ashanti inaweza kuifunga Man-U, kwenye penalti, mradi tuu ni bahati yao.
Pili: Yanga walicheza vizuri ule mchezo kwa kuwa walifungwa goli dakika ya pili, lakini walitulia na ku-fight hadi kurudisha goli lile. Ki msingi, kama Simba wangekuwa wazuri kama mashabiki wao wanavyodhani, walitakiwa kufunga (ma)goli lingine ktk kipindi cha kwanza, wakati Yanga walipokuwa disturbed na ile penalti ya zawadi kwa Simba ktk dakika ya 1 ya mchezo.
MWISHO: Simba na Yanga zote zitawakilisha Watanzania wote ktk mashindano ya kimataifa mwakani. Tusubiri tuone ni nani atakuwa wa kwanza kutoka kwenye hayo mashindano ndo tujue nani alistahili ubingwa.
Kwa sasa: Hongera ziende Simba kwa ushindi wao wa BAHATI.